Pendekezo juu ya maandamano ya 1st September

Pendekezo juu ya maandamano ya 1st September

Kwa wale wananchi wote wanaokubalia na wanachosema hawa viongozi wa CHADEMA juu ya raisi wa JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ya kuwa yeye ni DIKTETA na mpaka kufikia wao wanaitisha maandano nchi nzima ya siyo kuwa na ukomo....Sasa mimi nawaomba wale wote wanakubaliana na KINA MBOWE juu ya hili wawaombe hao viongozi wa chadema WAZIHUSISHE FAMILIA ZAO hapa nina maana ya kwamba wawahusishe wake zao au vijana wao tunawaowatambua na wao pia wawe mstari wa mbele kwenye haya maandamano....KWELI WA MUNGU iwapo wakifanya hivyo mimi mwenye na tuliowengi tutaamini WANADHAMIRA YA KWELI KWENYE HILI na wala hawatumiki NA WATU WENYE NIA OVU NA NCHI YETU....kwanini ninasema hivi..ninasema hivi nikiwa na maana ya kwamba HAWA viongozi wa CHADEMA wamekuwa ni watu waanafiki sana KWANI WANAYOYATAMKA AYAENDANI NA MATENDO YAO...rejea jinsi walivyokuwa wakiwachafua wa kina EDO na SUMAYE kipindi kile wapo CCM na LEO HII JINSI WANAVYOWATUKUZA....pia turejee juu ya mATAMKO YA VIJANA WAO BAVICHA lakini linapokuja swala la MATENDO INAKUWA NI ZERO........wananchi wenzangu na VIJANA WENZANGU HII CHADEMA YA SASA NA UPINZANI WA SASA SI WA KWELI NA UNA NIA OVU NA NCHI HIII.....
 
Post yako inarudia yashajadiliwa sana hayo ila Ukuta bado upo pale pale
FB_IMG_1471170454328.jpeg
 
cku zote neno litokalo kwa mungu au unabii utakao kwa mungu huwa auna expire date au kfanyiwa amendment ya aina yyote ile sasa hawa jamaa walituaminisha miaka zaidi ya 10 kuwa lowassa ni kubwa la mafisadi leo ndo mfadhiri wa chama leo chadema ndo wamekuwa watetezi wa majizi mm leo hata wseme nn mtu mwenye hakili timamu hawezi amini hawa watu wazee wa kuchange gia angani
 
Hawa madogo kweli wako nchini? Siyo wako Majuu wanakula bata?
Kama wako serious Majuu siyo tatizo , si wanatumiwa tu airt tickets tena wanakuja kama DIASPORA ili kuonesha wanaungwa mkono na watanzania walioko nje japo ni watoto wao.
 
Kwani na DU nae atakuwa frontline kuangusha UKUTA?😀😀😀😀
 
Maandamano gani tena? UKUTA umeshaanza kufanya kazi tangu ulipozinduliwa. Bado unaendele. Unintelligent minds ndio wahaohangaika kusubiri maandamano tarehe 1 September!
 
Back
Top Bottom