Mrisho Gambo, Paul Makonda nao kweli ni viongozi walioaminiwa na taasisi ya urais?

G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
11,555
35,880
Hapana, labda kama kuna lingine na siyo uongozi mahiri na uwajibikaji uliowafikisha hapo.

Kama Magufuli hakuona umuhimu wa kuwa na Magesa Mulongo ambaye kitabia na kiutendaji amefanana kabisa na hawa vijana wasio kabisa na maadili ya kiuongozi ni kwanini isiwe na hawa?

Mrisho Gambo na Paul Makonda ni mfano wa viongozi wabovu waliojaa umimi, kujiona kusiko na mashiko na kutumia ofisi za umma kiumungu mtu.

Hata kule Iringa DC Kasesera anawakimbiza kwa kuonyesha mfano mzuri pale panapohitaji ushirikiano.

Vijana hawa (ni wakubwa zangu kiumri) wamekalia tu fitina na majungu kwa kuwa tayari wanaujua udhaifu wa "mkubwa" kwa hiyo wao ndiyo kazi waliobaki nayo.

Cha ajabu vijana hawa wamekabidhiwa miji muhimu kiuchumi lakini naona wanafanya mambo ya hovyo na siasa za maji taka kwenye kila jambo! Wanachojua wao ni nguvu ya mapolisi waliyokabidhiwa! Heko Lema na Kubenea kwa kuwafunza vijana hawa wasio na maadili wala weledi wa kazi.

Hata ukiangalia jinsi walivyopata nafasi zao za Ukuu wa mkoa kwa Dar-Paul Makonda na kwa Arusha-Mrisho Gambo utajua ni watu wa aina gani.
 
Hata ukiangalia jinsi walivyopata nafasi zao za Ukuu wa mkoa kwa Dar-Paul Makonda na kwa Arusha-Mrisho Gambo utajua ni watu wa aina gani.[/QUOTE]
 
I doubted Makonda kwa tabia za kukurupuka, naona katulia now days anafikiri kabla ya kutenda...

Nadhani ilikuwa ugeni wa madaraka makubwa, sasa anaanza kuyazoea na kufanya kazi.

Tumpe muda, the same applies to Gambo.
 
Hapana, labda kama kuna lingine na siyo uongozi mahiri na uwajibikaji uliowafikisha hapo.

Kama Magufuli hakuona umuhimu wa kuwa na Magesa Mulongo ambaye kitabia na kiutendaji amefanana kabisa na hawa vijana wasio kabisa na maadili ya kiuongozi ni kwanini isiwe na hawa?

Mrisho Gambo na Paul Makonda ni mfano wa viongozi wabovu waliojaa umimi, kujiona kusiko na mashiko na kutumia ofisi za umma kiumungu mtu.

Hata kule Iringa DC Kasesera anawakimbiza kwa kuonyesha mfano mzuri pale panapohitaji ushirikiano.

Vijana hawa (ni wakubwa zangu kiumri) wamekalia tu fitina na majungu kwa kuwa tayari wanaujua udhaifu wa "mkubwa" kwa hiyo wao ndiyo kazi waliobaki nayo.

Cha ajabu vijana hawa wamekabidhiwa miji muhimu kiuchumi lakini naona wanafanya mambo ya hovyo na siasa za maji taka kwenye kila jambo! Wanachojua wao ni nguvu ya mapolisi waliyokabidhiwa! Heko Lema na Kubenea kwa kuwafunza vijana hawa wasio na maadili wala weledi wa kazi.

Hata ukiangalia jinsi walivyopata nafasi zao za Ukuu wa mkoa kwa Dar-Paul Makonda na kwa Arusha-Mrisho Gambo utajua ni watu wa aina gani.
kamanda vipi....?unaikumbuka hii?
14716176_1387908441221154_4115011679792932810_n.jpg
 
Back
Top Bottom