FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,942
- 109,362
Ahsante kwa taarifa, tutaifanyia kazi.Inasaidia nini sasa.
Kauli za jana za huyu mwenezi wa CCM kuwa Mbowe akikosa mafuta ya chopa wao CCM watamchangia inatia ukakasi.
Kwa nini tuchangiwe na wezi wa mali za umma?
Hii inaleta picha kuwa kumbe chini ya kapeti kuna siri kubwa.
Kuwa kumbe CCM wanatudhamini ili kufanya mikutano na kuzunguka nchi nzima ili kuhadaa wazungu kuwa nchini kuna demokrasia.
This is non sense.