Paypal: Upotevu wa mapato na ajira Tanzania

Paypal: Upotevu wa mapato na ajira Tanzania

Nyie mtapiga kelele humu bila kufikia muafaka.

Cha Muhimu ni kutengeneza platform ambayo ita allow Seller ku add products Na buyer ku buy.

Halafu unaweka legal notices kama hizi Ambazo nimeona kwa AliExpress AliExpress Buyer Protection Home

Kisha unatumia system ya customer feedback kama email.

M'buyu ulianza kama mchicha au bibi alikuwa binti.

Lakini sijui muanze kubishana kuhusu data sijui nini hamtafika kokote.

Itaanza slow by mwisho wa siku itakuwa Kubwa.
 
Maoni yangu Kuhusu Ebay/PayPal:
EBay wana policy ya refund kama bidhaa uliouziwa kupitia mtandao wao either haijakufikia au imeharibika Na mmeshindwa kufikia muafaka Na Seller.

Sasa kwa kesi ya Tanzania ni ngumu kwa sababu address haziko tracked. Itakuwa ni vigumu kwa eBay kuthibitisha kama bidhaa ulionunua imefikufikia au la. Halafu wa Nigeria waliwatapeli sana wazungu Na watumiaji wengine wa EBay.
Mfano: unauza simu kwa $100, mtu anabid Na kuwin, kisha anakutumia fake email kutoka PayPal kusema umepokea $400. Kisha Yule mtu anakuandikia email kusema kakosea amekutumia pesa nyingi kwa hiyo anaomba umrudishie $300 kwenye PayPal account yake.
Ziko njia nyingi Ambazo fraudsters wanazitumia kuibia watu via PayPal/EBay. Ndio maana wanaweza sanctions kama hizo.


Update:
Ebay na PayPal wametengana sasa, mwanzo walikuwa pamoja, japokuwa bado unaweza kulipia bidhaa ulionunua EBay kwa PayPal.

Ebay wameanzisha "Click & Collect" kwa UK. Unanunua bidhaa online kisha unaenda kuchukua kwenye Click & Collect shop jirani Na wewe.

Way Forward:
Fanya research,tafuta wadhamini contact EBay uanzishe click & Collect service Tanzania.
Tatizo la hiyo itakuwa kwenye kuwalipa kodi TRA. Maana mtu atanunua simu kwa $10 atalipakodi shs 50,000.
Mpita njia
Umenena vema sana kuna hizo changamoto kubwa kubwa kama 4;
Kwanza, Tra kukubali bei ya bidhaa iliyouziwa hivyo kudai koda sahihi
Pili, uaminifu wetu waswahili maana tushaziea biashara na maisha ya ujanja ujanja
Tatu, changamoto ya Address zetu ni chenga sana
Nne bar code ni mhm sana kwenye e-commerce si lazima ila ni muhimu sana kweli hili soko.
Mwisho naona kama watu wanachanganya kati ya ebay, amazon, Aliepress na paypal
Elewa hao wa3 wa kwanza ndo wauzaji/platforms na paypal ni mtunza kumbukumbu eg. card details zako na kusaidia kufanya malipo bila kutoa namba za kadi kwa mnunuzi.
 
Vijana wasomi hawazihitaji sana hizo million 50 zenu,kikubwa sisi vijana tunahitaji FULL PAYPAL Services in Tanzania.Hiyo ndio itakuwa ajira ya kudumu na ya uhakika kwa vijana walio wengi.Hivi nchi yetu itaendelea kubaki nyuma nyuma mpaka lini ? Vijana wenzangu tuendelee kushirikiana kupaza sauti maana sisi ndio tunaojua viatu vyetu wapi vinabana.Wake Up NOW!
 
Unajua malipo ya PayPal kweli? Labda useme mtu asitume mzigo na hapo ndani ya siku 45 ukifungua kesi ,unarudishiwa chako.

Ndio maana PayPal ipo trusted worldwide.
Huyo Mpita-Njia hajui Paypal ni nini, labda anaifananisha na mpesa ha ha haaa...!
 
Pia, ni nzuri vile kuna uwekezaji Online ambao haukuitaji utumie nguvu bali kuangalia Benefits mfano BeonPush, Future net, na Imutual sio hizo tu pia Unaunuaji hisa, Km Bitcoin, Onecoin, Lite coin na nyinginezo fanya hima kwenda na wakati Namba hii 0782568360
 
Ukisemacho ni kweli kabisa.Hao CBA from Kenya costs kwa mwezi zikoje? I mean maintenance fees ? Itakuwa vizuri ukitujuza hilo ndugu.All in all, itakuwa ni vema saana kuona Bank zetu kama CRDB,NMB etc. wakianza kutoa hii huduma.Kwani kuna baadhi ya Bank za kigeni ukiulizia Maintanance fees za(E-commerce/online purchasing) kwa mwezi...Mmmh!
Niliambiwa kuna makato CRDB, na wasababisha cheki Labda benki nyingine!!!
 
