Pendekezo: Julius Nyerere avuliwe jina la Baba wa Taifa

Pendekezo: Julius Nyerere avuliwe jina la Baba wa Taifa

Status
Not open for further replies.
Napendekeza pia mama Maria Nyerere avuliwe umama wa hili kwa kusema Watanzania hawana ata elimu ya lishe bora.
Baada ya kunukuliwa akisema kuwa kama angekuwa na uwezo wa kuvikokota visiwa vinavyoishi binadamu wanaounda nchi inayoitwa Tanzania ni kuwa tayari Nyerere alishajivua dhamana ya uongozi wa baadhi ya Watanzania.Dhihaka, kejeli na utusi dhidi ya Watanzania wanaofuata imani ya Kiislamu katika hotuba yake ya mwisho pale aliposema kuwa amefanikiwa kuondoa upogo wa kielimu kati ya Waislamu na Wakristo.Kuwaweka mbele Wanaijeria Wakristo wa Biafra kuliko Watanzania "waliomchagua" kwa kutumia rasilimali na damu ya Taifa kuhakikisha kuwa Wakristo wa Biafra wanajitenga.Hivi vyote vinamfanya Nyerere aondolewe jina la Baba wa Taifa.*Mod tafadhali usiufute huu uzi kwa sababu ni pendekezo hivyo liko wazi kwa mjadala.
 
Hao wote uliosema wameleta uhuru ni kweli walishiriki vuguvugu la uhuru ila vision zao zilikuwa ndogo compare to Nyerere. Kama huamini hilo JIULIZE KWANZA wao kwanini wakamtuma UN,US na UK? Walimuamini na kukiri Kuwa yeye ndio anastahili Kuwa baba wa taifa hili ndio maana waka raise hands up.
Kwa hiyo hii ndiyo sababu ya Nyerere kuitwa baba wa Taifa?

Una ushahidi wowote kuwa waliomtuma UN walikiri kuwa yeye ndio anastahili kuwa baba wa Taifa hili?
 
\

Hivi kuna fitna ya kipuuzi kuliko ile document inayosema kwamba Kikwete anapendelea waislamu? Mbona ipo kwa siku ya tatu sasa? Acha zako hizo.

Nyerere anapaswa kuvuliwa hicho cheo na kupewa utakatifu wa kanisa katoliki kama walivyahidi wakatoliki wenyewe.

Unasubiri nini si ukamvue na vitabu uchapishe vyote vipya, wewe nikama mbwa koko asiye na mfugaji popote na yoyote huweza kuwa bosi wake. Arfati baba wa waplestina, kuanzia leo freshthinking baba wa watanzania umefurahi mjahidina!nimekutangaza kesho kajitangazie ubaba wa taifa kwa wanahabari.
 
Ushahidi uko kwa mlete Uzi Kuwa walimchangia ticket ya ndege na suti wakamnunulia mbona wao hawakwenda??? Fact ni kwamba walimkubali Nyerere kuliko walivokuwa wanajikubali wenyewe.Wewe utume dume likakutongozee ungejee kuletewa Mke?


Kwa hiyo hii ndiyo sababu ya Nyerere kuitwa baba wa Taifa?

Una ushahidi wowote kuwa waliomtuma UN walikiri kuwa yeye ndio anastahili kuwa baba wa Taifa hili?
 
Baada ya kunukuliwa akisema kuwa kama angekuwa na uwezo wa kuvikokota visiwa vinavyoishi binadamu wanaounda nchi inayoitwa Tanzania ni kuwa tayari Nyerere alishajivua dhamana ya uongozi wa baadhi ya Watanzania.

Dhihaka, kejeli na utusi dhidi ya Watanzania wanaofuata imani ya Kiislamu katika hotuba yake ya mwisho pale aliposema kuwa amefanikiwa kuondoa upogo wa kielimu kati ya Waislamu na Wakristo.

Kuwaweka mbele Wanaijeria Wakristo wa Biafra kuliko Watanzania "waliomchagua" kwa kutumia rasilimali na damu ya Taifa kuhakikisha kuwa Wakristo wa Biafra wanajitenga.

Hivi vyote vinamfanya Nyerere aondolewe jina la Baba wa Taifa.
*Mod tafadhali usiufute huu uzi kwa sababu ni pendekezo hivyo liko wazi kwa mjadala.

Pendekezo hili ni la hovyo, we unadha hadhi ya Baba wa taifa inavuliwa kienyeji tu kama unavyovua nguo zako unapokwenda kuoga, acha udini na uvivu wa kufikiri. Unataka hadhi hiyo apewe babu yako katufanyia nini?
 
an imbecile person at work........
No room for note taking,thus no points to contribute.
only a fool can do this.
# my server is temporarily out of work and hence network system is still loading..........................
See u then!!!!!!
 
Mimi simuiti baba wa Taifa lakini wengine wanamuita baba wa Taifa huoni kuwa hili linaligawa Taifa?
Huoni kuwa njia bora ya kuunusuru "umoja" wa kitaifa ni kulifuta jina la baba wa Taifa?

hakuna kugawa, mbona wewe unaweza kumuita mama lakini mimi ni demu wangu?
 
\

Hivi kuna fitna ya kipuuzi kuliko ile document inayosema kwamba Kikwete anapendelea waislamu? Mbona ipo kwa siku ya tatu sasa? Acha zako hizo.

Nyerere anapaswa kuvuliwa hicho cheo na kupewa utakatifu wa kanisa katoliki kama walivyahidi wakatoliki wenyewe.

Utake usitake Nyerere BABA WA TAIFA, kakainakukera tafuta uraia wa msumbiji, Acha udini.
 
paka jimi hivi tukiwataja walouleta uhuru wa tanganyika kwa kweli nyerere hayupo kabsaaaa nyerere kaja kutoka butiama teari vuguvugu lishaanza na vvyama vishaundwa kama unataka kujua waasis wa taifa hili mtazame kina sykes family jojn rupia(aliemnunulia nyerere suti na kumkatia ticket ya ndege kwenda un) mzee tambaza mama wa kimanyema aloitoa mpaka nyumba yake lumumba na ndio ndani mwake palichimbuka tanu mzee bakadiri na wengne wengi hao ndio ma baba na ma mama wa taifa hili n not nyerere

Kama jina Baba wa Taifa linakupa tabu basi omba serikali imuite Babu wa Taifa. wewe uenda hata Baba Mtakatifu Yohana Paulo wa Pili nalo utaliondoa. Hawa Jamaa walipigania Tanganyika sasa yeye akaizaa Tanzania sasa hawa watanganyika waite Babu tu, kero yako itaisha. Wivu mbaya hata marehemu anakuuma!!
 
Unasubiri nini si ukamvue na vitabu uchapishe vyote vipya, wewe nikama mbwa koko asiye na mfugaji popote na yoyote huweza kuwa bosi wake. Arfati baba wa waplestina, kuanzia leo freshthinking baba wa watanzania umefurahi mjahidina!nimekutangaza kesho kajitangazie ubaba wa taifa kwa wanahabari.

Balali; 'the great thinker'
 
Mimi simuiti baba wa Taifa lakini wengine wanamuita baba wa Taifa huoni kuwa hili linaligawa Taifa?
Huoni kuwa njia bora ya kuunusuru "umoja" wa kitaifa ni kulifuta jina la baba wa Taifa?
Na Nyama ziwe zinachinjwa na Wakristu maana tumeshuhudia Nyama kama Ng'ombe Mbuzi Kondoo Kuku Bata Wakichinjwa na Waislam kwa zaidi ya Miaka 50 tokea Uhuru na sasa Pendekezo hilo nalo lipitishwe... waislam na wao wale vinavyochinjwa na Wakristo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom