Mwingereza
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 1,115
- 2,771
Hawa Jamaa watatu wamejitoa fahamu na sasa wanapambana na wananchi. Wamejiona wao ndio wao katika nafasi zao. Wanafanya kila kitu kinyume na maadili ya ubinadamu na taaluma zao.
Wanalaumiwa kwa kila baya. Hawa viongozi wanajisahau kwamba kabla ya kupata hizo nafasi, zilishikiliwa na watu wengine ambao leo tuneo uraiani. Mrisho Gambo na Makonda bado vijana, lakini kwa macho ya wengi, wamejipaka vinyesi kutokana na matendo yao ya uonevu mbele ya Umma
Mwakyembe anatamka vitu vya ajabu ambavyo vinadhalilisha usomi wake. Kamanda Siro naye badala ya kusimamia haki, anasimamia ushabiki, siasa na ukereketwa wa Chama tawala. Kamanda Siro, kabla yako alikuwepo Suleiman Kova, leo yuku mtaani. Kitendo cha kutetea polisi aliyefanya ujinga mbele ya umma dhidi ya Adam malim ni mbegu za chuki ambazo utakuja kuzivuna. Nachojiuliza je mtavuna nini kwenye hizi mbegu mnazozipanda?