Pendekezo: John Heche amrithi Zitto Kabwe

Wewe unafukira za ki-CCM eti kazi ya Zitto hakuna mtu wa kuifikia-hayo mawazo ni ya kizamani sana, kwa sasa wapo vijana wapya na wanapiga mzigo. Hayo mawazo yako ndiyo yaliyowafanya CCM waendelee kumtegemea kingunge ngombale mwiru katika ushauri matokeo yake ngombale akajikuta yeye ndiye mwizi wa mali ya umma (Ubungo stand). Kwa sasa CCM inamtegemea Wassira ambaye ameendelea kudhurum bei ya pamba kwa wananchi wa kanda ya ziwa!!!!!
 
Jibu zuri sana mkuu.
 
Nimefurahishwa na mjadala unavyokwenda kuhusu mada hii.Naamini imeleta changamoto kubwa na viongozi wa CDM wayapime kwa uzito mkubwa maoni ya wadau wote hapa.
 
Hivi kweli wewe una akili timamu kweli? Heche ndio kwanza anataka kutafuta nafasi agombee ubunge wakati Zitto anajipanga kugombea Urais kachoka na ubunge miaka 10.
 
Hivi zitto ni nani hasa? Vijana wa kitanzania wenye mawazo mgando, akili fupi. Wanamwona zitto kama Mungu hivi wallah! mapinduzi ya nchii hii hayaji kupitia Zitto bali sidi wenywe vijana. Kwa mwendo huu subiri tusubiri sana. People are si stupid.
 
Namini chadema ni chama makini na wanauthamini mchango wa kamanda heche,pia kuhusu zitto kabwe anaonekana dhahiri kabisa ni kati ya viongozi wasiokuwa na msimamo na wenye tamaa ya madaraka nami naunga mkono john heche anaweza kazi zaidi ya zitto na pia tusitende dhambi ya kumlinganisha mh.rais dr wilbord slaa na zitto kabwe kwani ni dhambi slaa ni slaa tu a hakika nadhubutu kusema slaa ameletwa a mwenyezi mungu kwa watanzania yani baada ya nyerere ni slaa!!!!
 
Nasikia Heche baada ya kurudi kutoka Ujerumani hajatulia ofisini bali tayari ameshaondoka na yuko Sumbawanga kuongoza mapambano ya M4C.Ni wazi kijana huyo akiwa Naibu Katibu Mkuu,Dr Slaa atakuwa amerahisishiwa sana majukumu yake.
 
Mkutano wake wa Sumbawanga jana umevunja rekodi Rukwa.
 
wazo zuri na hyo itampa kabwe muda zaidi wa kuconcetrate na mikakati yake ya uraisi 2015 kwa ufanic mkubwa na kumpunguzia lawama!!
 
Hivi zito hapimi hata kwa humu ndani ya wanaJF ni asilimia ngapi ya watu humu ndani na ni wa aina gani au toka mlengo upi wanaomuunga mkono kwa anachofanya sasa kulinganisha na wanamtumbulia nyongo zao!
 
Watu kama Zitto wasio na aibu wala simile huwa wametimwa tu kuharibu chama ndio maana hasikii chochote kwa kuwa amekula vya watu sasa anavilipa.
 
Du...! Sasa hii ni hatari.John Heche anaweza kuvuta umati mkubwa hivi? Nisaidieni jamani.Sishangai kumbe ndiyo maana Dr Slaa kapumzika sasa hivi.

Komaa Kamanda wetu Heche,pambana vijijini mpaka kieleweke.Wale maadui zako wanaokutukana kupitia Facebook wataaibika wenyewe.
 
Back
Top Bottom