pedofil

vicent tibaijuka

JF-Expert Member
Mar 22, 2012
268
57
Jamani wana JF, naomba kuuliza, pedofil si ni mtu akutanae na mtoto ambaye hajafikisha miaka 18? kama ni hivyo, je sheria hii inafanya kazi Tanzania? kama ndo itakuwaje Kanumba awe maarufu na hta viongozi wajuuwafike katika msiba na wakati tayari yuko katika kundi hili la pedofil. (alikuwa na lulu wakati hajafikisha miaka 18): nielewesheni tafadhari.
 
Back
Top Bottom