Elections 2015 Paul Makonda unapata wapi ujasiri wa kukataza wananchi kusubiria matokeo ya kura?

SUPER PREDATOR

JF-Expert Member
Apr 29, 2014
2,098
1,500
Jana akiwa kanisani mkuu wa wilaya ya Kinondoni kwa kujiamini sana kupita kiasi alitoa kauli ya vitisho kwa wananchi kuwa hataruhusu wananchi kwenye wilaya yake ya Kinondoni kubaki vituoni baada ya kupiga kura hata kama ni mita mia mbili kutoka kwenye kituo cha kupigia kura.

Suala hili lipo mahakamani na bado halijatolewa ufafanuzi wa mahakama kuu. Sasa wakati tunasubiri maamuzi ya mahakama kuu inashangaza sana kuona mkuu wa wilaya anatoa kauli ya vitisho kama hiyo, hivi kwa mfano mahakama kuu ikiamua kuwa wananchi wana haki ya kusubiria matokeo atarudi tena makanisani kuwatangazia wananchi kuwa wana haki ya kubaki vituoni?, na jumapili iliyobaki ndiyo hiyo ya uchaguzi.
 
LENDEYSON

JF-Expert Member
Sep 27, 2013
2,974
2,000
Mkiiona gari ya Makonda,awe wa Kwanza kukaguliwa, hawa ma DC ndio watakaoingiza kura za maruhani wakisaidiwa na Polisi, sasa kikubwa naye apige kura asepe, tukimwona ndani ya mita 200atatueleza anafanya nini! Hila zenu tunazifahamu, na nyie tunawafahamu, Tutalinda Kura zetu!
 
igp

JF-Expert Member
Feb 16, 2015
839
500
Makonda ni mkuu wa wilaya na mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama.
 
Sometimes

JF-Expert Member
Dec 28, 2010
4,552
1,500
Kwanini vyama vingine havitaki kulinda kura zao kama wanavyofanya UKAWA. Je, wao wameruhusu kura zao ziibiwe au zao haziibiwi?
 
Ambiente Guru

JF-Expert Member
May 21, 2012
2,391
2,000
Kkkt Ni kanisa langu, lakini kwa hili mliloliridhia kufanyika katika madhabahu takatifu limepitiliza.

Ni sawa na lile la Rostman kule Kijitonyama.

Nimetazama Ch 10 azubuhi hii sikuamini nilichosikia na kuona akiambiwa Bab Askof KKKT na mwanasiasa mtawala

Tusiipende njuluku kiasi hiki cha kutumia madhabahu kivile.
Jana akiwa mita mia mbili kutoka kwenye kituo cha kupigia kura.

Suala hili lipo mahakamani na bado halijatolewa ufafanuzi wa mahakama kuu. Sasa wakati tunasubiri maamuzi ya mahakama kuu inashangaza sana kuona mkuu wa wilaya anatoa kauli ya vitisho kama hiyo, hivi kwa mfano mahakama kuu ikiamua kuwa wananchi wana haki ya kusubiria matokeo atarudi tena makanisani kuwatangazia wananchi kuwa wana haki ya kubaki vituoni?, na jumapili iliyobaki ndiyo hiyo ya uchaguzi.
 
Kasu

JF-Expert Member
May 3, 2012
382
500
Mkiiona gari ya Makonda,awe wa Kwanza kukaguliwa, hawa ma DC ndio watakaoingiza kura za maruhani wakisaidiwa na Polisi, sasa kikubwa naye apige kura asepe, tukimwona ndani ya mita 200atatueleza anafanya nini! Hila zenu tunazifahamu, na nyie tunawafahamu, Tutalinda Kura zetu!
Share na wenzako!
 
Attachments

navy boi

JF-Expert Member
Mar 15, 2014
1,489
1,500
Jana akiwa kanisani mkuu wa wilaya ya Kinondoni kwa kujiamini sana kupita kiasi alitoa kauli ya vitisho kwa wananchi kuwa hataruhusu wananchi kwenye wilaya yake ya Kinondoni kubaki vituoni baada ya kupiga kura hata kama ni mita mia mbili kutoka kwenye kituo cha kupigia kura.

Suala hili lipo mahakamani na bado halijatolewa ufafanuzi wa mahakama kuu. Sasa wakati tunasubiri maamuzi ya mahakama kuu inashangaza sana kuona mkuu wa wilaya anatoa kauli ya vitisho kama hiyo, hivi kwa mfano mahakama kuu ikiamua kuwa wananchi wana haki ya kusubiria matokeo atarudi tena makanisani kuwatangazia wananchi kuwa wana haki ya kubaki vituoni?, na jumapili iliyobaki ndiyo hiyo ya uchaguzi.

Viroba hatari sana
Unaambiwa ulinde kura mita 200
wakat kura znaesabiwa ndan
Huo ni uharo wa geita
 
Top Bottom