Pendekezo: John Heche amrithi Zitto Kabwe

Pendekezo: John Heche amrithi Zitto Kabwe

JF imejaa utoto sana badala ya kujibu hoja unaleta vionja mambo ya wazazi sijui yameingiaje.

Ndio mana nikasema kwavile mzazi wako sio mtoto,basi mwite mwanamapinduzi ndo litamfaa, kwanza unatakiwa ujibu mada za wakubwa kama mzazi wako,unapojibu post zangu unakuwa mtoto pia.
 
Zito ni "necessary evil"..tumuache tu akae hapo alipokaa sasa, tunamhitaji kwa kuwa yeye sie mchagga, si wa kaskazini na pia ni muislam..Big up kwa John Heche,tutampa uwaziri wa serikali za mitaa 2015..lakini tuishi na zito kwa akili, tusije sababisha havoc..tunamhitaji bado

Kazi kweli kweli, kumbe ZITTO yupo kwa ajili ya kulinda uhai wa chama na si vinginevyo?
 
Matusi ya nini? Hapana shaka mada hii haina mvuto kabisa na utaishia kutukna watu wenye mawazo ya busara. Haiwezekani Ufananishe kazi anazofanya ZITTO na gharasha HECHE.
Usipende kukurupuka, hapo hamna tusi lolote. Jina la mtu niliyequote post yake anaitwa MBWA HARUKI. Nimeandiaka tu first name
 
Mtu mwenye akili timamu kweli anamfananisha Zitto ya huyo kilaza? Slaa mwenyewe hajafika kiwango cha Zitto.
 
John Heche ni mwanasiasa ambae hana mvuto wowote mbele ya watanzania labda mleta mada utueleze Heche kaisaidia nini Bavicha mpaka amrithi Zitto...kikubwa alichokifanya Heche ni kutoa matamko kila mwezi.

Mvuto upi unaozungumzia? Unataka awe handsome kama yule mr54 alipokuwa anagombea uraisi 2005?

Kaka mbona umevurugwa kiasi hiki?
 
Mtu mwenye akili timamu kweli anamfananisha Zitto ya huyo kilaza? Slaa mwenyewe hajafika kiwango cha Zitto.

Zungumza kama umekula asali ya tende. Unakuwa hueleweki kwa kuandika upu.pu wacha kuwa mang'aa
 
Hakuna sabab ya msingi kwa sasa kufanya mabadiliko.

Nimtazamo wangu kuwaona chadema wakipokezena na kubadilishana uongozi kwa kufuata katiba yao kwa uwazi na ukweli. Atakaeshinda apewe na pasiwepo mizengwe

Kila kiongozi anafaida yake. Zito anamajukum na umuhim wake ndan ya chama halikadhalika heche.

Katiba ya chama ndio dira na njia hakuna short cut.
 
Matamko yenyewe ni pumba tupu!!!

Alitoa tamko akilani kauli ya Shibuda kugombea urais, yule Mwanamke wa BAWACHA akapingana naye akamwambia Heche usipende kuropoka hovyo.
 
Mtu mwenye akili timamu kweli anamfananisha Zitto ya huyo kilaza? Slaa mwenyewe hajafika kiwango cha Zitto.
Umeonae, huko si kuishiwa mkuu, wanaanza kutapatapa 2 hawa, hawana jipya tena.
Heche kweli awe naibu katibu mkuu hata wa chama kama TLP si kushusha hadhi ya CHAMA. Huyu ZITTO hawamtaki? wanamuogopa au vipi? mbona wanasemea pembeni tu, wakati tulishazoea wanaropoka majukwaani mara tumefukuza madiwani mara sijui tutawavhukulia hatua wasaliti wa chama, vipi ZITTO na SHIBUDA? kama wanakubalika si waache kuwachafulia majina kwa kunong'ona pembeni? na kama hawakubaliki ndani ya chama si watamke kuwafukuza? mimi naona kama NCCR-mageuzi na CUF ni vyama vyenye watu wenye maamuzi, KAFURILA na HAMAD RASHID walitangazwa kuwa si wanachama tena bila kumumunya maneno hawa CDM na ZITTO wao sasa imekuwa kama kinyaa.
 
Alitoa tamko akilani kauli ya Shibuda kugombea urais, yule Mwanamke wa BAWACHA akapingana naye akamwambia Heche usipende kuropoka hovyo.

Kumbukumbu nzuri sana mkuu hiyo, na kweli alifunga mdomo, nadhani ndo fadhila ambazo SLAA na MBOWE wanazilipa kwake kwa kumkoromea SHIBUDA.
 
huu uzi kuna watu wanatoa mapovu sana.Nawashauri mpunguze mnkari kwani mdau katoa ushauri tu na wala sio agizo.!
 
Ni makosa makubwa sana kudhani kuwa anayefanya vizuri kwenye nafasi flan basi atafaa sana kwenye post flan nyingine! Angalia Makamba kutoka RC na kwenda Katibu mkuu! Nape hakuwa hivi alipokuwa vijana! Stela Manyanya kaharibika kabisa alipopewa uRC! Heche anafiti kwenye nafasi yake ya sasa na tumwache afanye kazi yake. Akimaliza tuone kama tutamwongeza muda. Akichoka apumzike.

Hayo ndio maoni yangu!
 
Vipi kuhusu Ntagazwa na Mpendazoe hamjafikiria nafasi za kuwapa?
 
Umenena mkuu tunatakiwa tufahamu kuwa si kila sehemu mtu anaweza kufanya vyema!

Back
Top Bottom