Pendekezo: John Heche amrithi Zitto Kabwe

A stupid thinking capacity.

Unamtukana nini sasa amemaanisha jambazi sugu aliepumzika baada yakupata ubunge,
Ingawaje yakuachishishwa ubunge amerudia katabia kake kwani hivi majuzi kakimbia na hela za m4c.
Si unajua wezi/majambazi mikono yao ina tabia yakuwasha wakipumzika wizi.
 

Na wewe umetumwa na nani,kuwadi wa uzandiki wewe!mmezoea kutumuwa na wachagga basi unadhani kila mtu anatumiwa!
Subili siku yako ifike utupwe kama condom!
 




Pichani ni katika mikutano mbalimbali inayoendeshwa na Mwenyekiti BAVICHA huko mkoani Kagera. Kijana huyu ameonyesha njia ya nini kinatakiwa sasa hivi kufanya badala ya kuhangaika na kulalakinia serikali kama Zitto afanyavyo.

Kwa mtazamo wangu afanyacho Zitto anataka serikali ya CCM ijirekebishe na hivyo kukosa uhalali wa kujenga hoja ya kuikosoa makosa yao wakati wa uchaguzi mkuu ujao, ndo maana naona viongozi wengi wa Chadema taifa hawako na ajenda za kulalamikia serikali au kuinyooshea vidole, ila kuwaelewesha wananchi.

Adui mkubwa wa CCM ni yule anayeingia vijijini kuwafungua akili wananchi, hawa wa kulalamika mjengoni hawainyimi serikali na CCM usingizi.

Zitto anatakiwa aelekeze nguvu huko kwenye kujenga chama matawini kama wenzake wanavyofanya. Kufanya afanyayo yamefanywa miaka nenda rudi na vyama vya upinzani kuanzia NCCM Mageuzi, CUF na vinginevyo bila kubadili sura ya wapiga kura kwa sababu hawakuingia kwenye source kubwa ya wapiga kura vijijini ambako CCM wamejichimbia kujihakikishia turufu ya kura kwenye uchaguzi mkuu.
 
Ni hoja nzuri kwa maslahi mapana ya chama.Naamini viongozi watalichukua pendekezo hili kwa umakini mkubwa.Hongera mkuu kwa lengo lako zuri la kuimarisha chama zaidi.

Wazo lako ni sahihi kwa wapuuzi na wazo kama hilo limewahi tolewa na dk slaa ndani ya kamati kuu kwamba mchumba yake (josephine mshumbusi) anafaa kuchukuwa nafasi ya mwasibu mkuu wa chadema ili achukue nafasi ya samson mwigamba lakini wajumbe wakamtosa lakini slaa akafanya hila mpaka mwigamba akatolewa pale makao makuu na akaona aibu kumuweka mchumba yake sababu wajumbe walisha anza kushout.
 
Zitto a.k.a mdogo wake Shibuda bado tunamhitaji CDM!! Teh teh teh teh teh teh teh teh!!
 
Kwa wanafuatilia siasa za Tz ni wachambuzi siyo washabiki take my words come 2015 Shibuda atakuwa raia wa kawaida mtaani na huo utakuwa mwisho wake wa safari ya kisiasa !! Hapo ndipo prons na cons za Magamba zitakapo kuwa peupe kwa watu wa dizaini ya Shibuda!
 
Kuna kipindi fulani Dk slaa alipeleka mapendekezo kamati kuu kwamba mchumba yake ambae ni josephine mushumbusi anafaa kuwa mwasibu mkuu wa chadema lakini wajumbe wakamtosa lakini wa fitna na majungu ya slaa akamuondoa samson mwigamba.
 
mkuu huyu demu alitumwa na wenzake kule fcbk so usipate shida kwani pia ukweli utabaki pale pale John Heche ni jembe wala huwezi kumlinganisha na yuel mzee kijana wa UVCCM Martin shigela.

Nasikia hata morogoro aliwatoa nishai makuwadi wa uzandiki heche(msukule wa slaa) na yule katibu wake anaongea kama demu fulani hivi,
Sijui ana matatizo gani!
 
Nasikia jamaa alikuwa anasugua disc pale bills ni kweli?
Jamaa mbaya kwenye kusugua santuri a.k.a chapati alitisha enzi hizo.Ulikuwa ukimkuta katupia shati la ujiuji vifungo kafungua pembeni ana kitaulo atawarusha mpaka majogoo.

 
Zitto a.k.a mdogo wake Shibuda bado tunamhitaji CDM!! Teh teh teh teh teh teh teh teh!!

Hata mimi bado namuhitaji mbowe mkwewe mtei aendelee kuwa mwenyekiti wa cdm.kwi kwi kwi!
 
Kuna kipindi fulani Dk slaa alipeleka mapendekezo kamati kuu kwamba mchumba yake ambae ni josephine mushumbusi anafaa kuwa mwasibu mkuu wa chadema lakini wajumbe wakamtosa lakini wa fitna na majungu ya slaa akamuondoa samson mwigamba.
Kwani hata Komu si alikuwa mtunza fedha wa Keys hoteli ya Ndesamburo unashangaa hayo CDM.
 
molema nazani unajua kwamba mdogo wa heche ni houseboy wa mbowe.
 
Kwani hata Komu si alikuwa mtunza fedha wa Keys hoteli ya Ndesamburo unashangaa hayo CDM.

Du!mpaka huu mwaka uishe tutasikia mengi!nilikuwa sijui
Nasikia john mrema a.k.a.molemo alikuwa mwalimu wa nyumbani wa mtoto wa ndesamburo
 
Zitto a.k.a mdogo wake Shibuda bado tunamhitaji CDM!! Teh teh teh teh teh teh teh teh!!

Hata mimi bado namuhitaji mbowe mkwewe mtei aendelee kuwa mwenyekiti wa cdm.kwi kwi kwi!
 
Wafuasi wa magamba mbona wanaweweseka sana?embu watulie watuachie mambo yetu .
 
Watu wa kaskazini hamumtaki zito kwani mnajua anakubalika katika urais na ndio maana hamkosi sababu kila kukicha. Hivi umaarufu wa zito unaweza ukafananisha na nani hapo chadema
 

Mkuu hujui kuwa Heche anataka ubunge Tarime? akishinda (amd most likely atashinda) si yatakuwa yale yale ya Zzk
 
Heche ni muziki mwingine kabisa mkuu; kwake yeye manenomaneo 19% ila kwa utendaji kazi uliotukuka ni 91%.

Hata siku moja mtu asidhani kwamba hatuwaoni hawa wana-CDM wanaokesha wakijituma kila leo kwa faida ya WaTanzania wote lakini bila kujikweza kila leo kwenye vyombo vya habari pasipo na ulazima.

Huyu kijana anastahili promotion kwa maoni yetu sisi tunaowatazameni huku nje ya uwanja.
 

We fallla hujui CHADEMA kaa kimya mbbwa kokko ww.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…