Pd proxy na tunnel guru vip??

Pd proxy na tunnel guru vip??

kukatakata kwa pd proxy kunachangiwa na basi letu pedwa la davo kufika kb 0 katika downloading speed,kusole tatizo la kukatakata inabidi kusolve hilo tatizo basi lisifikie 0 kb download speed,inabidi mkuu tu/udevelop mechanism katika hilo

Hapo kwenye mkazo sio sahihi
mm natumia version mpya ya OpenVPN haikati hata chembe hata siku mbili bila kuzima PC ikitokea ujue davo yenyewe imekata
 
Mi leo ndo kwanza nme-experience the highest speed i never had kwa pd!!
MUNGU USHUKURIWE KWA KILA KITU...
 
mkuu uko pande za wapi na unatumia server gani? daaah mi nilikua napata speed nzuri sana ila kwa wiki nzima sasa majanga hata kustream video youtube inagoba..full kukatakata
 
  • Swala la speed ni location wise - Kuna maeneo speed ni nzuli, na maeneo mengine speed ni majanga,mfano hapo dom ulipo,. Angalia hii picha chini, na fanya hesabu kwa siku ni gb ngapi nashusha, kwa hiyo hiyo PD unayosema speed yake ni ndogo.
99o6.jpg

Last edited by a moderator:
nami nipo dom, iko so slow nimeamua kuachana nayo. Natumia pdproxy. Naona ni utapeli flan

Kama ni maeneo ya chuo basi ujue users ni wengi hivo mnakula width sana...Indeed kuna Hizi VPN zinakuwa majanga maana,mm nikiangalia Voucher nilizouza na zilizo Active napata majibu kuwa sio wote wako satisfied
 
kaka mimi nipo kibaha huku yani watumiaji hapa hatuzidi hata 20..speed ilikua nzuri sanaaa ila kwa wiki sasa inazingua torrents zote chali..sasa sijui tatizo ni la pd au basi letu.....
 
PD na TG ni vitu viwili tofauti kabisa, PD inatumia PD Proxy(VPN client) na TG inatumia Tunnel Guru(VPN client) ; ANGALIA PICHA HAPO CHINI
TUNNELd-3.jpg

sasa hiyo TG inaoperate kama PD au nahitaji application tofauti?
Na vocha za TG ni sawa na PD au tofauti?
Kwa kifupi hizi ngoma mbili ni kama Voda na Airtel au ni kitu kimoja?
 
kaka mimi nipo kibaha huku yani watumiaji hapa hatuzidi hata 20..speed ilikua nzuri sanaaa ila kwa wiki sasa inazingua torrents zote chali..sasa sijui tatizo ni la pd au basi letu.....

Mkuu nunua kibando cha kizushi ujaribu kutumia bila vpn uone shida ni basi au ni pd au tg
 
Usijali Port huwa zinabadilika badilika hiyo sio ishu hata kidogo

we unafanya mchezo na useme sio issuee lkn wakizifix hizo loopholes hadi upate nyingine utalia
nakushangaa unasema zinabadilika wakati wewe unatumia za copy ungekuwa umeweka unique zako ningekuelewa
ni ushauri wa bure...fuatilia Nigeriia story illiyowapaata na MTN
 
Hapo kwenye mkazo sio sahihi
mm natumia version mpya ya OpenVPN haikati hata chembe hata siku mbili bila kuzima PC ikitokea ujue davo yenyewe imekata
ukiona hivyo ujue basi halifiki downloading speed 0 kb,ila kufikia hivyo inategenmeana sana na enep ulilopo sasa hiivi nimeahama location hikatikati hata kwa massa matatu tofauti na mwanzo ilikuwa kila baada ya dk kumi inakata,mimi nimelifanyia uchunguzi hilo swala na nimejithibitishia nalo
 
we unafanya mchezo na useme sio issuee lkn wakizifix hizo loopholes hadi upate nyingine utalia
nakushangaa unasema zinabadilika wakati wewe unatumia za copy ungekuwa umeweka unique zako ningekuelewa
ni ushauri wa bure...fuatilia Nigeriia story illiyowapaata na MTN

There is a way to identify open port
 
There is a way to identify open port

Its not simple as you think
Twende Tigo wanaconnect na 00 balance zitafute tuone basi kama unafikiri ni rahisi
Yaani usione hizo zimewekwa zimewaumiza wengi si we unaona una enjoy tu
Mm ninazo port 5 za basi letu.....we tafuta zako njoo hapa tutengenezee screen shot ndo tutaamini kuwa kutafuta OpenPorts ni rahisi kama unavyosema
There is a way but it may take even a year to attain stable connection with those open ports
 
Mimi natumia hii PD nasiku kama nne hivi inanisumbua kwelikweli, yaani nikiweka modem network inasoma sekunde chache then inapotea ikirudi najaribu kukonect inapotea tena, kuna wakati inakubali kwa dakika kadhaa then inapotea!
Nikabadilisha line lakin bado tatizo lile lile, nashindwa kuelewa nn tatizo. Kuna jamaa yangu na yeye ana experience the same ishu, hebu tusaidien tuendelee kuinjoy, kabla ya hapo speed ilikuwa bomba tu maana kama mechi nilikuwa nacheki tu online
 
Back
Top Bottom