Pendekezo: Dotto James ateuliwe kuwa mbunge ili kupisha damu mpya Wizara ya Fedha

kwani lazima apewe kitu,si anaweza tuu kuwa uraiyani afanye mambo yake mengine akisubiri labda kama kuna uchunguzi flan hiv
 
Kwani hawezi tu kwenda kupumzika? Wewe vipi wewe?
 
Kwani katika mazingira haya ya mabadiliko ya uongozi wa juu, Rais anateua wabunge kumi? Kama ndio, je wale wa mtanguliz wake inabidi waachie ngazi?
 

Ana sifa na vigezo? Alipokaa amehudumu vyema na kwa uadilifu? Hana sababu ya kwenda sehemu nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…