Paypal: Upotevu wa mapato na ajira Tanzania

Ahsante ndugu,tushirikiane kufikisha ujumbe bila kuchoka.Ukiingia kwenye sites nyingi zinazolipa utakuta profiles za wengi wakenya, then south Africa,Mozambique,...Vijana wenzetu wamekamata fursa sisi.....? Mpaka roho yaniuma kwa kweli.
Umenena mkuu
 
Sasa Unadhani Kila Mtu Atauza Vitu Hivyo Na Unadhani Kila Mtu atataka kuuza Vitu vya Utamaduni.... Ebay

Vipi nikitaka Kuuza Simu... Maana Nalangua China Kwa Bei Poa Then Namuuzia Mmarekani au
Mkuu RGforever.. Jaribu kuangalia kwa mapana.. Bidhaa za utamaduni nimfano tu... Kitu kingine angalia categories of products kwenye ebay amazon... Alibaba utaona kuna vitu vingi sana vya kuuza huko nje... Kumbuka hivi vitu vikiuzwa kutakua na inflow of cash.. Ambayo itakua na multiplier effect.. Ambapo mimi kama fundi masoni.. Taweza kupata ya kumjengea mtu nyumba.... Muuza simu atauza simu za smart phone kwa wateja wapya.... Mkulima atauza bidhaa take kwa bei nzuri... Kutokana na inflow ya hiyo ela...
 
Mzungu gani anunue takataka
Pole sana,pia hongera inawezekana mwenzetu ni kula, kulala.Hivyo ni ngumu kujua dunia inaendaje na fursa zilipo.Au ni uvivu tu wa kufikiri au yawezekana mwenzetu UMEWEZESHWA au ni Goal keeper mzuri.
 
Ni kweli ndugu,pamoja TUTASHINDA!

Genius one umetupa Elimu sana juu ya PayPal.
Iko website moja inaitwa change.org ambayo inasajili watu kubadilisha mfumo.
Mfano Tunataka kampuni ya PayPal ambayo inamilikiwa Na EBay kufungua ofisi Tanzania
Inawezekana tu. www.change.org
 
Bidhaa Gani Mkuu Tutaziuza Kwa Wingi ..... Wakat Viwanda Hatuna Na Ss Tunalangua China .. au Mambo ya Kutoa Ndizi Moshi Unapeleka kuuza Bukoba

Tanzania Ina bidhaa nyingi sana Na urembo wa kila aina unaweza kuuza ULAYA,Marekani Na Canada.
 
Pole sana,pia hongera inawezekana mwenzetu ni kula, kulala.Hivyo ni ngumu kujua dunia inaendaje na fursa zilipo.Au ni uvivu tu wa kufikiri au yawezekana mwenzetu UMEWEZESHWA au ni Goal keeper mzuri.

G1 usipoteze muda Na Huyo kaka.Kwenye mamba Kenge hawakosekani.
 
soma post uelewe mkuu acha kukurupuka.. nilipata mchongo from my friend yupo UK nikashindwa kuufanikisha coz PayPal ilizingua haipo Tz so business ikafa.. next time soma uelewe acha mapepe bado asubuhi
Basi sawa kama umejikana mwenyewe
 
Tanzania huwa ya mwisho kwa kila kitu muhimu. Ndiyo sifa yetu kubwa na huu mfumo tunaoulalamikia kila siku umetufikisha hapa tulipo. We are not aggressive. Tutafute kwenye mambo yote muhimu, huwezi kutupata. We are more into useless things kama kupiga marufuku watu kuandamana au kufanya mikutano ya siasa, kuzuia matangazo live, na vitu kama hivyo.
 
Genius one umetupa Elimu sana juu ya PayPal.
Iko website moja inaitwa change.org ambayo inasajili watu kubadilisha mfumo.
Mfano Tunataka kampuni ya PayPal ambayo inamilikiwa Na EBay kufungua ofisi Tanzania
Inawezekana tu. www.change.org
Ahsante ndugu,nimeicheck hiyo site nimejifunza kitu na ni lazima tufanye kitu.Baada ya kufuatilia sana kuhusu issue ya PayPal ni kwamba wao Paypal hawana tatizo na hili.TATIZO lipo Kwenye policies za kifedha za serikali/nchi yetu.Hivyo ,serikali yetu ikiridhia,Paypal wapo tayari kutupatia hii huduma urgently.Wenzangu watachangia zaidi kuhusu hili kwani ninaamini tupo wengi tuliojaribu kufuatilia hii issue.
 
