PCCB: Tuna manufaa nayo?

PCCB: Tuna manufaa nayo?

I hope haya madai ni ya kweli. Najua Watanzania tuna longo longo nyingi sana hasa tunapoambiwa tuchape kazi.

Kuna jamaa yangu baada ya kuacha kazi Europe ili akasaidie nyumbani, alikumbana na barua hizo mpaka kidogo afaunge safari kugeuza. Jamaa alikuwa anatolewa magazetini mpaka unajiuliza mara kumi, kweli huyu ndiye jamaa ninayemfahamu?

Inawezekana haya madai ni kweli lakini wahusika inabidi wawe macho sana maana unaweza jikuta barua kama hizi zinatawaliwa na fitina, majungu na watu wasio taka kuwajibika.
 
200,000 (laki mbili) per month OC kwa Wilaya yenye watumishi 5, pikipiki, na gari kupambana Rushwa!
Hii mpya!
 
Hapa tumeliwa. Lakini majibu ambayo yamekuwa yakitoka TAKUKURU kama vile ya Richmond yalianza kuonyesha kuwa mikono michafu inaanza kuingilia utendaji wa chombo hiki.

Mikono hii inaweza kuonekana katika waraka huu
 
Hii barua nadhani haijakaa sawa...............there is something mwandishi anaficha

Mwandishi ameandika
1. Ubaya wa Hosea kuzungumzia private life ya watu wengine......wakati na yeye kaandika kuhusu private life ya Hosea.

Hosea amekuwa mkurugenzi wa uchunguzi (then TAKURU) kwa muda mrefu, kama hakufanya kazi nzuri, sidhani kama jina lake lingepita Ikulu

kama kawaida ktk idara zingine, kiongozi mpya akiingia huunda team yake ambayo huamini itamsaidia vema kufanikisha malengo...............nafahamu restructuring aliyoifanya Hosea.......imewakwaza watu wengi sana.

Mwandishi kama ulivyoweka hiyo barua pia hebu tuwekee hiyo picha ya Hekalu la Hosea basi ili nasi hapa JF tuione for further comments

Mwandishi unaposema..........only 200,000 kwa ajili ya oc.....wengine hatujui hiyo ndio nini hebu fafanua

mambo mengine yaliyoandikwa ni very difficult ku-substantiate...........i mean we need more
 
I hope haya madai ni ya kweli. Najua Watanzania tuna longo longo nyingi sana hasa tunapoambiwa tuchape kazi.

Kuna jamaa yangu baada ya kuacha kazi Europe ili akasaidie nyumbani, alikumbana na barua hizo mpaka kidogo afaunge safari kugeuza. Jamaa alikuwa anatolewa magazetini mpaka unajiuliza mara kumi, kweli huyu ndiye jamaa ninayemfahamu?

Inawezekana haya madai ni kweli lakini wahusika inabidi wawe macho sana maana unaweza jikuta barua kama hizi zinatawaliwa na fitina, majungu na watu wasio taka kuwajibika.

..ila,waswahili wana usemi usemao"lisemwalo lipo,kama halipo linakuja"

..yawezekana sana ni masuala ya uchochezi tu hayo,baada ya watu kuguswa!ila,pia yawezekana kuna ukweli fulani!si yote yaliyoandikwa yatakuwa ya kutunga!
 
Kweli kazi ipo?? JF tumeweza kuiweka kwenye magareti ya Tanzania? ni vizuri hiyo attachment ikawekwa kwenye magareti hasa yale ya Udaku kwani watu wengi sana wa majumbani wanapenda kusoma hayu magazeti ya udaku.
 
Jana the African wamesema kuwa kesi ya rada ilifunguliwa Agosti 30, na imekuwaje tena kesi hiyo hiyo ikafunguliwa Novemba 1? Ina maana hao takukuru wanafanyaje kazi?
 
Hii barua nadhani haijakaa sawa...............there is something mwandishi anaficha

Mwandishi ameandika
1. Ubaya wa Hosea kuzungumzia private life ya watu wengine......wakati na yeye kaandika kuhusu private life ya Hosea.

