DulleShaibu
Member
- Jun 5, 2015
- 98
- 14
Mbinu zote zimedhibitiwa imebaki hii au? Mbona wanakomaa kuzuia ulinzi wa kituo cha kura
Siasa si zimekatazwa makanisani au ni kwa ukawa tu!
Jana akiwa kanisani mkuu wa wilaya ya Kinondoni kwa kujiamini sana kupita kiasi alitoa kauli ya vitisho kwa wananchi kuwa hataruhusu wananchi kwenye wilaya yake ya Kinondoni kubaki vituoni baada ya kupiga kura hata kama ni mita mia mbili kutoka kwenye kituo cha kupigia kura.
Suala hili lipo mahakamani na bado halijatolewa ufafanuzi wa mahakama kuu. Sasa wakati tunasubiri maamuzi ya mahakama kuu inashangaza sana kuona mkuu wa wilaya anatoa kauli ya vitisho kama hiyo, hivi kwa mfano mahakama kuu ikiamua kuwa wananchi wana haki ya kusubiria matokeo atarudi tena makanisani kuwatangazia wananchi kuwa wana haki ya kubaki vituoni?, na jumapili iliyobaki ndiyo hiyo ya uchaguzi.
Hata kama ni mjinga usipende ujinga wako uonekane wazi....Kwani kiongozi wa kamati ya ulinzi na usalama hapaswi kafuata sheria?Sheria inasema mita 200....huo ukuu wake wa kamati na ulinzi hauko juu ya sheria!PERIOD!yeye ndio kiongozi wa kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya au ulitaka atangaze baba yako
Wameshiba wamevembewa wamejisahau#tuwatoe October 25
Wameshiba wamevembewa wamejisahau#tuwatoe October 25
Jana akiwa kanisani mkuu wa wilaya ya Kinondoni kwa kujiamini sana kupita kiasi alitoa kauli ya vitisho kwa wananchi kuwa hataruhusu wananchi kwenye wilaya yake ya Kinondoni kubaki vituoni baada ya kupiga kura hata kama ni mita mia mbili kutoka kwenye kituo cha kupigia kura.
Suala hili lipo mahakamani na bado halijatolewa ufafanuzi wa mahakama kuu. Sasa wakati tunasubiri maamuzi ya mahakama kuu inashangaza sana kuona mkuu wa wilaya anatoa kauli ya vitisho kama hiyo, hivi kwa mfano mahakama kuu ikiamua kuwa wananchi wana haki ya kusubiria matokeo atarudi tena makanisani kuwatangazia wananchi kuwa wana haki ya kubaki vituoni?, na jumapili iliyobaki ndiyo hiyo ya uchaguzi.
Jana akiwa kanisani mkuu wa wilaya ya Kinondoni kwa kujiamini sana kupita kiasi alitoa kauli ya vitisho kwa wananchi kuwa hataruhusu wananchi kwenye wilaya yake ya Kinondoni kubaki vituoni baada ya kupiga kura hata kama ni mita mia mbili kutoka kwenye kituo cha kupigia kura.
Suala hili lipo mahakamani na bado halijatolewa ufafanuzi wa mahakama kuu. Sasa wakati tunasubiri maamuzi ya mahakama kuu inashangaza sana kuona mkuu wa wilaya anatoa kauli ya vitisho kama hiyo, hivi kwa mfano mahakama kuu ikiamua kuwa wananchi wana haki ya kusubiria matokeo atarudi tena makanisani kuwatangazia wananchi kuwa wana haki ya kubaki vituoni?, na jumapili iliyobaki ndiyo hiyo ya uchaguzi.
Makonda ni mkuu wa wilaya na mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama.
Kwanini vyama vingine havitaki kulinda kura zao kama wanavyofanya UKAWA. Je, wao wameruhusu kura zao ziibiwe au zao haziibiwi?
Jana akiwa kanisani mkuu wa wilaya ya Kinondoni kwa kujiamini sana kupita kiasi alitoa kauli ya vitisho kwa wananchi kuwa hataruhusu wananchi kwenye wilaya yake ya Kinondoni kubaki vituoni baada ya kupiga kura hata kama ni mita mia mbili kutoka kwenye kituo cha kupigia kura.
Suala hili lipo mahakamani na bado halijatolewa ufafanuzi wa mahakama kuu. Sasa wakati tunasubiri maamuzi ya mahakama kuu inashangaza sana kuona mkuu wa wilaya anatoa kauli ya vitisho kama hiyo, hivi kwa mfano mahakama kuu ikiamua kuwa wananchi wana haki ya kusubiria matokeo atarudi tena makanisani kuwatangazia wananchi kuwa wana haki ya kubaki vituoni?, na jumapili iliyobaki ndiyo hiyo ya uchaguzi.
Kila jambo lina mipaka yake. Hilo ni zaidi ya kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya. Hilo linatolewa tamko kitaifa na sio na wilaya moja moja. Ni sawa na mkuu wa Wilaya ya Mbinga kutangaza vita na Malawi kwa vile wilaya yake iko mpakani.
Makonda anatakiwa asubiri kutekeleza maagizo yatakayo tolewa kitaifa kuhusu jambo hilo na sio yeye kusema hatakubali. Kwenye hili Wasimamizi wa uchaguzi, Polisi na waangalizi wa uchaguzi hawapokei maelekezo kutoka kwa ma DC bali tume ya uchaguzi Taifa hivyo hata yeye atulie tuu.
Huku ni kutojua mipaka ya kazi wanazopewa hawa Makada, yeye anasubiri jambo asemalo litangazwe sana Clouds FM akidhani ni sifa.
Anayo mamlaka,hivi mtoa post unatambua mamlaka ya mkuu wa wilaya au unaota ndoto za mchana,yeye ni mwaki
ishi wa rais katika wilaya yake na ndio mtunza amani na vyombo vya ulinzi na usalama viko chini yake kwa mamlaka aliyopewa
Kama mnasema ushindi ni asubuhi tarehe 25/10/2015 kwanini mlinde kura! Ina maana hamjiamini?Hawana kura za kuibiwa na wala hawana ushindi wa kuulinda.