Asante Mkuu Kwa kutufumbua macho.Ubarikiwe sana tu
 
Lakini pia haya masoko lazima yaendane na delivery system ya kuekeweka. Hiyo delivery system haipo na Kama ujuavyo physical addresses ni issue na watu ni mwendo wa miamala ya m pesa Tigo pesa na naamini ikianzishwa ujanja ujanja utaleta hasara kubwa kutokana na kasumba yetu refer Sheria ya mauzo ya mtandao hivyo Kwa Africa sijui ni wapi hii huduma inapatikana Kwa Kuwa tu Tupo ki ujanja ujanja .mfano Sheria inakutaka product description isiwe fabricated hapa najaribu ku imagine mbongo Kama anauza gari iliyoenda umri sat describe Kuwa ni brand new nk na madhara kede kede . Hii biashara naamini inahitaji some level of civilization.
 
Mifano nimeitaja hapo juu,angalia picha zake hapo juu.Moja ya nchi zinazonufaika na hii huduma ni majirani zetu,Mozambique,Kenya etc. wanayo hii huduma.Jiulize hivi ni kweli Mozambique imeizidi kila kitu Tanzania mpaka wakapewa Full PayPal services?Jibu ni hapana.Ni utashi tu na nia ya dhati ya serikali yao.Fanya utafiti zaidi na utagundua vitu vingi zaidi.
 
Thanks generous sikujua Kama kuna nchi afrika inethubutu kutumia haya masoko . Watanzania ki ukweli ni waoga na ma conservatives hasa likija suala la foreign issues na ndo maana tunaogopa dual citizen Kama ukoma . Hivi wanaonunua Magari online kutoka japan wanafanyaje secure payments ? Again thanks genius hope wahusika wamesikia na watatuambia
 
Mifano nimeitaja hapo juu,angalia picha zake hapo juu.Moja ya nchi zinazonufaika na hii huduma ni majirani zetu,Mozambique,Kenya etc. wanayo hii huduma.Jiulize hivi ni kweli Mozambique imeizidi kila kitu Tanzania mpaka wakapewa Full PayPal services?Jibu ni hapana.Ni utashi tu na nia ya dhati ya serikali yao.Fanya utafiti zaidi na utagundua vitu vingi zaidi.

Genius one website moja inaitwa
Www.sendwave.com Hii website imefanana kidogo Na Western Union Ila Hii Ni rahisi.
Kwa Mfano unamteja USA anakutumia moja Kwa moja kwenye Mpesa.Mtumaji halipi Kwa kutuma Na Mpokeaji anakatwa Na Mpesa 4% ya jumla ya Pesa alizotumiwa.
Sendwave Ni mapinduzi makubwa Kwa biashara za mitandaoni Na kwa watu wa Ughaibuni kutumia familia zao.
 
Ahsante ndugu kwa taarifa.Nimejaribu kuipitia hiyo site na mfumo wake ni wa haraka,but still PayPal is more important.Mapungufu ya hizo aina nyingine za payments ni ktk issue ya security to both sender & the recipient,pia number of users,pia hazijawa integrated na masoko makubwa duniani kama eBay, Amazon etc. Kwa hiyo PayPal bado ni muhimu zaidi na ndio inayoaminika zaidi na customers.
 
woow thats fine vipi equity na yenyewe ni ya wakenya
Nilishawah kupoteza Pound 247 kisa tu Tz haimo. Nilinunua bidhaa the ile order ikawa cancelled ikabid waniambie wananirudishia hela after negotiation. Kuzirudisha sasa kwa Paypal ndio balaa. Kama mtu anafanya E purchasing atumie CBA, hii bank ni ya wakenya so ukitumiwa hela kwa paypal huwa zinakuja. I have tried this and it works
 
Ahsante ndugu kwa taarifa.Nimejaribu kuipitia hiyo site na mfumo wake ni wa haraka,but still PayPal is more important.Mapungufu ya hizo aina nyingine za payments ni ktk issue ya security to both sender & the recipient,pia number of users,pia hazijawa integrated na masoko makubwa duniani kama eBay, Amazon etc. Kwa hiyo PayPal bado ni muhimu zaidi na ndio inayoaminika zaidi na customers.

Genius one,

Kuna updates zozote kuhusiana na upatikanaji wa hii huduma ya PayPal au huduma mbadala nchini?
 
Back
Top Bottom