PC kujizima na kujirestart again!!

Wakuu nilikua ama nimekuwa na hilo tatizo muda mrefu na nilichofanya nilireinstall OS ikafanya kazi kama wiki moja tatizo likarudia pale pale nimejaribu several times bado sikufanikiwa. Ingawa tatizo kubwa nikizima kuwasha inabidi nijaribu sometimes 20times ndio inakubali vinginevyo napata blue error.

Onetime nilijaribu kupress F8 nifanya system diognosis ikasema iko OK, but there is Symentic error and suggested solution is either remove or update.

Nikajaribu ku-unistall kwa kutumia softaware niliyopata kutoka kwa invisible
still bado tatizo lipo.

My solution ni kwamba huwa siizimi naiweka kwenye sleep mode na sisumbuki
kuiwasha 20times. But what is the lasting solution????

nitafurahi kupata jibu mimi sio mtaalamu wa IT hata kidogo lakini walau ninaka idea kidogo
 
ukishaona blue screen na message hiyo, hapo unatakiwa kurepair hiyo laptop, na kama repair haitafanya kazi bas toa HD, na weka kwenye pc nyingine na ufanye backup ya data na urudishe kwenye mashine yako then format,
 
1. Ikiwa computer yako ina RAM sticks mbili, toa moja. Kama tatizo limeendelea kuwepo, irudishe utoe iliyopo.

2. Kama unaweza kuazima HDD ya mtu, jaribu kubadilisha uone.

3. Ukijiridhisha kwamba tatizo sio RAM au HDD, pengine motherboard ndio ina shida. (Can't be the OS maana ushafanya re-installation)
Tulilazimika kupeleka computer kwa fundi mwenye laboratory kwa tatizo linalofanana na lako. Computer ilikuwa ina-reboot kabla ya kumaliza boot process, japo mara nyingi ilikuwa ina-freeze au kutoa BSOD. Booting process mara inaishia katikati, na wakati mwingine ina-freeze kabla au baada ya tu ya ku-logon. Tukabadilisha RAM na baadae HDD (+fresh OS installation), ila haikusaidia. Fundi aliipeleka kwa suppliers kubadilishwa motherboard maana bado ilikuwa na warrranty.

NB. Dalili za mwanzo: computer ilikuwa ina-boot kawaida, login goes just fine, but 10 or more minutes later it reboots.


UPDATE:
Njia hii itawasaidia pia wenye matatizo ya computer ku-freeze.
Unaweza kuanza na disk error checking kwa kutumia chkdsk tool.
 
Last edited:
1. Ikiwa computer yako ina RAM sticks mbili, toa moja. Kama tatizo limeendelea kuwepo, irudishe utoe iliyopo.

2. Kama unaweza kuazima HDD ya mtu, jaribu kubadilisha uone.

3. Ukijiridhisha kwamba tatizo sio RAM au HDD, pengine motherboard ndio ina shida. (Can't be the OS maana ushafanya re-installation)
Tulilazimika kupeleka computer kwa fundi mwenye laboratory kwa tatizo linalofanana na lako. Computer ilikuwa ina-reboot kabla ya kumaliza boot process, japo mara nyingi ilikuwa ina-freeze au kutoa BSOD. Booting process mara inaishia katikati, na wakati mwingine ina-freeze kabla au baada ya tu ya ku-logon. Tukabadilisha RAM na baadae HDD (+fresh OS installation), ila haikusaidia. Fundi aliipeleka kwa suppliers kubadilishwa motherboard maana bado ilikuwa na warrranty.

NB. Dalili za mwanzo: computer ilikuwa ina-boot kawaida, login goes just fine, but 10 or more minutes later it reboots.



hii mbinu inatosha kabisa hukifanya kwa umakini tatizo litaisha.
 
How to troubleshoot a "STOP 0xC000021A" error Bonyeza hapa How to troubleshoot a "STOP 0xC000021A" error

Computer Restarts Itself PC kujizima na kujirestart again!! Angalia Kwanza Feni yako inafanya kazi? na kuna joto sana ndani ya Laptop yako tumia hii Tool kuangalia joto la Laptop yako bonyeza hapa Download SpeedFan 4.38 Beta 10 - Download - FileHippo.com

Kisha angalia joto ndani ya Laptop yako?Maelezo zaidi Bonyeza hapa Computer Restarts Itself

Jambo la pili linayofanya Laptop yako Ijizime na Kujiwasha yenyewe ni hii (RAM) jaribu kuibadilisha (RAM) weka Mpya kwenye Laptop yako kisha angalia Matatizo ya kujizima na Kujiwaha yenyewe Laptop yako yamekwsha?

