Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,691
Chadema wamesema watafanya mikutano. Sasa kwenye majukwaa ya mikutano unategemea wakinanani watakuwa wakiingoza iyo mikutano?
Chadema tuliwatuma mabadiliko ,wametuletea maandamanoKuwa viongozi wote wa ngazi za juu washiriki kikamilifu wao na familia zao katika kutekelekeza maazimio ya kikao....hii itatutia moyo sisi wanachama, wapenzi na washabiki kuhudhuria kwa wingi kutekeleza maazimio hayo makuu yenye takwa la kuleta tija na uimairishaji wa demokrasia nchini.
I stand to be corrected........
Andika kwa Kiswahili tu. Achana na Kiingereza uchwara.1978 to 1979 many died and severely injured during the Kagera war but at the end Tanzania deliberated the Kagera river northern part of land and the all nation we became winners!!!!!!!!!! To include our HEROS the top war commandants / war planners who were behind to insure the victory is inevitable / achieved.
Make references to other countries which were liberated at the sacrifice of field combatants.
hoja na ki long sana hiyo eti viongozi watangulie. Wewe subiri hiyo tar 1 ndio utaona kama watakuwa mbele, katikati ama nyuma, mche he wa nini wakati daktari anamimina dawa kwenye bomba la sindano!!!Kuwa viongozi wote wa ngazi za juu washiriki kikamilifu wao na familia zao katika kutekelekeza maazimio ya kikao....hii itatutia moyo sisi wanachama, wapenzi na washabiki kuhudhuria kwa wingi kutekeleza maazimio hayo makuu yenye takwa la kuleta tija na uimairishaji wa demokrasia nchini.
I stand to be corrected........
ahsante kwa somo zuriAndika kwa Kiswahili tu. Achana na Kiingereza uchwara.
Sawa mwana LowassaHuna lolote wewe mwana ACT umetumwa kuchafua hewa.
Atakayeenda kwenye maandamano sababu kamuona Lowassa/Mbowe akiandamana atakuwa hajielewi anaandamana kwanini.
Binafsi sitoandamana sababu nimewaona viongozi nao wakiandamana,nitaandamana sababu nataka uhuru wa kidemokrasia.
Period

Kuwa viongozi wote wa ngazi za juu washiriki kikamilifu wao na familia zao katika kutekelekeza maazimio ya kikao....hii itatutia moyo sisi wanachama, wapenzi na washabiki kuhudhuria kwa wingi kutekeleza maazimio hayo makuu yenye takwa la kuleta tija na uimairishaji wa demokrasia nchini.
I stand to be corrected........
Sasa kumbe nyie mnaandamana kwa kuandika barua ikulu ,kumbe lengo ni lile lile ila njia ndio tofauti shida yako ni nini ??Sisi tunaandamana kwa kuandika barua/ waraka ikulu, jambo ambalo Lema ameliafiki.
Shida yangu ni kuwa mara nyingi kwenye maandamano wanaoumia ni masikini, wao hawana pesa za matibabu.Sasa kumbe nyie mnaandamana kwa kuandika barua ikulu ,kumbe lengo ni lile lile ila njia ndio tofauti shida yako ni nini ??
Mkuu yaliyotokea Ethiopia wale ni watu kama sisi sio maroboti hivyo kwa hoja yako hiyo sisi sio malaika ,wanaoumia ni maskini kweli ,ila naomba nikuulize wizi kama wa Escorow au kupotea kwa sukari wanao umia ni matajiri ???Shida yangu ni kuwa mara nyingi kwenye maandamano wanaoumia ni masikini, wao hawana pesa za matibabu.
Ni bora kutumia njia ambazo zitaepusha umwagaji wa damu, CDM ni chama kubwa halina haja ya kutumia mbinu ile ile iliyowaleta juu.
Tuendelee kupaza sauti zetu bila kuchoka kudai demokrasia.....nadhani umeona yaliyotokea Ethiopia
Umesema vema kabisa...Ukamanda wako wa kupigania haki kwenye taifa hili hautegemei uwepo wa watu wengine kwenye vita hivyo.......mzalendo yeyote yule anayeguswa na mbinyo wa demokrasia na uhuru wa kujieleza kwenye taifa anaweza akashiriki kwenye harakati hizi........
Kama harakati zako zinategemea uwepo wa watu kana kwamba wewe huguswi na kile kinachopiganiwa....basi wewe haufai kuwemo kundi la wanaharakati kwani haupo mbali na unafiki......na unafiki hauachani na usaliti.........
Hata hayo mataifa ya mfano yaliyopiga hatua kisiasa na kiuchumi na kiutamaduni ni kutokana na harakati za raia kukemea mambo ambayao hayakuwa sahihi kwenye taifa lao na viongozi wakajisahihisha........
MABADILIKO YANAANZA NA WEWE.....!!!
maandamano ya tarehe moja alazimishi mtu, yeyote anaejisikia kupinga uvujwaji wa katiba atajitokeza kwa hiyari yake,huo ndio msimamo wa chadema kama wewe unaona mambo yako yako sawa usishiriki wale wanaotaka watashiriki tena kwa Amani,kama wewe unajisikia kushiriki shiriki kama mke wako haoni sababu ya kushiriki usimlazimishe, haya ndio maneno ya chadema. sasa hapo ubaya wa chadema huko wapi?Kuwa viongozi wote wa ngazi za juu washiriki kikamilifu wao na familia zao katika kutekelekeza maazimio ya kikao....hii itatutia moyo sisi wanachama, wapenzi na washabiki kuhudhuria kwa wingi kutekeleza maazimio hayo makuu yenye takwa la kuleta tija na uimairishaji wa demokrasia nchini.
I stand to be corrected........