Pendekezo: Julius Nyerere avuliwe jina la Baba wa Taifa

Status
Not open for further replies.
Baada ya kunukuliwa akisema kuwa kama angekuwa na uwezo wa kuvikokota visiwa vinavyoishi binadamu wanaounda nchi inayoitwa Tanzania ni kuwa tayari Nyerere alishajivua dhamana ya uongozi wa baadhi ya Watanzania.

Dhihaka, kejeli na utusi dhidi ya Watanzania wanaofuata imani ya Kiislamu katika hotuba yake ya mwisho pale aliposema kuwa amefanikiwa kuondoa upogo wa kielimu kati ya Waislamu na Wakristo.

Kuwaweka mbele Wanaijeria Wakristo wa Biafra kuliko Watanzania "waliomchagua" kwa kutumia rasilimali na damu ya Taifa kuhakikisha kuwa Wakristo wa Biafra wanajitenga.

Hivi vyote vinamfanya Nyerere aondolewe jina la Baba wa Taifa.
*Mod tafadhali usiufute huu uzi kwa sababu ni pendekezo hivyo liko wazi kwa mjadala.

Okey basi kuanzia leo wewe ndo Baba wa Taifa.
umeridhika?
 
paka jimi hivi tukiwataja walouleta uhuru wa tanganyika kwa kweli nyerere hayupo kabsaaaa nyerere kaja kutoka butiama teari vuguvugu lishaanza na vvyama vishaundwa kama unataka kujua waasis wa taifa hili mtazame kina sykes family jojn rupia(aliemnunulia nyerere suti na kumkatia ticket ya ndege kwenda un) mzee tambaza mama wa kimanyema aloitoa mpaka nyumba yake lumumba na ndio ndani mwake palichimbuka tanu mzee bakadiri na wengne wengi hao ndio ma baba na ma mama wa taifa hili n not nyerere
kwahyo hao ndo tuwaite hivyo sio?
 
kiukweli astahili hiyoheshima ya ubaba maana inreality siyo ila kisiasa sawa lakini siri anijua yeye na tutsi radicality , how can we give him respect wakat alitupatia matatizo ambayo mpaka leo tunayo mfano kuvuruga amani ya afriaca mashariki na kati kwa kutumia rasilimali za watanzana ? tuachanae na vita ya uganda maana ilibidi tupigane, je ya kongo,Rwanda,Burundi hivi tujulize swali kwanini maraisi wa Rwanda na Burundi walitunguliwa ndani ya ndege wakati wantoka dar kwa mkutani na Mwinyi, was it bahati mbaya walikiuliwa au ilipangwa, je pale ambapo Laurent Kabila ailipohamasishwa kuongoza vita mstari wa mbele akiwa na back up ya wabongo kwa kila kitu ililkua bahati mbaya au iliapngwa mpaka naye akauliwa ,je congo ya leo ni kwleli haina jeshi imara au Joseph, Kagame,Museveni wanatutengeneza? tushukuru mungu Nyerere ashatangulia mbele ya haki maana he was the engine ,theme yao bado sijaijua ila jisi mambo yanavyoenda hli itakuwa mbaya, congo wameshamka na watanzanzania tumeamka kinachobaki ni kujipanga na kuikataa empire ambayo imeshindwa kutengenezwa ingawa resource wanayo

mungu ibariki afrika,ungu ibariki tanzania
 
Mimi simuiti baba wa Taifa lakini wengine wanamuita baba wa Taifa huoni kuwa hili linaligawa Taifa?
Huoni kuwa njia bora ya kuunusuru "umoja" wa kitaifa ni kulifuta jina la baba wa Taifa?
Sasa ni nani Mkombozi wa Ukoloni Mamboleo wa Waarabu koko?
mm naona bora Farid wa UAMSHO apewe cheo hicho
 
