Paypal Petition

Paypal Petition

Naunga mkono hoja, binafsi Ni mhanga WA miaka nenda nenda Rudi, kazi zangu nyingi nauza nje, nipo registered kwenye Website flani kubwa Kama Freelancer! Nauza mzigo Na natakiwa nilipwe online kwa njia ya Paypal lakini haiwezekani, nimeshakosa pesa kibao Na kupoteza pesa kibao, nchi nyingine hawaruhusu kutumia Western Union kutuma pesa Africa, kwa sababu ya Frauds!.....lakini group ya Whatsapp unaweza kuwa jibu? Kwa nini kusiwe Na special thread hapa, watu wakawa wanatoa Mawazo Yao, Na wahusika wanaona, then kupitia hapa tunaweza ku- organize watu wachache Na kwenda kumwona ama Waziri wa fedha, BOT ama wabunge wachache wenye ushawishi huu ya hili, haiwezekani tuwe nyuma kwenye kila kitu!

Yap, hiyo iko poa mkuu.
 
PayPal wapo tight kisecurity zaidi ya hao western union mkuu kwa sababu PayPal inamilikiwa na eBay. Ningeshauri utumie njia mbadala kama Skrill(money bookers) is less stressful licha ya kwamba kuna thousands of online wallets. Kutokana na nature ya kazi yako nakushauri utengeneze ecommerce website then tumia Square au wordplay au any secured gateway ili waliopo nje ya nchi wanaweza kukulipa moja kwa moja kupitia tovuti yako then pesa inaenda kwenye bank account yako
 
Kuhusu option ya tatu, ya DHL nimejaribu kununua kitu (sustain pedal ya kinanda kutoka ebay) lakini sijapata option ya kutumia dhl, kilichoandikwa ni standard int'l shipping, naomba msaada kwa hapa.
Ebay dhl unamuomba seller, kwamba unataka tumia dhl akwambie itakuwa dollar ngapi
 
Hapa inabidi uingize address yako ya hapa Tanzania. Muhimu sana kuweka namba yako ya simu yako. Anayekutumia ndo anajua atatumia courier gani. Wewe huchagui courier, unless kuna option kwenye ku-check out..
 
UMOJA NI NGUVU UTENGANO NI UDHAIFU

Kwa miaka mingi sasa tumekuwa tukiumia sana na hili swala la kutokuweza kupokea malipo kupitia paypal, binanfsi ni member wa paypal toka mwaka 2007, hadi leo ni miaka 8 mwendo ni ule ule wa kufanya matumizi tu, kupokea malipo imekuwa ni ndoto.

Muda umefika sasa wa kuungana ili sauti za vilio vyetu zisikike walau mwaka 2016 nasi tuanze nufaika na huduma hii.
Karibu tupange wote mikakati ya kuwezesha swala letu kushughulikiwa, kama tukiweza fika watu hamsini litakuwa jambo jema sana na litarahisisha mambo mengi.
Ntaanza kwa kutengeneza group whats app, 0713752285, tuma message paypal petition, ntakuadd kwenye group.
Kama haupo whats app, pm your number, ntakushirikisha kwenye kila hatua.

Hakuna kurudi nyuma hadi tufanikiwe.

Together we can.

Jaribuni ku organize labda mwende kama Group kwa Mamlaka husika au tumieni vyombo fulani kama Bunge au mass media kulipazia hili swala sauti!
Am sure hawajatokea watu/Viongozi wakushinikiza hili swala

Kipindi wana siasa wanaimba Ajira kwa Vijana nafikiri njia rahisi kwa Vijana walosoma IT kuwawezesha kuwapatia PayPal ni Ajira tosha!

Pia, kama kuna Association ya watu walosoma IT mwaweza ku adress hii issue kama Wanavyofanya madaktari na walimu kupitia associations zao!
 
Mwaka 2010 kabla sikujua kuwa Tz haimo kwenye list ya nchi ambazo zingeuza bidhaa kwenye mitandao mikubwa kama eBay. Nilijisajili kuuza na kuanza kupokea order nyingi sana tatizo lilikuja hapo kwenye kupokea pesa kwa Paypal. Baada ya research nikagundua kuwa labda uweko Kenya ndio unaweza kuuza.

Wenzetu ndio maana unaona kila siku asubui wanasafirisha bidhaa kupeleka duniani sisi tunamka na siasa tuu. Hili ni jambo la msingi sana na linaweza kutuweka kwenye rekodi nzuri ya uchumi na kuingiza dola nyingi sana.
 
Kwa kuanzia hivi haiwezekani kufungua account kenya ukaiunganisha na sim banking ukawa unaingiza pesa kwenye mpesa kutoka acc yako ya kenya unazituma tz na biashara ikaendelea wakati tukisubiri benki zetu kujiunga na paypal
 
Hatuhitaji maandamano ya kimtandao ili kufanikisha hili. That's a way too primitive. Naamini BOT wana sababu zilizowafanya then wasiruhusu hivu vitu. Kwa hiyo tunatakiwa ku address concerns zao na ku argue kwa nini kuwa na hizo service ni afya kwa taifa na pamoja tutafanya hili liwezekane

Juzi nimeomba kama kuna mtu ana contact za yule boss wa policy pale BOT bado sijapata na nazitafuta. Nadhani someone have to break the ice and do something.

