Paypal: Upotevu wa mapato na ajira Tanzania

Paypal: Upotevu wa mapato na ajira Tanzania

Ni kweli ndugu.Tuzidi kushirikiana kupeleka huu ujumbe.Serikali ni watu nina imani watatuelewa tu.Let us not only wait,let us do our part. Not only once but consistently.
Kwa jinsi serikali hii isivyopenda wananchi wake wapige hatua....sidhani kama watalishughulikia haraka hili suala....zetu dua....
 
Kwa jinsi serikali hii isivyopenda wananchi wake wapige hatua....sidhani kama watalishughulikia haraka hili suala....zetu dua....

Hahaa,Sio viongozi wote ni wabaya bhana.Kuna wema pia.Tufanye kazi yetu ipasavyo ya kufikisha ujumbe. wapo viongozi wema watasikia na kutenda accordingly.Waswahili husema 'Kazi na Sala.' So,Tusikae KIMYA tukitegemea miujiza.Let us do our part.Let us pave the way for that miracle.
Nikumbuke maneno ya Rais wa Marekani enzi hizo John F. Kennedy aliwahi kusema, "Here on earth; God's work must truly be our own."
 
Let's hope that this time our government will take into consideration this opportunity as raised by the main stakeholder to be!!!!
 
Let's hope that this time our government will take into consideration this opportunity as raised by the
 
Niliwahi kuwa Na duka eBay bila ya mafanikio, Na eBay kila mwisho wa mwezi wanakata chao, kwakweli ilinopa shida sana ya kujibu email Za wateja waliokua wanahitaji kulipia mzigo nilioweka dukani.
 
Let's hope that this time our government will take into consideration this opportunity as raised by the main stakeholder to be!!!!
Absolutely,our hope still lives and shall never perish.
 
Niliwahi kuwa Na duka eBay bila ya mafanikio, Na eBay kila mwisho wa mwezi wanakata chao, kwakweli ilinopa shida sana ya kujibu email Za wateja waliokua wanahitaji kulipia mzigo nilioweka dukani.

Ni kweli kabisa. Unajikuta unapoteza potential customers/fursa huku unaona(Very sad).Nina imani kuna wadau wengine humu pia kama waandishi wa habari wa radio,Tvs na magazeti wanapitia humu.Pia ingependeza watualike baadhi ya vijana tuweze kutoa ufafanuzi zaidi na elimu zaidi kuhusu hili jambo(E-commerce).

Pia tusisahau ile idea aliyopendekeza mdau(Monika2) kuhusu hashtag on social media like twitter,facebook etc. #SayyestopaypalinTanzania .Let this message go viral
 
Hii kitu ni serious sana, wahusika inabidi wasikie hiki kilio. Yaani kuna watanzania wengi wanafanya project za watu online kupitia site kama freelancer.com na wanalipwa kupitia paypal ila ishu inakuja kutoa hizo pesa.
 
Maoni yangu Kuhusu Ebay/PayPal:
EBay wana policy ya refund kama bidhaa uliouziwa kupitia mtandao wao either haijakufikia au imeharibika Na mmeshindwa kufikia muafaka Na Seller.

Sasa kwa kesi ya Tanzania ni ngumu kwa sababu address haziko tracked. Itakuwa ni vigumu kwa eBay kuthibitisha kama bidhaa ulionunua imefikufikia au la. Halafu wa Nigeria waliwatapeli sana wazungu Na watumiaji wengine wa EBay.
Mfano: unauza simu kwa $100, mtu anabid Na kuwin, kisha anakutumia fake email kutoka PayPal kusema umepokea $400. Kisha Yule mtu anakuandikia email kusema kakosea amekutumia pesa nyingi kwa hiyo anaomba umrudishie $300 kwenye PayPal account yake.
Ziko njia nyingi Ambazo fraudsters wanazitumia kuibia watu via PayPal/EBay. Ndio maana wanaweza sanctions kama hizo.


Update:
Ebay na PayPal wametengana sasa, mwanzo walikuwa pamoja, japokuwa bado unaweza kulipia bidhaa ulionunua EBay kwa PayPal.

Ebay wameanzisha "Click & Collect" kwa UK. Unanunua bidhaa online kisha unaenda kuchukua kwenye Click & Collect shop jirani Na wewe.

Way Forward:
Fanya research,tafuta wadhamini contact EBay uanzishe click & Collect service Tanzania.
Tatizo la hiyo itakuwa kwenye kuwalipa kodi TRA. Maana mtu atanunua simu kwa $10 atalipakodi shs 50,000.

Mkuu umeongea kitu cha msingi sana. Lakini huo ni upande mmoja wa E commerce, kuna watanzania pia wanafanya project mbalimbali za watu kupitia mitandao kama freelancer.com na site nyinginezo, baada ya mtu kukamilisha project anakuwa paid kupitia paypal, tatizo linakuja kwenye kuitoa hiyo pesa hapa Tanzania, taratibu haziruhusu.
 
Kitu kingine PayPal kutukubali kufanya Transactions Tanzania haikuzuii kufanya Biashara worldwide.