paka jimi hivi tukiwataja walouleta uhuru wa tanganyika kwa kweli nyerere hayupo kabsaaaa nyerere kaja kutoka butiama teari vuguvugu lishaanza na vvyama vishaundwa kama unataka kujua waasis wa taifa hili mtazame kina sykes family jojn rupia(aliemnunulia nyerere suti na kumkatia ticket ya ndege kwenda un) mzee tambaza mama wa kimanyema aloitoa mpaka nyumba yake lumumba na ndio ndani mwake palichimbuka tanu mzee bakadiri na wengne wengi hao ndio ma baba na ma mama wa taifa hili n not nyerere
Mbona umeweka majibu mazuri tayari?
Huoni kuwa hao uliowataja walikuwa na kila resource, lakini alikosekana material person (The Black Moses) wa kwenda kudai uhuru, ambao ndio hasa chanzo cha Ubaba wa Taifa?

Je NAULI NA Suti zingeenda ZENYEWE bila mtu huko UN?

Resources bila Entrepreneur ni sawa za ZERO!

NYERERE NI BABA WA TAIFA...Tuachane na udini!

It was once said I belive in Russian language that "Religion is the OPIOM of people's mind". As the days go I tend to understand this quote.
 
kiukweli astahili hiyoheshima ya ubaba maana inreality siyo ila kisiasa sawa lakini siri anijua yeye na tutsi radicality , how can we give him respect wakat alitupatia matatizo ambayo mpaka leo tunayo mfano kuvuruga amani ya afriaca mashariki na kati kwa kutumia rasilimali za watanzana ? tuachanae na vita ya uganda maana ilibidi tupigane, je ya kongo,Rwanda,Burundi hivi tujulize swali kwanini maraisi wa Rwanda na Burundi walitunguliwa ndani ya ndege wakati wantoka dar kwa mkutani na Mwinyi, was it bahati mbaya walikiuliwa au ilipangwa, je pale ambapo Laurent Kabila ailipohamasishwa kuongoza vita mstari wa mbele akiwa na back up ya wabongo kwa kila kitu ililkua bahati mbaya au iliapngwa mpaka naye akauliwa ,je congo ya leo ni kwleli haina jeshi imara au Joseph, Kagame,Museveni wanatutengeneza? tushukuru mungu Nyerere ashatangulia mbele ya haki maana he was the engine ,theme yao bado sijaijua ila jisi mambo yanavyoenda hli itakuwa mbaya, congo wameshamka na watanzanzania tumeamka kinachobaki ni kujipanga na kuikataa empire ambayo imeshindwa kutengenezwa ingawa resource wanayo

mungu ibariki afrika,ungu ibariki tanzania

Array
Join Date : 12th December 2012
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0
nenda kapige hodi kwanza, halafu jifunze kuandika.
 
Hakuna mjadala kwenye mada ya kipuuzi kama hii!
Hivi hamuoni pertinent matters zinazohitaji attention, hadi muanze umbeaumbea, fitna, udini na chokochoko za kipuuzi?
Kama huna kazi katazame zumari la MAPINDUZI huko kwenu Mwanakwerekwe!
\

Hivi kuna fitna ya kipuuzi kuliko ile document inayosema kwamba Kikwete anapendelea waislamu? Mbona ipo kwa siku ya tatu sasa? Acha zako hizo.

Nyerere anapaswa kuvuliwa hicho cheo na kupewa utakatifu wa kanisa katoliki kama walivyahidi wakatoliki wenyewe.
 
Wewe unaelekea kuwa mfuasi wa uamsho, unataka kuleta mada zako za kidini kwenye jukwaa la kisiasa! Ni vyema ukapeleka hii mada kwenye jukwaa lake linapohusika.
 
yaani baadhi kumuita ama kutomuita Mwl.baba wa Taifa ndo kunaondoa umoja wa kitaifa?,wewe sijui unatokea Sayari gani,haya endelea kula urojo sisi tutaendelea kumuita Baba wa Taifa

Mimi simuiti baba wa Taifa lakini wengine wanamuita baba wa Taifa huoni kuwa hili linaligawa Taifa?
Huoni kuwa njia bora ya kuunusuru "umoja" wa kitaifa ni kulifuta jina la baba wa Taifa?
 
yaani hata wakijitenga kuna siku watatuchokoza tu....hawa ni kuwachapa siku moja kuweka heshima

Cocaine imewaharibu sana vijana wa Zanzibar, umepiga handas zako huko halafu unaibukia JF.