Hosea amekuwa mkurugenzi wa uchunguzi (then TAKURU) kwa muda mrefu, kama hakufanya kazi nzuri, sidhani kama jina lake lingepita Ikulu

kama kawaida ktk idara zingine, kiongozi mpya akiingia huunda team yake ambayo huamini itamsaidia vema kufanikisha malengo...............nafahamu restructuring aliyoifanya Hosea.......imewakwaza watu wengi sana.

Mwandishi kama ulivyoweka hiyo barua pia hebu tuwekee hiyo picha ya Hekalu la Hosea basi ili nasi hapa JF tuione for further comments

Mwandishi unaposema..........only 200,000 kwa ajili ya oc.....wengine hatujui hiyo ndio nini hebu fafanua

mambo mengine yaliyoandikwa ni very difficult ku-substantiate...........i mean we need more

Kama ulivyopata taabu kuelewa "OC" mwanzoni nilidhani ni wale wakuu wa vikosi jeshini lakini baadaye nikajikongoja kuwa huenda ni "Opperational Cash" a.k.a "Pesa za Moto" Sijui kama nilikuwa sahihi hebu tusubiri atakavyotujibu.
 
Ohh poor Tanzania,
Lakini kitovu ni nini hasa?"Like father,like son",so goes the saying,kama JK mwenyewe ni msanii tosha kabisa,na ongezea hapa kuwa huyu Hosea mwenyewe ndo alitumika kummaliza Sumaye back then (the rest is history),so what we're witnessing now ni matokeo ya watu kutafuta madaraka kwa udi na uvumba ndani ya sisiemu,hivyo wanaamua kupay back ofisis za umma kwa marafiki waliowawezesha kuingia pale Magogoni.Kiini ni usanii wa JK,if at all JK had been a serious man even for a second in all his life time,perhaps things would have shown some significant sings of seriousness but as long as he ramins the way he is...ohh I pity Tanzania,sanasana tutazidi kusikia kashfa juu ya kashfa...by the way huyu bwana Hosea nasikia ni Msabato...

Usabato unakasoro gani kwani usabato ni ula rushwa? Hakuna uhusiano wa utendaji mbaya wa kazi yake na usabato wake. Nilichotarajia kusikia ni kosa gani kwake yeye kuwa msabato? FAFANUA
 
Kama mkuu wa kukamata RUSHWA naye ni mla RUSHWA tusitegemea neema ya MUNGU kuwa TZ inaweza kuwa rushwa-free.

Ni sawa na kumkabidhi mwewe amlee kifaranga wa kuku.
Bila shaka tutapata ukweli tuzidi kuwa na subira.
 
kajengewa nyumba kubwa sana na b.... g... KWA AJILI YA ROLE YAKE KWENYE KUWASAIDIA KWENYE MIANYA YA KUFUATILIA MIKATABA..AMBAYO INASADIKIWA KUWA NA RUSHWA na amekula mkungula wa mafisadi ili kubadili mashitaka kutoka shitaka la rushwa hadi kuwa shitaka la KUDANGANYA..kwa kifupi jamaa ni mlaji na fisadi kwa kwenda mbele...

kwa mnaofuatilia mambo KUMBUKENI SAKATA LAKE NA YULE MWANDISHI WA FAMILY MIRROR ..PALE SHERATON ENZI HIZO..alitaka kumfix yule mwandishi kumkamatisha rushwa ...kwa kuwa aliibua ishu yake ya kukatiwa enzi akiwa msaidizi wa yule mzee....

sio msafi kabisaaa....
 
My God.. What kind of carricuture is this? Haya ni matokeo ya kugawa madaraka kwa semi illiterates sababu ya ushikikaji. mimi naona hawezi kazi Au mnsaemaje wakuu? Sijui Cv zake lakini if this is true then we are in trouble in our efforts to fight ufisadi. Watu hawa hawafanyiwi hata interview kuona uwezo wao kifikra? Kama mtu anahutubia ngono badala jinsi ya kupambana na rushwa akiwa chief executive wa harakati dhidi ya rushwa then tunasababu ya kuqestion his personal intergrity intellectual capabilities and general inteligensia yake. Next time JK u must interview them . You know how to do it.
 
yes, law needs to be certain and people should be able to predict the consequences of their actions. I can predict now that in PCCB, things are not well.

