Paypal: Upotevu wa mapato na ajira Tanzania

Paypal: Upotevu wa mapato na ajira Tanzania

Ni kweli kabisa,kuna fursa kubwa sana.Nchi yetu ikifungua mlango huu,hakika itakuwa imetengeneza ajira kubwa sana kwa vijana & next-multi-millionaires & billionaires.
Kitu kingine PayPal kutukubali kufanya Transactions Tanzania haikuzuii kufanya Biashara worldwide.

Unaweza ukajisajili Na Huduma za kuchukua malipo online kwa njia ya card, mteja atakulipa kwa kutumia Debit au Credit Card yake malipo yanaingia kwenye account yako ya NMB, CRDB etc
 
Kutokana kwa kukua kwa Tecnoloji haya maduka ya eBay, emazon yanaweza kusaidia vijana wengi sana hapa nchini, tunaiomba serikali ilipe kipaumbele hili la PayPal kuweza kuuza bidhaa Na kupokea Pesa kupitia paypal. Ni rahisi kufanya biashara kimataifa lkn Nina wasiwasi wa kiwango cha uaminifu walionao watanzania. Hapa ndipo panapotakiwa kujadiliwa kwa kina.

Thanks ndugu, well said.Lakini tusikubali kupoteza fursa kubwa kama hii eti kwa kuwa kuna baadhi ya watanzania wenzetu ni wezi.Wizi ni tabia,wizi unaweza kufanyika hata nje ya mtandao(offline) na unafanyika..Hata China,Kenya wezi wapo tena wengi kuzidi hata sisi lakini bado wana-Access all Paypal services.We have some thing to do.
 
Kitu kingine PayPal kutukubali kufanya Transactions Tanzania haikuzuii kufanya Biashara worldwide.

Unaweza ukajisajili Na Huduma za kuchukua malipo online kwa njia ya card, mteja atakulipa kwa kutumia Debit au Credit Card yake malipo yanaingia kwenye account yako ya NMB, CRDB etc
Tatizo siyo safe coz ukiuza bidhaa kwa njia nyingine kama visa mteja uwezo wa kutotuma ela au mteja akaogopa kutuma ela coz kama bidhaa yako ni fake yeye atakuwa ameliwa hata weza kudai ela yake,nimejaribu sana kufanya biashara online nimeshindwa kwasababu ya kukosa paypal hapa bongo,mm naiomba serikali itusaidie ili swala
 
Mkuu uko vizuri sana.
Sijui kama wanauelewa lkn Unaweza kumuandikia hata rais barua kama wadau mbalimbali humu wenye Mawazo chanya japo wanalalamika Kuwa kuna huwa hazimfikii.

Nimepitia kwenye forums za wanigeria sio wachoyo Wa maarifa. Hivyo vitu ulivyovisema nakushauri pia ulete kama somo. Kuna mapesa mengi mitandaoni lkn wachache tu Nigeria,Kenya,SA na baadhi ya nchi za Africa Ila weñgi hasa sisi tuko slow sana na Viongozi wetu weñgi wanatakiwa kuanza kufikili kidigital. Naona weñgi wako deep kwenye negative effects za mitandao.

Ahsante sana ndugu kwa ushauri mzuri pia.Mimi sitokata tamaa mpaka huu mlango ufunguke.Tunakosa mambo makubwa saana. Kuna rafiki yangu flani hivi kwa sasa anaishi USA anajihusisha na E-commerce pia.Kwa siku anaingiza minimum $1,600 ambayo ni zaidi ya Million Tatu TShs.(Per day).
 
Ni wazi wale wote tunaofuatilia mambo ya technology; especially E-Commerce(biashara kwa njia ya internet) mtakubaliana na mimi nchi yetu imepoteza mapato mengi sana na ajira nyingi sana kwa watanzania hasa vijana wasomi.Kwa nini ?

Nitoe mifano michache then wenzangu mtaongezea zaidi.Kuna mitandao maarufu kama EBAY na AMAZON (E-commerce platforms).Hizi sites zimetoa ajira kubwa sana kwa vijana na makampuni kwa Marekani,China,Kenya na nchi nyingine nyingi duniani.

Utajiuliza hapa kwanini watanzania hawauzi na kunufaika na haya masoko makubwa duniani EBAY,AMAZON and the like?

JIBU: Ni mfumo wa malipo. Ukiwa Tanzania huwezi kupokea malipo toka nchi nyingine kwa kutumia Paypal.Kwa kifupi ni kwamba nchi yetu bado haijaruhusu kupokea fedha kwa njia ya PAYPAL kutoka nchi nyingine duniani.Hivyo,ukiwa Tanzania Unaruhusiwa tuu KUTUMA(one way) kwa njia ya Paypal.

Kwanini PAYPAL? Ninakubali kuna njia nyingi za kupokea malipo, taja njia yoyote ile lakini hakuna inayoifikia Paypal(Security & number of Customers).Hivyo,Paypal inaaminika zaidi duniania kuliko njia nyinginezo tunazozifahamu.Nilishawahi kupata a number of customers on Ebay kikwazo ikawa kwenye suala la malipo.Wateja wengi wanaimani zaidi na Paypal.So far I am grateful kwamba ninajua baadhi ya bidhaa ambazo foreign customers wanazihitaji sana(kutokana na inquiries) nilizozipata baada ya ku-list online some of the products made in Tanzania.

Kuna watanzania wengi tu mikoani huko wanazalisha na kutengeneza products nyingi na nzuri ambazo mataifa ya kigeni yanazihitaji lakini kikwazo kikubwa(Opportunity here!) ni kukosa access ya international market.

Kuna tabia ya watanzania kupuuza technology,kuugopa technology,na wengine may be inatokana na kukosa taarifa na uelewa wa fursa zitokanazo na technology(Computer & Internet ….) au kubweteka na old model of doing things(Business as usual)

Pia viongozi wetu wengi wanasisitiza kilimo pekee.Bila kuangalia upanuzi wa masoko.Tunahitaji vyote kulima,kufuga,viwanda na kupanua masoko hasa mosoko ya nje(kimataifa).Technology imekua,Dunia imebadilika nasi tubadilike.

Sio kila mmoja lazima aishie kulima na kufuga pekee; japo kulima na kufuga ni muhimu,tunahitaji kufikiria mbali na mbele zaidi.

Nina imani serikali hii ni sikivu,pia nina imani itasikia na kutenda.Zaidi ni imani yangu kwa Mr. President Dr. Magufuli. Tusikubali kuendelea kupoteza fedha na ajira huku majirani zetu Kenya ,Mozambique wakiendelea kuneemeka na kunufaika na hii fursa.

Niseme tu kwamba mimi na vijana wenzangu(wanaojitambua) tupo tayari kutoa ushirikiano wa aina yoyote,wakati wotote,kwa taasisi/shirika lolote na kwa wakati wowote ili kuhakikisha nchi yetu inanufaika na hii fursa(E-commerce) ambayo itakuawa ni mkombozi wa ajira kwa vijana wengi zaidi na kuliingizia taifa fedha nyingi za kigeni.

Kenya Wameweza na wanafanya,Mozambique wameweza na wanafanya.WHY NOT US WHY NOT NOW?

GOD BLESS TANZANIA not Lema only-LOL!(hapa nimechomekea tu)
Kaka kama wewe mtaalam na tunaweze kupata pesa kwenye ili irrelevant wake unakuaje??
 
Nilishawah kupoteza Pound 247 kisa tu Tz haimo. Nilinunua bidhaa the ile order ikawa cancelled ikabid waniambie wananirudishia hela after negotiation. Kuzirudisha sasa kwa Paypal ndio balaa. Kama mtu anafanya E purchasing atumie CBA, hii bank ni ya wakenya so ukitumiwa hela kwa paypal huwa zinakuja. I have tried this and it works

Ukisemacho ni kweli kabisa.Hao CBA from Kenya costs kwa mwezi zikoje? I mean maintenance fees ? Itakuwa vizuri ukitujuza hilo ndugu.All in all, itakuwa ni vema saana kuona Bank zetu kama CRDB,NMB etc. wakianza kutoa hii huduma.Kwani kuna baadhi ya Bank za kigeni ukiulizia Maintanance fees za(E-commerce/online purchasing) kwa mwezi...Mmmh!
 
Mkuu mada hii imenigusa sana maana nilikua nikinunua vitu toka marekan kupitia ebay na amazon lakini pia alibaba na alixpress wakati hua nikiwaza bidhaa za kuwauzia, sikujua kua hatujajiunga na paypal system. Hii ni hatari kwa ukuaji wetu kibiashada na km Serikali yetu ni sikivu naomba ifanyie kazi hii kitu watu tupate ajira kupitia Technologia(E-commerce)
 
Mkuu sijaanza kuitumia muda mrefu sana. Ngoja nipate statement ya mwezi wa 3 kesho j3 then nitakupa mrejesho.
 
