Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 34,611
- 59,734
Inatisha sana mkuu imagine ndugu, mzazi, rafiki analiwa na ndegeYeah mkuu huo Ukanda wa Tibet una mambo ya ajabu
Nilienda Youtube kuangalia hiyo sky burial uliyoisema nikaona vultures wanavyofaidi minofu ya binadamu
Kumbe chimbuko la mazishi ya aina hiyo ilianzia enzi za zamani unapofika msimu wa winter barafu inatapakaa na ukijumlisha ardhi imejaa mawe tu haichimbiki
Sasa ardhi haichimbiki na nje barafu tupu so mtu akifa haozi ndo wakaamua wawape hao vultures nyama ya binadamu.
Duh mbona hatari hiyo,watu wanafuga kabisa hao ndege kibiasharaInatisha sana mkuu imagine ndugu, mzazi, rafiki analiwa na ndege
Kule kuikatakata minofu ndio kabisaaa
Huko India pia wanalisha sana ila vulture walianza kutokwa udenda na kufa sana mpaka waliopaa huko Pakistan walikutwa wamekufa wengi sana
Sababu ilikuja kujulikana baada ya kufanya uchunguzi wa mda mrefu na kukosa majibu na kuweka kwenye medical journals
Ndio m Canada mmoja akasema atumiwe kipande cha nyama ya vulture afanyie uchunguzi
Kumbe kwa sababu Hindu hawali ng'ombe sasa wanapozeeka huwapa diclofenac nyingi ili wadhoofike na kushambulia mifupa na mwisho kufa
Hapo vultures wanapokula mzoga wa ng'ombe wenye dawa nao wakawa wanakufa
Ilichukua miaka mingi kugundua hilo na sasa hata huko Tibet kuna watu wanafuga vultures ukitaka ndugu yako aliwe unaenda kuwakodisha na wanakuja kubeba maiti unaenda kushuhudia
Na India vultures ni indangered na wanalindwa sana ukiuwa pingu View attachment 2467575
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Duh mbona hatari hiyo,watu wanafuga kabisa hao ndege kibiashara
Na hao eti watalalamika biashara ngumu watu wakiwa hawafi [emoji28][emoji28]
Huku utapewa kesi ya ukiukwaji wa haki za binadamu[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sisi tu ndio tumegoma kuiga utafutaji
Na kweli ila kuna mengi sana wenzetu wanafanya na imekuwa biasharaHuku utapewa kesi ya ukiukwaji wa haki za binadamu[emoji23][emoji23]
Sema hiyo pet cemetery kwa bongo ni biashara kichaa na uifanye kama part timeNa kweli ila kuna mengi sana wenzetu wanafanya na imekuwa biashara
Imagine Xmas mtu ana shamba la Xmas [emoji319] na anauza kwa hela ndefu sana
Huku kuanzia October mpaka February ni biashara kichaa na watu ndio wanatengeneza hela haswa yaani kama msimu wa mazao kwenu [emoji1]
Wenzetu hawana mazao ila wamejiongeza kivingine
Xmas cards, fathers day , Mother's day
Valentines day
Cake na zawadi za kila aina yaani ni ubunifu tu
Kuna mzee mmoja mzungu mwaka 1993 nilimpelekea parcel yake akaniambia mwanangu kazi yako ngumu sana
Nikupe akili? Nunua au kodisha ardhi ndogo ufanye biashara ya Pet cemetary nikaguna
Ila alikuwa na akili sana na mimi ndio sikuiona kama ni fursa
Miaka minne mbele jamaa mmoja nae akafungua na mpaka kwenye TV wakaweka
Unajua kuna watu wanapenda paka na mbwa kuzidi wazazi wao
Utaharibu mada.Kuna wale wanaosema Yesu alikuwa Muislam , ila nimefuatilia mazishi ya Yesu ni tofauti kabisa na mazishi ya kiislam. Yesu alizikwa kama kwenye makaburi ya kujengewa lakini wao ilikuwa ni mwamba wameutoboa, akalazwa tuu pale na kuwekewa mlango wa jiwe, HAKUNA CHA MWANANDANI, MWANANJE AU KUKAFINIWA. Na taratibu za kwenda kuupaka mwili mafuta baada ya siku ya tatu kama heshima na mila ya wayahudi. Hao wanaosema Yesu alikuwa mwislam wameyatoa wapi?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sema hiyo pet cemetery kwa bongo ni biashara kichaa na uifanye kama part time
Kwa ulaya inalipa ila sio bongo ambapo mtu akiona tu mbwa anakatisha anapigwa mawe bila sababu[emoji28]
Dah ni mbunge gani huyo naona hiyo habari sikuipata[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huko haiwezekani kabisa
Yule mbunge alizika mbwa wake watu wakamshangaa sana na wengine kumtukana, unakumbuka?
