mcubic
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 10,310
- 6,546
Kuwa viongozi wote wa ngazi za juu washiriki kikamilifu wao na familia zao katika kutekelekeza maazimio ya kikao.
Hii itatutia moyo sisi wanachama, wapenzi na washabiki kuhudhuria kwa wingi kutekeleza maazimio hayo makuu yenye takwa la kuleta tija na uimairishaji wa demokrasia nchini.
I stand to be corrected...