Pendekezo: Kila Mkuu wa Wilaya apewe Helikopta

Pendekezo: Kila Mkuu wa Wilaya apewe Helikopta

Najua mods wataifuta ila nasema tu

We mtoa mada m...Ku..ndu.. Sana *****

Vitabu havitosh
Afya changamoto
Mixhahara kwa wafanyakaz na malimbikizo ya maden kibao

AF wew Leo unaropoka ka umebakwa eti wapewe chopa

C bora hio pesa waboreshe Barbara vijjn ili wawe wanaenda kwa gar 2

Msenge sana wew umeharib cku yang

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lengo ni kumfikishia mwananchi wa chini kabisa huduma kwa haraka zaidi
 
Napendekeza nyadhifa za RC & DC zifutwe kama ilivypendekeza na Tume ya Warioba.Hii itasaidia kubana matumizi.
 
Hebu fanya utembelee hospitali za serikali ujionee kama vitanda vimetosha kwa wagonjwa then ujiulize kama tunahitaji kununua chopa au huduma za afya kuboleshwa.
Hizo choppa zinaweza kutumika kama AMBULANCE pia. Achen mawazo mgando.
Cc. VETA (Anzisha mafunzo kurusha choppa)
Cc. SIDO (Anza kuandaa karakana na vipuri)
Cc. SUMMA JKKKT (andaa nembo za helikopta tajwa)
 
Nazungumzia operation cost pamoja na gharama za kununua ili hali hata hizo ambulance zenyewe kuna baadhi ya Hospitali na vituo vya afya hawana.We should be realistic,can't afford those costs.
Mkuu umepewa ukuu wa Wilaya nini??(Jokes)
 
Duhh !!! Huko angani sijui itakuwaje? Jua litafunikwa kwa Kivuli cha mahelkopta!! Sawa naunga mkono Hoja mi naona wakuu wa mikoa WOTE wapewe Ndege za kutembelea!! RAIA NAO WAPEWE NOA ZAO.
 
Dunia ya sasa inataka kwenda na muda. Chopa Ambulance is the best way. Nawasilisha
 
Kutokana na majukumu yao kuongezeka hasa masuala ya maendeleo na usalama kwa ujumla nashauri ma-DC wote nchini wapate helikopta kuongezea nguvu sehem zisizofikika kirahisi kwa V8. Nawasilisha.
Cc. Chopper Manufacturer - Canadian Company, Montreal, CA.
kwa Tanzania ? nchi tajiri duniani wanatembelea magari , kwa uchumi hupi tanzania
 
Kutokana na majukumu yao kuongezeka hasa masuala ya maendeleo na usalama kwa ujumla nashauri ma-DC wote nchini wapate helikopta kuongezea nguvu sehem zisizofikika kirahisi kwa V8. Nawasilisha.
Cc. Chopper Manufacturer - Canadian Company, Montreal, CA.
Kama hili litawezekana nashauri lile ombi la madiwani kuomba kupandishiwa posho kutoka TAS 300,000 ya sasa hadi TAS 800,000 kama walivyomba kupitia mkutano wa ALAT mwaka huu. Mambo ya ajabu ajabu haya.
 
Ni nafuu sana kutumia helikopta kuliko msururu wa magari huko wilayani
 
Kama hili litawezekana nashauri lile ombi la madiwani kuomba kupandishiwa posho kutoka TAS 300,000 ya sasa hadi TAS 800,000 kama walivyomba kupitia mkutano wa ALAT mwaka huu. Mambo ya ajabu ajabu haya.
Hao madiwani ndo watakuwa wanazitumia hizo helicopter kuwafikia wananchi wa pembezon
 
Kutokana na majukumu yao kuongezeka hasa masuala ya maendeleo na usalama kwa ujumla nashauri ma-DC wote nchini wapate helikopta kuongezea nguvu sehem zisizofikika kirahisi kwa V8. Nawasilisha.
Cc. Chopper Manufacturer - Canadian Company, Montreal, CA.

Subiri serikali ya chadema, itatoa helkopta kwa Ma-Dc na Ma-Rc
 
Back
Top Bottom