Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 34,434
- 59,289
Ndio dearDuuh .. kisa land scarcity or ?
Hata Israel wanazo sana na hata usa na Japan wao ukitaka ubongo ubaki na mwili uteketezwe unalipa $80,000 in advance
Yaani hata cremation wanaohifadhi zile Urn
watu wanazikimbia wanashindwa kulipia baada ya kuziacha kuchomwa na kuhifadhi sehemu Dunia hii mpaka unaogopa
kuna watu wametengeneza freezer kubwa za kuhifadhi maiti milele yaani unagandishwa milele na bei yake ni $200,000 wapo waliolipia kabla ya vifo vyao waki secure space 
waislam na jews ni lazima wazike na baadhi ya wakristo wasiotaka kuchoma

