Pd proxy na tunnel guru vip??

Pd proxy na tunnel guru vip??


mkuu nimegundua ni tatizo la mnara...nilijaribu kuweka hela kawaida bila kutumia pd speed ilikua ndogo mno...ila speed ilipoimarika na nilipounga pd nayo speed ikawa nzuri kama zamani...mnara ulikua unasoma 3G ila i gues ilikua ni edge
 
we una shida ya network ya voda..me najua kiboko ya pd ni net nzuri ya voda iwe 3g, ikiwa chin ya hapo..utaichukia..
 
Wakuu kwa takribani week sasa naona speed ya PD proxy inasua sua sana slow vibayaa...nimejaribu kubadili server ila wapiii..nimebadili line nayo bila bila..Tunnel guru nayo hivyo hivyo..je tatizo hili lipo kwangu tu? kama ni kwangu tatizo ni nini?
msaada wadau

Kaka BASI letu wameshafanya yao
TG,PD proxy,meteorVPN hakuna inayo connect
 
mkuu port zako zishafungwa
tunasubiri nyingine maana ulisema there is a way forward
Dah majanga gani tena haya?
But Najipa moyo kwamba ni service tu huko juu then baada ya muda tutaendelea kujilia vyetu kama kawa
 
Watu tulikuwa tumenyamaza kimya tunajisevia muvee but hawa Divishen 5 wamekuja kutuharibia,sijui itakuwaje tena maana alternative way bila bila na kuunga bundle nazo ngumu kumezza
 
duuuuh sitaki hata kuamini.......
 
Watu tulikuwa tumenyamaza kimya tunajisevia muvee but hawa Divishen 5 wamekuja kutuharibia,sijui itakuwaje tena maana alternative way bila bila na kuunga bundle nazo ngumu kumezza

Hahah ngoja watu warudi kuwa mapopo wa wajinga night.
 
Dah majanga gani tena haya?
But Najipa moyo kwamba ni service tu huko juu then baada ya muda tutaendelea kujilia vyetu kama kawa

Pole yenu watu washafanya kweli maana mlizidi mno kuropoka!!
Hapa nakula net kama kawaida kwenye Bis 3G ipo poa so kuna kaukweli trick imepigwa pin kivile KRAPKA DAVINOOOO


Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
mkuu port zako zishafungwa
tunasubiri nyingine maana ulisema there is a way forward

Kumbe huyo mpuuzi ndo kawakosesha watu mavitu vitu kha!! Watu watarudi kwenye bang tunnel pamoja na kubundi KRAPKA DAVINOOOO

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Usijali Port huwa zinabadilika badilika hiyo sio ishu hata kidogo

Haya mkali mambo yashakuwa mambo huko tupe basi hizo port zakubadilika badilika watu waendelee kula maisha krapka Davinoooooooooooooo!!!!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Ila kiukweli watu walizidi kuropoka humu ndani. Yaani watu wanataja mitandao live hasa baada ya ushindani kuongezeka humu wa maresellers nakumbuka mwanzo kwenye tg ilikuwa wachache tu no presha kulikuwa hamna mamluki,ila pd ukiingia fb unakuta matangazo na mtu anaweka jina la mtandao juu aaagghh!!!
 
We need to develop another option guys,kukatika kwa jamvi sio mwisho wa maongezi.
 
Safi sana, siju kwa nini wamechelewa kuzipa hizo port mda wote huo... Tatizo la watanzania wengi ni vilaza mno, mnapata bahati ya kupata upenyo kama huo badala ya kula kimya kimya mnawatangazia watu oooh ukitaka net ya bure ni check PM na wengine waligeuza kuwa ndio biashara haya sasa kuleni Ma.sa.bu,ri Yenu.
 
Back
Top Bottom