Papizo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 4,944
- 1,431
Jamani nimerudi tena maana mpaka sasa sijapata solution kuhusu laptop yangu maana tatizo ni kwamba nimeambiwa HD imekufa so inabidi nipate nyingine hilo sio tatizo zaidi baweza kununua nyingine ila sasa hivi nikiifungua tu kwenye screen naona rangi ya blue then kuna haya maandishi nayaona
STOP:C000021a {Fatal System Error}
The initial session process or System process terminated unexpectedly with status of 0x00000000(0x0000001 0x0037c)
System has been shut down
Sasa yaani kila ikifunguka inajianza tena upya hivyo hivyo....
Sasa ndugu zangu naombeni msaa je hapo sasa tatizo litakuwa kwenye hiyo HD au window ndio itakuwa imecorupt??Sijajua zaidi hayo maneno yanamaanisha nini zaidi,maana nisije kuingia gharama zaidi kwa ajili ya kitu ambacho hakina ubovu so nategemea nitapata majibu kabla sijachukua uwamuzi zaidi!!
And kila siku mimi matatizo yangu ni hayo tu sio zaidi maana siwezi kupata
tatizo la virus au kitu kingine zaidi ya hili tatizo na nina PC yangu ya nyumbani ambayo ni desktop na yenyewe ina hayo hayo maana nikisha iwasha tu inajirestart again so hili tatizo linatokana na nini au inabidi nifanye nini ili nijiepushe na hili tatizo lisiweze kutokea mara kwa mara au hilo tatizo linatokana ana nini???Ok nategemea nitapata msaada zaidi kutoka kwenu!!