Pendekezo: Kila Mkuu wa Wilaya apewe Helikopta

Pendekezo: Kila Mkuu wa Wilaya apewe Helikopta

Kutokana na majukumu yao kuongezeka hasa masuala ya maendeleo na usalama kwa ujumla nashauri ma-DC wote nchini wapate helikopta kuongezea nguvu sehem zisizofikika kirahisi kwa V8. Nawasilisha.
Cc. Chopper Manufacturer - Canadian Company, Montreal, CA.

Kweli,chopper zinaweza kurahisisha kutimizwa kwa ile ahadi ya milioni 50 kwa kila kijiji.Pia zitasaidia kilimo cha umwagiliaji wa mibuyu kule slSingida.CCM hoyeeeee!.
 
Hao madiwani ndo watakuwa wanazitumia hizo helicopter kuwafikia wananchi wa pembezon
Mafuta ya choper yatakuwa yanajaziwa wapi kwenye kila wilaya?......hahahaha! Itakuwa vipi kila DC akiliamsha kutakalika huko angani? Huwezi hata kujua nani DC nani jangili la tembo angani! Vurugu tupu!
 
Back
Top Bottom