Mimi nirisit mwaka juzi, nilikuwa kama ww natafuta ctdt 1,... nilinikiwa tena kwa kujisomea mwnyw tu bila ya kufundishwa na walimu. Siri yng kubwa nilitazama format ya mtihani kwa maana Section.A, B, C na D ni topic gani huulizwa na ina marks ngapi ikisahishwa na nilisoma topic zote kwa umakini(kuelewa) na sikuacha hata nukta na hapo ndipo nilipoanzia na Sasa ni SHUJAA wa kile nichokitaka. Usikate tamaa komaa huu mwaka iwe isiwe KUTOBOA kunakuhusu mkuu.Nifanye nini ili nisikate tamaa? Mwaka juzi nilijitoa mnoo, nilisoma kama kichaa na nilitumia gharama kubwa. Nilikuwa natafuta crdt moja na nilifanya masomo manne. Maskini mie, matokea yalivyotoka nikaambulia D, sio siri niliumia kupita maelezo. Mwaka jana nikaamua kujiandikisha tena, kusema kweli nilipoteza hamu ya kusoma kabisa, kila siku nikawa nasema nitasoma kesho. Matokeo yake mitihani ikafika nami sijajiandaa, hivyo sikufanya mtihani kabisa japo namba nilipata. Mwaka huu natamani nifanye mtihani lakin roho yangu inasita vibaya mnoo. Nishaurini mwenzenu, shule bado naipenda lakin ndo hivyo.
Huo ni uongo, niliwahi kumuuliza headmaster wetu akajibu alama za usahishaji ni sawa kwa wote nami nilitoboa fresh tu kupitia reseatets.Kiongizi mbona kuna watu husema kuwa eti D inaanza na 35 Kwa PC na na SC yeye ni 30?
Download App ya THL wana maswali na materials kibao tu.Mimi naishi karibia na Tandika. Material nimegawa yote. Kuhusu kuonana tupeane mawasiliano.
Hivi kwanini huwa mnakubali kuibiwa hivi, hiyo gharama mchanganuo ni upi?kwa mwaka jana ilinigharimu sh.231,000. Hio ni pamoja na elfu 30 ambayo ni malipo ya maabara endapo unafanya masomo ya sayansi.
N.B. Kumbuka hio ni ada ya mtihani ya kituo + necta.
N.B. Kama hufanyi somo la real practical ada itakuwa ni 231,000-30,000.
N.B. Ada inaweza kubadilika kila mwaka, pia na kituo husika. Hivyo hio ni ada niliyolipia mwaka jana.
Usiwe mwepesi wa kukata tamaa.Nifanye nini ili nisikate tamaa? Mwaka juzi nilijitoa mnoo, nilisoma kama kichaa na nilitumia gharama kubwa. Nilikuwa natafuta crdt moja na nilifanya masomo manne. Maskini mie, matokea yalivyotoka nikaambulia D, sio siri niliumia kupita maelezo. Mwaka jana nikaamua kujiandikisha tena, kusema kweli nilipoteza hamu ya kusoma kabisa, kila siku nikawa nasema nitasoma kesho. Matokeo yake mitihani ikafika nami sijajiandaa, hivyo sikufanya mtihani kabisa japo namba nilipata. Mwaka huu natamani nifanye mtihani lakin roho yangu inasita vibaya mnoo. Nishaurini mwenzenu, shule bado naipenda lakin ndo hivyo.
madaraja yapo kama ya wengine isipokua PC anakua hana CA(Continuous assessment)Madaraja ya ufaulu yapoje mwaka huu?
yaan
A inaanzia maks ngap
B nayo inaanzia ngap?
C je?
D je?
F nayo?