Ila Ulaya biashara nyingi sana na watu wanajituma haswa
Simkumbuki Jina ila nakumbuka kuna mbwa alizikwa kwa heshimaDah ni mbunge gani huyo naona hiyo habari sikuipata
Nadhani ni tofauti za lifestyle kati ya sisi na wenzetu kuhusu ufugaji wa domestic animals
Huko Nje kuna mpaka hospitali za wanyama na madaktari wenye skills za kutosha na wanapiga hela ndefu tu
Africa sijawahi kuona hospitali ya wanyama zaidi ya madaktari tu wanaozunguka kutibu wanyama
Duh hicho unachokisema kuhusu utetezi wa haki za wanyama niliskia kulikua na mamlaka kabisa inayosimamia haki za wanyama enzi hizo sema ilikufa sijui kwaniniSimkumbuki Jina ila nakumbuka kuna mbwa alizikwa kwa heshima
Kweli Africa wanyama hawana thamani kwa sasa ila Enzi za mkoloni kulikuwa na sheria za kuwalinda wanyama
Baba yangu alikuwa na kibali cha kuwakamata wanaotesa viumbe
Alipewa na wakoloni kabla ya Uhuru na mimi nilizaliwa kabla ya uhuru kwa hiyo nilimuona father akiwakamata wanaotesa wanyama na kuwalima faini
Alikuwa anawapeleka polisi na wanalipa faini na kuandikiwa risiti
Enzi hizo kabla shetani hakuweka makazi yake bongo
Makusanyo yalikuwa yanapelekwa hazina
Unabeba kuku upside down unalipa sh 300 fine
Piga fimbo punda unalipa fine
Kupitisha ng'ombe barabarani lazima uwe na bendera nyekundu iliyofungwa na mti ili madereva wakuone na usiku marufuku kupita
Kweli mambo yamebadilika siku hizi wanyama wanaolindwa ni wa hifadhi tu kwa maslahi ya baadhi
Lingine kuhusu pet cemetary naona liko moja tu Tz huko Nachingwea can you believe that?
View attachment 2468129
Haswa ilikiwepo na Father alikuwa na mamlaka hayo hata baada ya Uhuru ila mwisho aliacha na akawa anawaelimisha tuDuh hicho unachokisema kuhusu utetezi wa haki za wanyama niliskia kulikua na mamlaka kabisa inayosimamia haki za wanyama enzi hizo sema ilikufa sijui kwanini
Walikua na majukumu hayo uliyoyataja,nadhani ingeendelea mpaka sasa tungekua mbali
Na kuhusu hiyo pet grave hawajaona sehemu ya kuweka kweli mpaka wameweka huko Nachingwea[emoji23][emoji23]
Dah kama namuona vile mzee alivokua anawachapa viboko wahalifu wanaoumiza wanyama[emoji28]Haswa ilikiwepo na Father alikuwa na mamlaka hayo hata baada ya Uhuru ila mwisho aliacha na akawa anawaelimisha tu
Kuhusu hiyo grave msome huyo mama alieanzisha kwao [emoji1] [emoji1787]
Hahaha makofi kwa sanaDah kama namuona vile mzee alivokua anawachapa viboko wahalifu wanaoumiza wanyama[emoji28]
[emoji28][emoji28]Eti kocha mpya wa simba ni best ake Pele!
Noma sana[emoji23]Hahaha makofi kwa sana
Fimbo za kutosha
Wanasahau kuwa baada ya kifo watu wote tupo sawa.Hakuna alie zaidiNi kuonesha tu kuwathamini wafu waliokuwa maarufu, ni kama tu wale wanaokausha na kuweka katika museums