Mkuu mada hii imenigusa sana maana nilikua nikinunua vitu toka marekan kupitia ebay na amazon lakini pia alibaba na alixpress wakati hua nikiwaza bidhaa za kuwauzia, sikujua kua hatujajiunga na paypal system. Hii ni hatari kwa ukuaji wetu kibiashada na km Serikali yetu ni sikivu naomba ifanyie kazi hii kitu watu tupate ajira kupitia Technologia(E-commerce)

Ahsante ndugu kwa kuunga mkono hoja.Mtu yeyote anaejihusisha na E-commerce ...Ebay.Amazon,Alibaba etc. lazima amekutana na hizi roadblocks.I can feel your pain because I have experienced and still experiencing it too.Pia tuna bidhaa nyingi tu za ku-Export but still kikwazo ni means of Payment.Ujuzi upo,Vijana tupo,Experience ya E-commerce ipo,kilichobaki ni serikali yetu kutenda.We have been waiting this for so long.
 
Pia tatizo lipo Posta yaani jamaa wizi hatari ukituma mzigo kutoka nje lazima watakuibia. kama hawatakuibia mzigo wako basi utalipa ushuru usio sahihi kabisa na risiti watakupa feki mimi ishanitokezea hio ndio maana nikasema.
 
let's create a hashtag #sayyestopaypalinTz.
kuna kipindi nilivutiwa na kuuza bidhaa muhimu inapatika kwa wingi na maarufu Tanzania nikadadisi nikaambiwa hamna money security in Tanzania nikaona niwe mpole tu nipotezee.
 
Dah! Mimi pia Ni muhanga wa Hili, mpaka sasa nimekosa pesa nyingi Sana, Mimi napendekeza tujikusanye wadau hapa, tukamuone hata Mh. Waziri wa fedha, kupiga kelele hapa haijaanza Leo Na haijasaidia kitu, pia wadau tunaweza kutumia Payoneer naona inakuja vizuri! Japo kuna utofauti kidogo Na PayPal!
 
me sijaelewa sababu me mwenyewe nina account paypal na nimeshafanya transaction na Alibaba labda nieleweshwe kidogo
 
Hata mimi nangoja hii fursa niuze maharage yangu ulaya.....
mkuu kama una nia ya kutania utani wako utakua unamake sense sana kama utafanya serious lakini kama hutanii umevumbua soko kubwa sana ukitembelea mitandao fursa zipo nyingi sana me mwenyewe nimepewa tenda hapa mpaka nimevimbiwa.
 
Dah! Mimi pia Ni muhanga wa Hili, mpaka sasa nimekosa pesa nyingi Sana, Mimi napendekeza tujikusanye wadau hapa, tukamuone hata Mh. Waziri wa fedha, kupiga kelele hapa haijaanza Leo Na haijasaidia kitu, pia wadau tunaweza kutumia Payoneer naona inakuja vizuri! Japo kuna utofauti kidogo Na PayPal!

Ni kweli usemayo na ninaunga mkono hoja.But tusiache kusema eti kwasababu siku za nyuma hatukusikilizwa.Huu ni mwaka mwingine na utawala mwingine na vision nyingine.Sisi(vijana) tusijiwekee vikwazo. I think this is a high time, let us air out our views positively & persistently knowing that there better days ahead.Let us do our part,Let us educate them endlessly.

Kuhusu Payoneer Card ninakubali ni nzuri ila kuna shortcoming zake.So,hapa the best solution ni Paypal.Hakuna wakumfikia Paypal.
 
let's create a hashtag #sayyestopaypalinTz.
kuna kipindi nilivutiwa na kuuza bidhaa muhimu inapatika kwa wingi na maarufu Tanzania nikadadisi nikaambiwa hamna money security in Tanzania nikaona niwe mpole tu nipotezee.

Ahsante mpendwa, Wazo zuri.Wadau tushirikiane ktk hili pendekezo.Thanks!
 
Hata mimi nangoja hii fursa niuze maharage yangu ulaya.....
Ni kweli ndugu.Tuzidi kushirikiana kupeleka huu ujumbe.Serikali ni watu nina imani watatuelewa tu.Let us not only wait,let us do our part. Not only once but consistently.
 
Back
Top Bottom