Usilo lijua ni sawa na usiku wa giza, unajua gharama za data? Unajua na speed wanayotoa? Huwezi fanya biashara ya mtandao kama gharama za bandwidth ni kubwa halafu speed yake ndogo



Sent from my K019 using JamiiForums mobile app

Acha ujinga.
 
binafsi nilipata mchongo kwa best yangu yupo UK ila kukosekana kwa PayPal au Payza ilibidi dili life. . ningekuwa millionaire leo wallahi
 
binafsi nilipata mchongo kwa best yangu yupo UK ila kukosekana kwa PayPal au Payza ilibidi dili life. . ningekuwa millionaire leo wallahi
Ni kweli ndugu,sisi watanzanai tunapitwa na fursa nyingi sana.Sasa tuseme yatosha.Hatuwezi kuendelea kukumbatia ukosefu wa ajira na umasikini.Nchi au mtu kuitwa masikini ni sifa LAKINI NI SIFA MBAYA SANA.Mods tunaomba pia mtusaidie kuweka thread hii au nyingine yoyote inayohusiana na Suala hili hapo Kwenye Trending/Recommended threads ili Ujumbe huu uwafikie walengwa(Mamlaka husika).Please mods mtusaidie katika hili.
 
Acheni kurusha watu stimu nyie. Watu wenyewe hamzalishi kitu zaidi ya umbea. Sasa hata hiyo PayPal hata ikianzishwa, wabongo mna kitu gani cha kuuza? Stori za Wema Sepetu labda.
 
Acheni kurusha watu stimu nyie. Watu wenyewe hamzalishi kitu zaidi ya umbea. Sasa hata hiyo PayPal hata ikianzishwa, wabongo mna kitu gani cha kuuza? Stori za Wema Sepetu labda.

Hivi kaka Lazima uchangie? Hii Ni JF sio FB
 
binafsi nilipata mchongo kwa best yangu yupo UK ila kukosekana kwa PayPal au Payza ilibidi dili life. . ningekuwa millionaire leo wallahi
He...[emoji15]
Hivi kupata michongo wa kwenda UK ni dili eeehhh..[emoji47]
Alafu.....[emoji5]
Kumbe ukifanikia kwenda UK, maana yake unauhakika wa kua milionea.....[emoji12]
 
Sisi ni siasa tu hata hatuangalii fursa za kufanyabiashara kwa njia yamtandao. Wazo zuri serikali izinduke sasa
 
Acheni kurusha watu stimu nyie. Watu wenyewe hamzalishi kitu zaidi ya umbea. Sasa hata hiyo PayPal hata ikianzishwa, wabongo mna kitu gani cha kuuza? Stori za Wema Sepetu labda.
Brother, jitahidi mara moja moja kutumia akili, zama zimebadilika hii sio Tanzania ya mwaka 2000,so please kama huna cha ku comment ni bora kukaa kimya.
 
He...[emoji15]
Hivi kupata michongo wa kwenda UK ni dili eeehhh..[emoji47]
Alafu.....[emoji5]
Kumbe ukifanikia kwenda UK, maana yake unauhakika wa kua milionea.....[emoji12]
Hujamuelewa, soma vizuri post yake. Hajasema alipata mchongo KWENDA UK.
 
Acheni kurusha watu stimu nyie. Watu wenyewe hamzalishi kitu zaidi ya umbea. Sasa hata hiyo PayPal hata ikianzishwa, wabongo mna kitu gani cha kuuza? Stori za Wema Sepetu labda.
Pole dada inawezekana & it seems huna taarifa za kutosha juu ya jambo hili.Usibeze kitu usichokijua.Sisi sio vichaa,tunazo akili timamu, tumeona fursa nyingi.Usipotoshe watu hapa.Siku nyingine kama huna uelewa na jambo flani ni vizuri kuuliza ili ueleweshwe au sikiliza kwa umakini kwanza kabla ya kufanya WRONG CONCLUSION.Endelea kulala Dada.
 
Acheni kurusha watu stimu nyie. Watu wenyewe hamzalishi kitu zaidi ya umbea. Sasa hata hiyo PayPal hata ikianzishwa, wabongo mna kitu gani cha kuuza? Stori za Wema Sepetu labda.
Wewe Jane Lowassa.. Amka...hivi hizi products kama nguo za batiki....vinyago... Viatu vya kimasai... Urembo...mazao... Majanai ya mchachai... Nk.. Hizi ni products ambazo ni big deal kwa inchi za ulaya na marekani na middle east.... Na kama mfumo wa paypal ungekua unaruhusiwa na serikali kama moja ya official transactions.. Ningekua millionaire
 
Back
Top Bottom