Flat surface should have enough ventilation.

What changes have been made to the PC before this happened?

XP still has BSOD, you just do not see it. This is how MS "fixed" the bad BSOD Press it had.

Right click on My Computer > Click on the Advanced tab > Click on SETTINGS under the "Startup and Recovery" section.

Under system failure, UNCHECK the "automatically restart" option.

Click on OK>Apply>OK.

Next time there is a problem, this *should* show the BSOD and provide the code/error for the crash.
 
Nashukuru sana tena sana jamani kwa msaada wenu wa maana na wenye kusaidia zaidi.......So ni kwamba kama nilivyosema mwanzoni PC yangu ilikuwa inajizima n kujiristart again so baada ya kuona hilo tatizo nimeona kwamba labda hamna jinsi kila nikijaribu kufata kama mlivyonielekeza nimetoka empty..Sasa pia LAPTOP yenyewe huwa inashika sana moto tena sana maana huwezi kuitumia ukiwa umeweka kwenye miguu lazima pengine uweke kitu ndio uweze kuweka miguu la sivyo unaungua.......Sasa ilinibidi nichange window na kuweka XP so hiyo XP nimeweka inafanya kazi vizuri kabisa bila tatizo lilipo nimekosa kabisa HARD DRIVE za hiyo laptop....Sasa nilichofanya kingine ni kutaka kuitoa hiyo window xp na kuirudisha back kwenye vista but nikiinstall hivyo window vista inakataaaaaaaaaa kabisaaaaaaaaa na imegoma kabisa kuinstall vista ila sasa nikijaribu kuweka XP inakubali ila hiyo VISTA ndio imenigomea kabisa sasa sijui mpaka nifanye nini na inatoa moto sana yaani.........Naombeni msaada ndugu zangu!!
 
Feni inazunguka? Kama inatoa moto sana probaly feni imekufa. Na tupe error unayopata exactly, ukisema Vista inakataa kabisaaaa inakua haisaidii.
 
Computer Restarts Itself

My PC running on Windows XP frequently restarts it self for no apparent reason. Any files or internet pages I have been working on are lost. The PC reboots to the desktop and I have to redo all my work. Any ideas please?"

It's Hot in There

Sometimes this can be caused by an overheating situation. Itunes, RealPlayer, Windows Media player, etc. require a lot of processing power to decompress and decode music files, which can cause the processor or hard drive to get hot.
If your CPU is running at over 60 degrees (C) you might be at risk of burning it out. Some systems shut down automatically when the temperature reaches an unsafe level. Every few weeks I open my system unit and clean the fins on the heat sink that sits under the CPU. When they collect dust it restricts the airflow and prevents proper cooling. You can use a can of compressed air (look at your local office supply store) or an old toothbrush. I just did that on my system and the CPU temperature dropped by ten degrees!
Download the free Speedfan utility and it will tell you the temperature at which your CPU and hard drives are running.
Memory Fails Me...

If you determine that overheating is not the problem, the most likely suspect is bad memory. Trying to access a bad spot in your system memory (RAM) can cause the computer to freak out and restart. The best way to find the culprit is to pop open the system unit, remove (or replace) one RAM stick and see if the problem is solved. Run your system for a while and if the problem goes away, you win! If not... lather, rinse and repeat for each RAM stick until you find the one that's misbehaving.
Don't Do Me Any Favors

There's a setting buried in Windows XP that tells your computer to restart when a system error occurs. If you turn off that option, you may solve your automatic reboot problem.
Click Start, then open Control Panel
Click Performance and Maintenance
Click System
Click on the Advanced Tab
Click Settings in the Startup and Recovery section
Uncheck Automatically Restart in the System failure section
Note that this may prevent the system from restarting, but it can also mask the true problem. As an alternative to this measure, consider what has recently changed on your system. If you have installed new hardware or software, remove it and see if the annoying restart persists. Sometimes downloading the latest driver software from the manufacturer's website will fix hardware incompatibility problems that cause restarts.
Computer Restarts After Download?