Nyie mnatakiwa kupigania muungano uvunjike ili SULTANI arudi na kuwa baba wa TAIFA lenu, hayo meengine tuachieni watanganyika
 
Wacha kutoka povu bure Mkuu hujui Kuwa Huwezi tawala nchi, taifa bila Kuwa dicteta? Hao wote uliosema wameleta uhuru ni kweli walishiriki vuguvugu la uhuru ila vision zao zilikuwa ndogo compare to Nyerere. Kama huamini hilo JIULIZE KWANZA wao kwanini wakamtuma UN,US na UK? Walimuamini na kukiri Kuwa yeye ndio anastahili Kuwa baba wa taifa hili ndio maana waka raise hands up.

paka jimi hivi tukiwataja walouleta uhuru wa tanganyika kwa kweli nyerere hayupo kabsaaaa nyerere kaja kutoka butiama teari vuguvugu lishaanza na vvyama vishaundwa kama unataka kujua waasis wa taifa hili mtazame kina sykes family jojn rupia(aliemnunulia nyerere suti na kumkatia ticket ya ndege kwenda un) mzee tambaza mama wa kimanyema aloitoa mpaka nyumba yake lumumba na ndio ndani mwake palichimbuka tanu mzee bakadiri na wengne wengi hao ndio ma baba na ma mama wa taifa hili n not nyerere
 
Na mama wa Taifa anafaa Mushumbushu Kimada wa Slaa!
mbona umekimbilia huku fasta? au unataka umfanyie mapinduzi mwenzio ili uchukue nafasi yake? jitahidi Dr. akuone aisee, unaweza ukawa 1st lady 2015.
 
paka jimi hivi tukiwataja walouleta uhuru wa tanganyika kwa kweli nyerere hayupo kabsaaaa nyerere kaja kutoka butiama teari vuguvugu lishaanza na vvyama vishaundwa kama unataka kujua waasis wa taifa hili mtazame kina sykes family jojn rupia(aliemnunulia nyerere suti na kumkatia ticket ya ndege kwenda un) mzee tambaza mama wa kimanyema aloitoa mpaka nyumba yake lumumba na ndio ndani mwake palichimbuka tanu mzee bakadiri na wengne wengi hao ndio ma baba na ma mama wa taifa hili n not nyerere

nilipoona heading hiyo,hata kabla sijaingia ndani kusoma contents niligundua imeandikwa na mlevi wa siasa za kidini aliyepigwa upofu ktk uelewa wake kiasi cha kushindwa kung'amua zuri na baya hivyo mara zote kusimama imara na kujenga hoja zake huku msingi wake mkuu ukiwa dini yake,hali kadhalika wafuasi kama wewe salmar hawakosekanagi cuz mnataka kutuamisha kuwa waislamu ndio walikua concious zaidi enzi za uhuru hivyo walishiriki kikamilifu kuliko kada nyingine ya watu ktk kuamsha hisia za kujitawala,huu ni ubarakala,uzandiki uliochochewa na chuki zenu kwa wakiristo,ficheni upumbavu wenu,taifa letu linahitaji tujadiliane namna ya kututoa hapa tulipo na kutufikisha mbali zaidi lakini tunakwamishwa na fikra mgando na zisizotujenga kama zenu.
 
Last edited by a moderator:
yaani baadhi kumuita ama kutomuita Mwl.baba wa Taifa ndo kunaondoa umoja wa kitaifa?,wewe sijui unatokea Sayari gani,haya endelea kula urojo sisi tutaendelea kumuita Baba wa Taifa
Huoni kuwa hicho ni kiashiria?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom