BHULULU
JF-Expert Member
- Jun 28, 2012
- 4,994
- 2,045
Na mama wa Taifa anafaa Mushumbushu Kimada wa Slaa!
Inaonekana alikuzidi kete unaugulia maumivu
Na mama wa Taifa anafaa Mushumbushu Kimada wa Slaa!
watu wote wanaongea maswala ya udini na ya kipuuzi kama wewe wote hamna tofauti na machi...zi....toa ngembe hapaBaada ya kunukuliwa akisema kuwa kama angekuwa na uwezo wa kuvikokota visiwa vinavyoishi binadamu wanaounda nchi inayoitwa Tanzania ni kuwa tayari Nyerere alishajivua dhamana ya uongozi wa baadhi ya Watanzania.
Dhihaka, kejeli na utusi dhidi ya Watanzania wanaofuata imani ya Kiislamu katika hotuba yake ya mwisho pale aliposema kuwa amefanikiwa kuondoa upogo wa kielimu kati ya Waislamu na Wakristo.
Kuwaweka mbele Wanaijeria Wakristo wa Biafra kuliko Watanzania "waliomchagua" kwa kutumia rasilimali na damu ya Taifa kuhakikisha kuwa Wakristo wa Biafra wanajitenga.
Hivi vyote vinamfanya Nyerere aondolewe jina la Baba wa Taifa.
*Mod tafadhali usiufute huu uzi kwa sababu ni pendekezo hivyo liko wazi kwa mjadala.
Kwa mantiki hiyo ni kuwa wewe wakati unapomtuma mfanyakazi wako wa ndani na kumnunulia mavazi mazuri ina maana kuwa unamkubali kuliko unavyojikubali wewe mwenyewe?Ushahidi uko kwa mlete Uzi Kuwa walimchangia ticket ya ndege na suti wakamnunulia mbona wao hawakwenda??? Fact ni kwamba walimkubali Nyerere kuliko walivokuwa wanajikubali wenyewe.Wewe utume dume likakutongozee ungejee kuletewa Mke?
Sijapendekeza kuwa avuliwe kienyeji!Izack Mwanahapa said:Pendekezo hili ni la hovyo, we unadha hadhi ya Baba wa taifa inavuliwa kienyeji tu kama unavyovua nguo zako unapokwenda kuoga, acha udini na uvivu wa kufikiri.
Baada ya kunukuliwa akisema kuwa kama angekuwa na uwezo wa kuvikokota visiwa vinavyoishi binadamu wanaounda nchi inayoitwa Tanzania ni kuwa tayari Nyerere alishajivua dhamana ya uongozi wa baadhi ya Watanzania.
Dhihaka, kejeli na utusi dhidi ya Watanzania wanaofuata imani ya Kiislamu katika hotuba yake ya mwisho pale aliposema kuwa amefanikiwa kuondoa upogo wa kielimu kati ya Waislamu na Wakristo.
Kuwaweka mbele Wanaijeria Wakristo wa Biafra kuliko Watanzania "waliomchagua" kwa kutumia rasilimali na damu ya Taifa kuhakikisha kuwa Wakristo wa Biafra wanajitenga.
Hivi vyote vinamfanya Nyerere aondolewe jina la Baba wa Taifa.
*Mod tafadhali usiufute huu uzi kwa sababu ni pendekezo hivyo liko wazi kwa mjadala.
Naunga mkono hoja 100%
Kwanza tukishavunja muungano atakuwa baba wa taifa gani? Harakati za uhuru zilianzishwa yeye akiwa mtoto mdogo sana.
St. Nyerere anafaa kuitwa baba wa Kanisa.
Kuwaweka mbele Wanaijeria Wakristo wa Biafra kuliko Watanzania "waliomchagua" kwa kutumia rasilimali na damu ya Taifa kuhakikisha kuwa Wakristo wa Biafra wanajitenga.
Hivi vyote vinamfanya Nyerere aondolewe jina la Baba wa Taifa.
.
Naunga mkono hoja 100%
St. Nyerere anafaa kuitwa baba wa Kanisa.
nilijua kwa jinsi ulivyo mdini mada kama hizi huwezi kukosekana wewe Tume ya Katiba
Balali; 'the great thinker'
paka jimi hivi tukiwataja walouleta uhuru wa tanganyika kwa kweli nyerere hayupo kabsaaaa nyerere kaja kutoka butiama teari vuguvugu lishaanza na vvyama vishaundwa kama unataka kujua waasis wa taifa hili mtazame kina sykes family jojn rupia(aliemnunulia nyerere suti na kumkatia ticket ya ndege kwenda un) mzee tambaza mama wa kimanyema aloitoa mpaka nyumba yake lumumba na ndio ndani mwake palichimbuka tanu mzee bakadiri na wengne wengi hao ndio ma baba na ma mama wa taifa hili n not nyerere
kiukweli astahili hiyoheshima ya ubaba maana inreality siyo ila kisiasa sawa lakini siri anijua yeye na tutsi radicality , how can we give him respect wakat alitupatia matatizo ambayo mpaka leo tunayo mfano kuvuruga amani ya afriaca mashariki na kati kwa kutumia rasilimali za watanzana ? tuachanae na vita ya uganda maana ilibidi tupigane, je ya kongo,Rwanda,Burundi hivi tujulize swali kwanini maraisi wa Rwanda na Burundi walitunguliwa ndani ya ndege wakati wantoka dar kwa mkutani na Mwinyi, was it bahati mbaya walikiuliwa au ilipangwa, je pale ambapo Laurent Kabila ailipohamasishwa kuongoza vita mstari wa mbele akiwa na back up ya wabongo kwa kila kitu ililkua bahati mbaya au iliapngwa mpaka naye akauliwa ,je congo ya leo ni kwleli haina jeshi imara au Joseph, Kagame,Museveni wanatutengeneza? tushukuru mungu Nyerere ashatangulia mbele ya haki maana he was the engine ,theme yao bado sijaijua ila jisi mambo yanavyoenda hli itakuwa mbaya, congo wameshamka na watanzanzania tumeamka kinachobaki ni kujipanga na kuikataa empire ambayo imeshindwa kutengenezwa ingawa resource wanayo
mungu ibariki afrika,ungu ibariki tanzania
Utake usitake Nyerere BABA WA TAIFA, kakainakukera tafuta uraia wa msumbiji, Acha udini.
Baada ya kunukuliwa katika hotuba pale aliposema kuwa amefanikiwa kuondoa upogo wa kielimu
Hivi vyote vinamfanya Nyerere aondolewe jina la Baba wa Taifa.
*Mod tafadhali usiufute huu uzi kwa sababu ni pendekezo hivyo liko wazi kwa mjadala.
kiukweli astahili hiyoheshima ya ubaba maana inreality siyo ila kisiasa sawa lakini siri anijua yeye na tutsi radicality , how can we give him respect wakat alitupatia matatizo ambayo mpaka leo tunayo mfano kuvuruga amani ya afriaca mashariki na kati kwa kutumia rasilimali za watanzana ? tuachanae na vita ya uganda maana ilibidi tupigane, je ya kongo,Rwanda,Burundi hivi tujulize swali kwanini maraisi wa Rwanda na Burundi walitunguliwa ndani ya ndege wakati wantoka dar kwa mkutani na Mwinyi, was it bahati mbaya walikiuliwa au ilipangwa, je pale ambapo Laurent Kabila ailipohamasishwa kuongoza vita mstari wa mbele akiwa na back up ya wabongo kwa kila kitu ililkua bahati mbaya au iliapngwa mpaka naye akauliwa ,je congo ya leo ni kwleli haina jeshi imara au Joseph, Kagame,Museveni wanatutengeneza? tushukuru mungu Nyerere ashatangulia mbele ya haki maana he was the engine ,theme yao bado sijaijua ila jisi mambo yanavyoenda hli itakuwa mbaya, congo wameshamka na watanzanzania tumeamka kinachobaki ni kujipanga na kuikataa empire ambayo imeshindwa kutengenezwa ingawa resource wanayo
mungu ibariki afrika,ungu ibariki tanzania
unaumwa ma..i wewe
Udini wangu upo wapi kusema st nyerere alikuwa kichanga wakati watu wa harakati za kupigania uhuru? au kusema apewe ubaba wa kanisa? Kuna ushahidi wa kuonyesha kuwa anafaa kuwa baba wa church.