Solution iko hivo hapo juu kama jamaa alivyoelezea kwenye 64bits win 7 mm natumia win 8.1 64bits hiyo hainihusu kabisa lkn kama wewe unapata slow speed emu jaribu kufuatisha this GUY must be having soome networking techniques and ideas hivo nampa 100%
Pili,Kuna kitu kinaitwa PORT CONGESTION ...Yaani msi-rely kutumia PORT moja nyote mnaweza tumia port nyingine 443,9200, etc zote zinakubali tu....Maana nyote mkijirundika PORT moja mnao-overload server ktk hiyo given port maana speed ya server inategemea na TYPE ya server ambayo nimemjibu hekimatele pia Port speed e.g 10Gbps kwa port za starndard ya juupia na RAM ya server na Location ya server i.e Distance kutoka nchi ya server wewe ulipo na server unayotumia...Mfano
Hide My Ass! Free Proxy and Privacy Tools - Surf The Web Anonymously wana server iko close to Tanzania i.e EGYPT hii lazima iwe na speed kubwa mno.
CONCLUSION:
Avoid Port congesting for better result and choose the server close to your area..Hii sio nzuri kwa PD proxy torrent server zote ziko Located nertherands..hivo hii theory haito-apply kama ni TORRENT ADDICTED SMOKER lkn ita-apply kwa Tunnelguru sababu wanaserver in different location
sharing is caring ...Good Luck:A S 39: