Nelson Mmari
Member
- Jun 5, 2012
- 8
- 6
Kwa msiba huu tunaomba mkutano CDM square katika maombolezo ya mpiganaji Bob Makani kwani makamanda huwa hawaombolezi bali wanasonga mbele katika safari ya ukombozi ningeshauri Bob aagiwe hapo Jangwani aka CHADEMA Square wengi tupate fursa ya kumuaga.
Pia tupate muda wa kujuza kazi na imani ya Bob Makani
Pia tupate muda wa kujuza kazi na imani ya Bob Makani