Some folks have written to me complaining that their computer automatically restarts itself after every download. And interestingly, most (if not all) mentioned they were using the Firefox browser. If you are using a download manager or download accelerator, this could be causing the problem. Check all the settings in the download manager and tweak if necessary. Or get rid of the download manager and see if the problem remains.
This can also be a virus or spyware problem. I suggest you go through your Control Panel / Add or Remove Programs list and remove any programs you don't need, then run thorough anti-virus and anti-spyware scans. It could even be your anti-virus program fighting with the browser or download manager. Switching to a new anti-virus might help also. See my recommendations for the best free anti-virus software for help with that.
Other Things to Consider

Failing or under-rated power supplies can also cause your computer to restart at seemingly random intervals. Switching out a power supply is really not too hard. Turn off the computer, open the case, disconnect the power cable from the power supply to the motherboard. Unscrew the power supply from the case, and reverse the process to install a new power supply. A 300-watt power supply will be fine in most computers.
And as one reader kindly pointed out, bad capacitors on the motherboard can also cause random reboots. But unless you're kinda geeky and handy with a soldering iron, it's tough to identify and fix this problem. You can find lots more helpful info on bad capacitors at badcaps.net. For most mere mortals, replacing the motherboard as a last resort will be easier than replacing a capacitor.
I also encourage you to read ALL of the comments below, before you rip your hair out, or rip your computer to shreds. It boils down to this... most restart problems are caused by overheating, bad ram, malware, or some other failing component. It can be difficult and time-consuming to identify WHICH of those things is the culprit. The only good solution is to test each one, in sequence (removing and replacing components if necessary), to identify the problem.
 
Jamani nimerudi tena maana mpaka sasa sijapata solution kuhusu laptop yangu maana tatizo ni kwamba nimeambiwa HD imekufa so inabidi nipate nyingine hilo sio tatizo zaidi baweza kununua nyingine ila sasa hivi nikiifungua tu kwenye screen naona rangi ya blue then kuna haya maandishi nayaona

STOP:C000021a {Fatal System Error}
The initial session process or System process terminated unexpectedly with status of 0x00000000(0x0000001 0x0037c)
System has been shut down

Sasa yaani kila ikifunguka inajianza tena upya hivyo hivyo....
Sasa ndugu zangu naombeni msaa je hapo sasa tatizo litakuwa kwenye hiyo HD au window ndio itakuwa imecorupt??Sijajua zaidi hayo maneno yanamaanisha nini zaidi,maana nisije kuingia gharama zaidi kwa ajili ya kitu ambacho hakina ubovu so nategemea nitapata majibu kabla sijachukua uwamuzi zaidi!!

And kila siku mimi matatizo yangu ni hayo tu sio zaidi maana siwezi kupata
tatizo la virus au kitu kingine zaidi ya hili tatizo na nina PC yangu ya nyumbani ambayo ni desktop na yenyewe ina hayo hayo maana nikisha iwasha tu inajirestart again so hili tatizo linatokana na nini au inabidi nifanye nini ili nijiepushe na hili tatizo lisiweze kutokea mara kwa mara au hilo tatizo linatokana ana nini???Ok nategemea nitapata msaada zaidi kutoka kwenu!!

vipi unayo RECOVERY CD-ROM? kama unayo itie hapo uweke mitambo mipya shuhuli ni fupi. la sihivyo vinyozi wanakusubiri kwa mikono miwili wakutoze maelfu ya shilingi
 
vipi unayo RECOVERY CD-ROM? kama unayo itie hapo uweke mitambo mipya shuhuli ni fupi. la sihivyo vinyozi wanakusubiri kwa mikono miwili wakutoze maelfu ya shilingi


Duu mkuu recovery CD-ROM wala sina kabisa yaani na sijui nitaipata wapi nimejaribu kufatilia naona ina bei kidogo!!
 
Jaribu hii Bonyeza hapa System Restore

Running System Restore


If your computer seems to be unstable, you've done a thorough anti-virus and anti-spyware scan, and you've been unable to remove any suspected software packages through Control Panel, give System Restore a try. To roll back your computer settings to a previously saved restore point:

# Click the Start button, then select Programs / Accessories / System Tools
# Click System Restore.
# Choose "Restore my computer to an earlier time" then click Next.
# Select a day on the calendar, a restore point description, then click Next.
 
Back
Top Bottom