Kikwete needs to know that there is no good, choosing a friend in such posts simply because they are friendly. that he is to choose his company or not, he should learn from the school of experience.

i agree with the point that Hosea is involved in distructing sumaye. You know Sumaye and kamazima were friendly in deed.

qualification reflects the meeting of minds of people, qualification is a cape of good hope, because it allows people to find justice
 
Haya mnayoyaona ktk walaka au barua hii ndiyo taasisi nyingi za Tz zinavyofanyakazi zake. They are not serious at all.
Hosea alikuwa PCCB hata wakati wa kamazima yawezekana kuna mambo ambayo alikuwa akiona hayaendi vizuri wakati huo na kuanza kupondea na hata kujisemea kwa wakuu wa nchi kuwa ningekuwa mimi pale ningefanya hivi na vile na amefaight ili apate hiyo nafasi.

Amepata. sasa kinachotokea hapa ni kama pengine alivyofanya yeye wakati wa kamazima. wapo (among of the directors) wanomuona hafai na wanataka nafasi hebu tujiulize aliyeandika hii barua ni nani? mtu huyu si mdogo hata kidogo ni wa ngazi za juu ktk TCCB.

hapa kuna mambo mawili

la kwanza, kuna watu wameguswa ktk anga zao wanataka kudhoofisha TCCB ili waendelee kumega mkate kiulaini. Ninavyowafahamu Watanzania tunapenda pesa sana kuliko kufanya kazi inawezekana jamaa anawabana kwelikweli ktk kazi kintendo ambacho watz hakipendi wanapenda kubonyeza kizenji tu. Suala la kufoka na kutukana linaweza likaingia hapa kwani ikiwa kiongozi ktk idara yoyote ya selikali hata mashirika binafsi na unapenda kazi unaweka kulia jinsi watu wasivyopenda kazi ila wanataka pesa (nimeyaona haya binafsi); anavyobadili upelelezi yawezekana ukawa the way around kwamba wao wapelelezi wamefukia machafu wakaacha ule ukweli sasa yeye anawasahihisha kuwa kwa nini usingefanya hivi? kumbe yeye mpelelezi amekula kidogo na amefichuliwa. hii inawezekana Tz na hawapendi kufichuliwa

la pili, ndiyo hili ambalo huyu jamaa kawekwa pale au amepageuza pale PCCB kuwa jamvi la rushwa kwamba mtu yeyote akitaka kula rushwa ili awe salama anamuona mzee hosea. hii ni tabia ya viongozi wetu wa nchi kwa ujumla kujisahau kuwa wanamtumikia nani, wao au mwanachi. hosea hapo atahakikisha anamridhisha rais kwa ripati ambazo anajua rais anazipenda na kiuuacha ukweli na kuwazarau wakurugenzi na wafanyakazi walio chini yake. Amelewa pesa amelewa madaraka ndiyo viongozi wetu
ni msommi huyo tena ni mtaalamu anayetegemewa Tz kuongoza mapambano dhidi ya rushwa na ufisadi

hii barua iko mezani per hosea, mezani katibu kiongozi na mezani per ma director wa mikoa je itabadili chochote?

Mungu akisema ndiyo hakuna kiumbe chini ya mbingu kitasema hapana

Mungu ibariki Tanzania
 
wuiiiiiiiiiii jamani nafaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!
 
Mungu atusamehe watz wote maana kwa njia moja ama nyingine sisi ndio tumeyataka haya yote
Idumu JF
 
najisikia kizunguzungu kwa kweli i better sign off kabla sijazimia
 
wuiiiiiiiiiii jamani nafaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!

Kadiri makombora yanavyozidi kutokeza ndivyo watu mnazidi kuchoka. Sasa si balaa hili? Kuujua ukweli kutamu sana, unakuwa tajiri wa habari. Tatizo ukweli wenyewe ukiwa unauma ndiyo balaa. Tulikuwa tunalilia kuyajua hasa matatizo ya watanzania, kwa sasa yanakuja kwa kasi ya ajabu tena waziwazi.

Ahsante kwa Teknolojia, maana watu wako huru sasa! Barua kama hii ingepatikana baada ya muda mrefu sana (miaka) lakini sasa inadadavuliwa na wadau mapema tu.

Haya, you shall know the truth which will set you free. Freedom of speech
 
Sometimes the 'truth' does not set us free. Unfortunately.
 
Back
Top Bottom