Peacock millennium towers hotel chalii???

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Jul 3, 2007
5,520
2,091
Wadau juzi nilijitoa kimasomaso kwa kumtoa mama watoto wangu out pamoja na ndugu wa karibu kwa ajili ya chakula cha jioni,nikaamua kuingia Peacock Millennium Towers Hotel,kufika kwenye lift nikaambia wamefunga vyumba na ile restaurant zamani ikijulikana kama The Famous Butcher Grill na ile Bar ya juu kwa ajili ya matengenezo nikajaribu kuuliza mbona mmeichukua juzi tu kutoka kwa Makaburu,bila ya kupata majibu ya maana... Wadau kuna mwenye taarifa???
 
Kwa upande wangu sina taarifa.Lakini nahisi ndio matayarisho ya WEF.Si umeona hata minazi imepandwa usiku?
 
Ni mtazamo tu, ila kwanamna nyingine jengo lenyewe limechakaa sana. Kama wanafanya ukarabati hapo poa tuwape nafasi then tuje tuone kipi kilichoboreshwa zaidi sio ktaja mabilioni yaliotmika, tunataka watuonyeshe au tuone wamekarabati. Time is a secret of success, tuwape muda au vipi
 
Wamefunga kuwapisha waheshimiwa wanaokuja kwa WEF mkulu.
hata hayo matengenezo yanahusu hiyo ishu
 
Duh,ule msemo Kwa hapa Dar ni tofauti mgeni aje mwenyeji apelekwe ICU... Lkn siku hiyo hiyo tulienda Doble Tree Hotel ambayo leo imejaa...tukahudumiwa,labda kweli walikuwa wanafanya ukarabati...
 
Wadau juzi nilijitoa kimasomaso kwa kumtoa mama watoto wangu out pamoja na ndugu wa karibu kwa ajili ya chakula cha jioni,nikaamua kuingia Peacock Millennium Towers Hotel,kufika kwenye lift nikaambia wamefunga vyumba na ile restaurant zamani ikijulikana kama The Famous Butcher Grill na ile Bar ya juu kwa ajili ya matengenezo nikajaribu kuuliza mbona mmeichukua juzi tu kutoka kwa Makaburu,bila ya kupata majibu ya maana... Wadau kuna mwenye taarifa???

Mkuu,

Kwa ujumla lile jengo limeoza - Nadhani lilijengwa chini ya kiwango! Hivi unadhani ule mto unaokuwa formed pale opposite na Brake Point unatoka wapi? Drainage system ya lile jengo ni ya kichina!
 
Wadau juzi nilijitoa kimasomaso kwa kumtoa mama watoto wangu out pamoja na ndugu wa karibu kwa ajili ya chakula cha jioni,nikaamua kuingia Peacock Millennium Towers Hotel,kufika kwenye lift nikaambia wamefunga vyumba na ile restaurant zamani ikijulikana kama The Famous Butcher Grill na ile Bar ya juu kwa ajili ya matengenezo nikajaribu kuuliza mbona mmeichukua juzi tu kutoka kwa Makaburu,bila ya kupata majibu ya maana... Wadau kuna mwenye taarifa???

LAPF, mmiliki wa hilo jengo ameamua kulifanyia ukarabati wa hali ya juu, sio kwa sababu ya WEF but an overhaul of the whole building housing the hotel. New tiles, new carpets, new toilets, a complete overhaul to make it a 4 star hotel. Of course mmiliki, LAPF, anatoa a lot more in terms of money but supposedly hata mpangaji, Peackock Hotels Ltd, are also chipping in, kama kathete fulani hivi. This info from the person actually doing the renovation.
 
Back
Top Bottom