GUSSIE
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,866
- 11,102
Ukimuona Paul Makonda bado ana mawazo yale yale ya kuua upinzani na kumuogopa Tundu Lissu ,Ni mawazo ambayo mwenyekiti wetu wa ccm marehemu JPM yalimshinda na hata yeye Paul Makonda hataweza kuua upinzani Tanzania
Tulishasahau mambo ya wasiojulikana kwa miaka takribani mitatu ndani ya ccm na Tanzania ,Ujio wa Makonda na hotuba yake ya vitisho kwa mawaziri kuwa ata deal nao siyo ya kupuuzwa hata kidogo kwa sisi wana ccm
Mamlaka hayo ya kuingilia kazi za serikali anayatoa wapi na kwenye katiba ipi ?
Je,Paul Makonda anataka kuturudisha nyuma watu wasio na taaluma kuvamia hospitali na kuwaelekeza madakatari jinsi ya kutibu wagonjwa?
JPM alijaribu kila mbinu na kweli watu waliumia na kuumizwa lakini Chadema haikufa na wala upinzani hautakufa
Paul Makonda kwa hotuba yake ya jana pale lumumba wakati wa mapokezi ilitusikitisha na kutushangaza wana ccm wengi
Hotuba ya Paul Makonda ilionyesha bado ana maluwe luwe ya Tundu lissu na ana hofu nae sana hakusita kumtaja Tundu lissu
Paul Makonda anasema ata deal na wanaosababisha taarifa kuvuja na sio kudeal na mtoa taarifa yaani Tundu Lissu
Watu wa namna ya Makonda ambao bado wanaamini kwenye siasa za fujo na siyo kujibu hoja hawatufai ndani ya ccm
Chama cha mapinduzi tulijifunza ubabe wa akina Sabaya na genge lake wakijificha nyuma ya mamlaka
Paul Makonda anatengeneza hofu na vitisho kwa wana ccm akijificha nyuma ya mamlaka pia.
Ni vyema Paul Makonda akadhibitiwa na chama mapema kabla mambo hayajaharibika zaidi