Kazi anayoifanya Zitto kwa CDM inafananishwa na matap tap ya Heche?? Dah, kweli hapo hamna chama!
Yawezekana kazi anayofanya heche isiwe na thamani sana kwako ila kwa chama chake na kwa wanachama ni lulu.
Kazi anazozifanya zito kwa sasa zina manufaa sana kwa chama na kwa Tanzania kwa ujumla.
Kila mwanachama wa CDM kwa wakati huu wa kikuimarisha chama anapaswa kuyafanya kila awezalo kuwatia nguvu Heche na Zito kabwe pia.
Kwa wana jembe na nyundo hii kwao ni misamiati............
Tafakari .....................chukua hatua..........................Vua gamba ........................vaa uzalendo..............