I don't believe in cyber activism
 
Umoja ni nguvu Utengano ni Udhaifu.

Ngumu hiyo ndugu. Wengi wamejaribu ila wakadakwa.
Kwa kuanzia hivi haiwezekani kufungua account kenya ukaiunganisha na sim banking ukawa unaingiza pesa kwenye mpesa kutoka acc yako ya kenya unazituma tz na biashara ikaendelea wakati tukisubiri benki zetu kujiunga na paypal
 
Kwa kuanzia hivi haiwezekani kufungua account kenya ukaiunganisha na sim banking ukawa unaingiza pesa kwenye mpesa kutoka acc yako ya kenya unazituma tz na biashara ikaendelea wakati tukisubiri benki zetu kujiunga na paypal
Cha msingi uwe na Kenya National ID maana PayPal wataiomba siku moja!
Na sim banking labda uweke Safcom then uwe unarusha kutoka Safcom kuja Vodacom!
 
Hatuhitaji maandamano ya kimtandao ili kufanikisha hili. That's a way too primitive. Naamini BOT wana sababu zilizowafanya then wasiruhusu hivu vitu. Kwa hiyo tunatakiwa ku address concerns zao na ku argue kwa nini kuwa na hizo service ni afya kwa taifa na pamoja tutafanya hili liwezekane

Hatufanyi cyber activism mkuu, wala hatufanyi maandamano ya aina yoyote, na whats app ni kama njia rahisi ya kuweza wasiliana na kufikishiana taarifa kwa haraka na rahisi zaidi. Kabla ya whats app kulikuwaga na mailing list, ila technology imekuwa na kurahisishwa zaidi.
BOT wanaweza kuwa na sababu za kipindi hicho, na sasa mambo yamebadirika, miaka imeenda, ni muda wa kuongea nao waweze ruhusu paypal transactions kwa watanzania.

Juzi nimeomba kama kuna mtu ana contact za yule boss wa policy pale BOT bado sijapata na nazitafuta. Nadhani someone have to break the ice and do something.

I don't believe in cyber activism

Kama unavyotafuta namba za huyo policy officer wa BOT, ndizo mbinu tutazotumia, kutafuta watu wa paypal wenyewe watuambie ni wapi wamekwamisha hili swala, kutafuta mabenki yatayokuwa tayari kujiunga na paypal BOT wakiruhusu na pia Kuongea na uongozi husika BOT/MOF ili waruhusu paypal. Chamuhimu ni kuongeana wadau wakubwa ambao wanaguswa ni hii issue, mpake pale BOT watakapofungua milango ya paypal.
 
Moja ya concern ya mataifa mengi hata hao walioruhusu ni jinsi ya kulipa kodi kwabiashara inayofanyika. Mengi ya makampuni hujisajili kwenye nchi au majimbo yenye kodi ndogo nje ya sehemu kuu wanayofanyia biashara. So how do we address that tax hole?
 
Mkuu mbona hii issue iko simple sana tusiwaze tu Tax,tuangalie faida zake...

Kwanza kabisa wakiruhusu hizi service inaruhusu ongezeko la utumiaji wa Bank service kumbuka hapa kuna manufaa sababu Bank inaku charge hela na taifa linanufaika na hiyo bank.

Na mara nyingi si Bank zotw zitaruhusu hivo utakuta ni Bank kama UBA au Equity au KCB ambazo wengi wetu hapa hatutumii hivo watakua wamezifungulia hizo Bank Wateja wapya!

Sanjali na hilo Hauwezi Withdraw Hela PayPal bila Kukatwa pesa na PayPal wao pamoja na Bank Mama.

Hadi hapo haujaona faida kwa pato la taifa?

Fatilia hii issue inavyofanywa na Equity Bank huko Kenya.

https://epal.equitybankgroup.com/paypal/pages/terms.html
 
Ni changamoto kweli, ambayo hiyo tunaiachia tra na wizara ya fedha, first world economies wana emphasize matumizi/manunuzi kupitia electronic gateway ili waweze nyaka vizuri transactions pale unapopeleka bank statement kwa annual tax returns, hapa Tanzania annual tax return inafanywa na wafanyabiashara tu, na sio kila mtu kama ilivyo kwa nchi zilizoendelea, hivyo swala hilo ni pana sana na tunawaachia tra/wizara ya fedha. Cha muhimu ni kuwa kama mfanya biashara atapokea malipo yake kupitia paypal, basi ni rahisi tra ku trace transaction zake pale anapoiingiza hiyo ela kwenye account yake.

Back
Top Bottom