Unaweza ukajisajili Na Huduma za kuchukua malipo online kwa njia ya card, mteja atakulipa kwa kutumia Debit au Credit Card yake malipo yanaingia kwenye account yako ya NMB, CRDB etc

Mkuu hiyo inawezekana ila kama alivyosema Genius One, Paypal iko trusted worldwide, yenyewe inamlinda customer zidi ya yule merchant, so kama utafanya biashara na mteja alafu ukampa option ya kukulipa kwa kutumia Credit au Debit Card direct utamfanya mteja aanze kuwa na mashaka hata kama una nia njema. So hii kitu naona kama haikwepeki, huu ndiyo muda mwafaka.
 
Mkuu hiyo inawezekana ila kama alivyosema Genius One, Paypal iko trusted worldwide, yenyewe inamlinda customer zidi ya yule merchant, so kama utafanya biashara na mteja alafu ukampa option ya kukulipa kwa kutumia Credit au Debit Card direct utamfanya mteja aanze kuwa na mashaka hata kama una nia njema. So hii kitu naona kama haikwepeki, huu ndiyo muda mwafaka.
Kwa Credit Card ina mpa mnunuaji 30 Days Money Back guarantee kama hatoridhika au kama kukiwa na fraud yoyote ya alichokifanya online.

Watu wengi wanatumia credit card kwa online transactions.
 
Tusikate tamaa,tuendelee kupaza sauti. I belive there better days ahead.Siku moja wataelewa tusemayo na kutekeleza.
Endelea kupiga kelele ndugu gharama za internet zipo juu sana kwa biashara ya kielektronia utakuwa unafaidisha zaidi makampuni ya mada na simu

Sent from my K019 using JamiiForums mobile app
 
Ni wazi wale wote tunaofuatilia mambo ya technology; especially E-Commerce(biashara kwa njia ya internet) mtakubaliana na mimi nchi yetu imepoteza mapato mengi sana na ajira nyingi sana kwa watanzania hasa vijana wasomi.Kwa nini ?

Nitoe mifano michache then wenzangu mtaongezea zaidi.Kuna mitandao maarufu kama EBAY na AMAZON (E-commerce platforms).Hizi sites zimetoa ajira kubwa sana kwa vijana na makampuni kwa Marekani,China,Kenya na nchi nyingine nyingi duniani.

Utajiuliza hapa kwanini watanzania hawauzi na kunufaika na haya masoko makubwa duniani EBAY,AMAZON and the like?

JIBU: Ni mfumo wa malipo. Ukiwa Tanzania huwezi kupokea malipo toka nchi nyingine kwa kutumia Paypal.Kwa kifupi ni kwamba nchi yetu bado haijaruhusu kupokea fedha kwa njia ya PAYPAL kutoka nchi nyingine duniani.Hivyo,ukiwa Tanzania Unaruhusiwa tuu KUTUMA(one way) kwa njia ya Paypal.

Kwanini PAYPAL? Ninakubali kuna njia nyingi za kupokea malipo, taja njia yoyote ile lakini hakuna inayoifikia Paypal(Security & number of Customers).Hivyo,Paypal inaaminika zaidi duniania kuliko njia nyinginezo tunazozifahamu.Nilishawahi kupata a number of customers on Ebay kikwazo ikawa kwenye suala la malipo.Wateja wengi wanaimani zaidi na Paypal.So far I am grateful kwamba ninajua baadhi ya bidhaa ambazo foreign customers wanazihitaji sana(kutokana na inquiries) nilizozipata baada ya ku-list online some of the products made in Tanzania.

Kuna watanzania wengi tu mikoani huko wanazalisha na kutengeneza products nyingi na nzuri ambazo mataifa ya kigeni yanazihitaji lakini kikwazo kikubwa(Opportunity here!) ni kukosa access ya international market.

Kuna tabia ya watanzania kupuuza technology,kugopa technology,na wengine may be inatokana na kukosa taarifa na uelewa wa fursa zitokanazo na technology(Computer & Internet ….) au kubweteka na old model of doing things(Business as usual)

Pia viongozi wetu wengi wanasisitiza kilimo pekee.Bila kuangalia upanuzi wa masoko.Tunahitaji vyote kulima,kufuga,viwanda na kupanua masoko hasa mosoko ya nje(kimataifa).Technology imekua,Dunia imebadilika nasi tubadilike.

Sio kila mmoja lazima aishie kulima na kufuga pekee; japo kulima na kufuga ni muhimu,tunahitaji kufikiria mbali na mbele zaidi.

Nina imani serikali hii ni sikivu,pia nina imani itasikia na kutenda.Zaidi ni imani yangu kwa Mr. President Dr. Magufuli. Tusikubali kuendelea kupoteza fedha na ajira huku majirani zetu Kenya ,Mozambique wakiendelea kuneemeka na kunufaika na hii fursa.



Niseme tu kwamba mimi na vijana wenzangu(wanaojitambua) tupo tayari kutoa ushirikiano wa aina yoyote,wakati wowote,kwa taasisi/shirika lolote na kwa wakati wowote ili kuhakikisha nchi yetu inanufaika na hii fursa(E-commerce) ambayo itakuawa ni mkombozi wa ajira kwa vijana wengi zaidi na kuliingizia taifa fedha nyingi za kigeni.


