Mpaka Kieleweke
JF-Expert Member
- Feb 27, 2007
- 4,132
- 1,580
Wambili, wewe unatetea ufisadi tuu ama na wewe ni fisadi?
Hosea lazima ajiuzulu na TAKUKURU lazima ifumuliwe yote kwani ripoti yao ipo miongoni mwa attachments walizopewa wabunge , na inaonyesha jinsi alivyoitetea Ricmond.
Lazima awajibike, haiwezekani PM awajibike na huku Baraza livunjwe naye asiwajibike, .
Kama TAKUKURU wangefanya kazi yao vizuri wakati ule na wakatoa ripoti ya ukweli ni kuwa leo taifa hili lisingekuwa kwenye hali hii ya kuchanganyikiwa kiasi hiki.
Huyu Hosea na TAKUKURU yake ndio imelifikisha hili taifa kwenye ufisadi mkubwa na wa kutisha kiasi hiki, wale mnaofikiri kuwa hapa kuna utani subirini muda utasema .