Wengi walifiti kusomea kozi za afya ila ushindani ndo uliwaaribia.
mkuu sasa inakuwaje mtu alipata div two aachwe halafu wa three akachukuliwa.
Kama hadi directors wa taasisi nyeti kama TCU wanaandika hivi basi kuna tatizo sio kidogo
Director,una taaluma gani mkuu
Mkuu Nina div 3 point 14 chy C phy C bios D kuna uwezekano wa kusoma medicine apo???
Ahsante ila naomba unijuze kwa ufupi tu kwann nisiombekabla van dame hajajibu hapo mkuu kwa hizo alama bora usiombe MD angalia kozi nyingine