Kenya Wameweza na wanafanya,Mozambique wameweza na wanafanya.WHY NOT US, WHY NOT NOW?

GOD BLESS TANZANIA not Lema only-LOL!(hapa nimechomekea tu)

Kiongozi, ni wazo zuri hili kwani access ya wafanyabiashara wa kitanzania kwenye soko la kimataifa bado sana.

Hata hao Ebay na Amazon bado hawapo Afrika kiuimara kama sehemu ya market share yao.

Mimi nafikiri unaweza kubuni aina yako mpya ya kuweza kuwafanya wateja walipie bidhaa zako hukohuko Tanzania kama wanahitaji bidhaa kutoka Tanzania.

Hio Merchant account (PayPal) ndio ya kujaribu kuishawishi serikali iruhusu account hio iweze kufungukiwa na watanzania na iwe katika fedha za kigeni kama in dollars.

Je, hapo kwenye rangi -ni bidhaa gani hizo zinazalishwa huko mikoani si mbaya kama ukinorodheshea hapa.
 
Hii kitu ni serious sana, wahusika inabidi wasikie hiki kilio. Yaani kuna watanzania wengi wanafanya project za watu online kupitia site kama freelancer.com na wanalipwa kupitia paypal ila ishu inakuja kutoa hizo pesa.
Hii kitu ni serious sana, wahusika inabidi wasikie hiki kilio. Yaani kuna watanzania wengi wanafanya project za watu online kupitia site kama freelancer.com na wanalipwa kupitia paypal ila ishu inakuja kutoa hizo pesa.
Very true, fursa zipo nyingi sana mtandaoni.Na uzuri wa E-commerce unaweza ukaingiza pesa 24hrs
 
Endelea kupiga kelele ndugu gharama za internet zipo juu sana kwa biashara ya kielektronia utakuwa unafaidisha zaidi makampuni ya mada na simu

Sent from my K019 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo unataka tukae kimya kwa jambo muhimu kama hili? Tambua ya kwamba swala la technology kwa sasa halikwepeki.Hata kama gharama za internet zipo juu,Je watu siku hizi wameacha kutumia internet? Hivi unajua aina ya Wateja waliopo EBay,Amazon..? It seems you don't have adequate knowledge abt these sites & E-commerce in general.Kama wewe huna ufahamu na E- commerce usikatishe tamaa watu wengine.
 
Kwa hiyo unataka tukae kimya kwa jambo muhimu kama hili? Tambua ya kwamba swala la technology kwa sasa halikwepeki.Hata kama gharama za internet zipo juu,je watu siku hizi wameacha kutumia internet? Hivi unajua aina ya Wateja waliopo EBay,Amazon..? It's seems you don't have adequate knowledge abt these sites & E-commerce in general.Kama wewe huna ufahamu na E- commerce usikatishe tamaa watu wengine.
Usilo lijua ni sawa na usiku wa giza, unajua gharama za data? Unajua na speed wanayotoa? Huwezi fanya biashara ya mtandao kama gharama za bandwidth ni kubwa halafu speed yake ndogo



Sent from my K019 using JamiiForums mobile app
 
Watanzania wengi wasivyokuwa makini tutawatajilisha "wapopo" Nigeria.
 
Usilo lijua ni sawa na usiku wa giza, unajua gharama za data? Unajua na speed wanayotoa? Huwezi fanya biashara ya mtandao kama gharama za bandwidth ni kubwa halafu speed yake ndogo

Sent from my K019 using JamiiForums mobile app
It seems hujaelewa Maada yetu kiundani.please reread the topic.You are playing out of the pitch
 
Hii serikali yetu sijui ikoje,wakishauriwa juu ya jambo kama hilo utanaona watakavyoanza kuleta ujuaji wao....'ooh tunafanya hivyo kwasababu za kiusalama...sijui nini....'.Nasikia pia hata matangazo ya television yameruhusiwa mwisho ukanda huu wa Afrika Mashariki na si zaidi ya hapo,hatujui fursa tunazozipoteza kutokana na sera hizi zilizopitwa na wakati.Duo citizenship ni janga lingine kwa nchi hii.
sasa viongozi wenyewe ni kina lusinde na maji marefu, na hao wanaoitwa wasomi akili zao ndio hizo hizo za lusinde, unategemea nn? hawawezi kua na hayo mawazo, wao mawazo yao nikuendelea tu kutawala hata kama wameshindwa na wamekataliwa na wananchi!
 
Watanzania wengi wasivyokuwa makini tutawatajilisha "wapopo" Nigeria.
Ndiyo,umakini unahitajika.Lakini je tuache kufanya biashara kwa kuogopa kuibiwa? Uhalifu waweza kufanyika hata kwenye physical stores na unafanyika.Hivi unafahamu mapato wanayopata wachina/Marekani yanayotokana na E-commerce pekee?
 
Back
Top Bottom