Yaani we acha tu
Wanaozea humo na wampendwa wanakuja kusalimia kama ziara za makaburini tu
Mimi kuna aina mbili Tatu za kuwaaga wapendwa ndio zimenishangaza
Huko Japan na Arizona

kuna watu wametengeneza freezer kubwa za kuhifadhi maiti milele yaani unagandishwa milele na bei yake ni $200,000 wapo waliolipia kabla ya vifo vyao waki secure space
Na huko Tibet hao ndio kiboko maana ardhi yao ni milima na mawe matupu hakuna pa kuzika
Mfalme mmoja miaka mingi iliyopita akataka maiti ziliwe na Ndege waitwao Vultures hao wanakula kila kitu
Kuna watu ndio kazi yao unawapa mpendwa wako nao wanaanza kukata kata na kuwatupia vultures
Ningeweka picha ila sio vizuri
Kama una moyo kaangalie YouTube sky burial ceremony
Usiseme sijatoa onyo