Lambardi
Platinum Member
- Feb 7, 2008
- 19,968
- 23,981
Kweli kabisa wangeweza kuwaanika na kusema wazi....kama...
PRELIMINARY INVESTIGATION REPORT
FILE: PCCB/KIL/ENQ/08/2008
SUSPECTS
1) NAME : E.N.LOWASSA[D1]
TITLE : MP MONDULI
,
ADRESS : PRIVATE BAG ,MONDULI
2) NAME : DR I.MSABAHA(BANGUSILO)[D2]
TITLE : MP.....
ADRESS : BOX ...KIBAHA
3) NAME : ROSTAM AZIZ
TITLE : MP,IGUNGA
ADRESS : BOX ...IGUNGA
hapo tungewaelewa kabisa na kusema sasa mambo yameiva..maana hata hao EPA wanazunguka tuu vikao visivyoisha utekelezaji hakuna.....wanashauri wakato wao ni watendaji na wamesapewa amri ya kutekeleza....siasa kila kitu...ndio tatizo jeshi,police wote wanapitia mafunzo ya siasa bado hazijawatoka............
TWasubiriaa Hosea atoke Dec ndio tutaanza kumnyoshea kidole na kusema maozo yake wakati huo nae atakuwa ameshafunga mdomo wake hataongea..i like defensive mechanism ya wanasiasa wa TZ,hakuna kulala......