Vladmir Putin
Senior Member
- Mar 14, 2016
- 131
- 63
Madaraka ya kulevya kwa kweli . . .
watavuna wanachopanda. ...
maisha ndio haya haya ...
watavuna wanachopanda. ...
maisha ndio haya haya ...
hilo pekee ndio wanalotegemea. Ukiimba mapambio yao wewe ni mzalendo ukiwapinga ni mchochezi. Na hao waliotajwa ni matawi tu, shina lipo juu kabisa lilojitwika uungu mtu akidhani daima atakuwa kileleni. Uzuri ni kwamba Mungu ni wetu sote, anaweza chelewa kujibu lakini daima hujibu kwa njia ambazo pengine hata sisi wenyewe tusizijue.Utatekwa wewe
Mkuu hapo zamani maeneo ya Mafiat Mbeya palikuwa na mzee mmoja akiitwa Mwalwago kama sijakosea jina lake alikuwa ndugu wa Mzee Mwakawago kiukoo, alifika mahala akajiita "Mungu Mtu wa Mbeya" leo hii pale kwake pamebaki magofu na wengi wa waliokuwa karibu nae hakuna anaemkumbuka tena!!!Hawa Jamaa watatu wamejitoa fahamu na sasa wanapambana na wananchi. Wamejiona wao ndio wao katika nafasi zao. Wanafanya kila kitu kinyume na maadili ya ubinadamu na taaluma zao.
Wanalaumiwa kwa kila baya. Hawa viongozi wanajisahau kwamba kabla ya kupata hizo nafasi, zilishikiliwa na watu wengine ambao leo tuneo uraiani. Mrisho Gambo na Makonda bado vijana, lakini kwa macho ya wengi, wamejipaka vinyesi kutokana na matendo yao ya uonevu mbele ya Umma
Mwakyembe anatamka vitu vya ajabu ambavyo vinadhalilisha usomi wake. Kamanda Siro naye badala ya kusimamia haki, anasimamia ushabiki, siasa na ukereketwa wa Chama tawala. Kamanda Siro, kabla yako alikuwepo Suleiman Kova, leo yuku mtaani. Kitendo cha kutetea polisi aliyefanya ujinga mbele ya umma dhidi ya Adam malim ni mbegu za chuki ambazo utakuja kuzivuna. Nachojiuliza je mtavuna nini kwenye hizi mbegu mnazozipanda?
Lowassa amekufanya nini?LOWASA , MASHA AND COMPANY LTD, KWANI NI WAGENI WA NANI SASA HIVI? MLIWASEMA SANA KIPINDI HICHO NA LEO NI WENYEJI WENU, ME NAZANI HAO ULIWATAJA WAKIJA KWENU WATAKUWA WANA MABADILIKO
MLIMFANYA NINI?Lowassa amekufanya nini?
alishasoma alama za nyakati! Nchi hii wenye uwezo wa kufikiri bado wapo aiseeMecky hakuwa mjinga kuamua kustaafu mwenyewe.
Hataki kuburuzwa kama gunia la mkaaalishasoma alama za nyakati! Nchi hii wenye uwezo wa kufikiri bado wapo aisee
ina maana tutabaki na mabashitegambonism RC's pekee hali ikiendelea hivi HATARI sanaHataki kuburuzwa kama gunia la mkaa
Tuvumilie tu, hakuna namna.ina maana tutabaki na mabashitegambonism RC's pekee hali ikiendelea hivi HATARI sana
Kuvumilia wakati punde mtaanza kuchapwa viboko?Tuvumilie tu, hakuna namna.
No way outKuvumilia wakati punde mtaanza kuchapwa viboko?
Ndio hivyo wameshatangaza. Hakuna kuongezwa mishahara . Mkiandamana mtachapwa vibokoNo way out