Paul Makonda, Kamanda Sirro, Mwakyembe na Mrisho Gambo, kesho mtakuwa wageni wa nani?

wasichojua mwenye immunity ni raisi peke yake. wawaulize kina mramba kilichowatokea baada ya Ben kuondoka Ikulu.
 
facial expression ya Mrisho Gambo inaonyesha ni mtu mwenye roho mbaya. hawa watu hawafikiri kuhusu kesho
 
Watakuwa wagen wangu unategemea watakuja kwako?? Achen wachape kazi tatzo wakiguswa ndg zenu ndo mnapayuka ovyo mitandaon mnakoswa cha kupost? Mtu mzma ovyoooooh.
 
Utatekwa wewe
hilo pekee ndio wanalotegemea. Ukiimba mapambio yao wewe ni mzalendo ukiwapinga ni mchochezi. Na hao waliotajwa ni matawi tu, shina lipo juu kabisa lilojitwika uungu mtu akidhani daima atakuwa kileleni. Uzuri ni kwamba Mungu ni wetu sote, anaweza chelewa kujibu lakini daima hujibu kwa njia ambazo pengine hata sisi wenyewe tusizijue.
 
Hawa Jamaa watatu wamejitoa fahamu na sasa wanapambana na wananchi. Wamejiona wao ndio wao katika nafasi zao. Wanafanya kila kitu kinyume na maadili ya ubinadamu na taaluma zao.

Wanalaumiwa kwa kila baya. Hawa viongozi wanajisahau kwamba kabla ya kupata hizo nafasi, zilishikiliwa na watu wengine ambao leo tuneo uraiani. Mrisho Gambo na Makonda bado vijana, lakini kwa macho ya wengi, wamejipaka vinyesi kutokana na matendo yao ya uonevu mbele ya Umma

Mwakyembe anatamka vitu vya ajabu ambavyo vinadhalilisha usomi wake. Kamanda Siro naye badala ya kusimamia haki, anasimamia ushabiki, siasa na ukereketwa wa Chama tawala. Kamanda Siro, kabla yako alikuwepo Suleiman Kova, leo yuku mtaani. Kitendo cha kutetea polisi aliyefanya ujinga mbele ya umma dhidi ya Adam malim ni mbegu za chuki ambazo utakuja kuzivuna. Nachojiuliza je mtavuna nini kwenye hizi mbegu mnazozipanda?
Mkuu hapo zamani maeneo ya Mafiat Mbeya palikuwa na mzee mmoja akiitwa Mwalwago kama sijakosea jina lake alikuwa ndugu wa Mzee Mwakawago kiukoo, alifika mahala akajiita "Mungu Mtu wa Mbeya" leo hii pale kwake pamebaki magofu na wengi wa waliokuwa karibu nae hakuna anaemkumbuka tena!!!

Wengi wetu hatujui kwanini tunaishi na nini tunapaswa kufanya.
 
Tabu hamtaki viongozi wanaofanya kazi kwa weledi, mnataka wale wanakaa na kufata upepo wa nani kasema nini wanataka nibadilike nini.

Hawa ndio viongozi wanaotakiwa nchini, awamu zilizopita wengi hawakupata nafasi ya kusimamia majambo.

Hapa kazi tu


Endeeni kukaza buti, hakuna kulealea wavivu na wenye tamaaaaaa za maisha ya mkato.
 
Wamlete Bashite au Gambo Mbeya....kama wao wanaume...Makalla ana adabu huku
 
LOWASA , MASHA AND COMPANY LTD, KWANI NI WAGENI WA NANI SASA HIVI? MLIWASEMA SANA KIPINDI HICHO NA LEO NI WENYEJI WENU, ME NAZANI HAO ULIWATAJA WAKIJA KWENU WATAKUWA WANA MABADILIKO
 
Mamlaka za dunia zinalevya sana. Ungemrudisha Saddam Hussein miaka 10 kabla ya kifo chake na kumuonya kuwa kwa mwenendo wake ipo siku ataishia kwenye kitanzi kile kile anachonyongea wananchi bila shaka angebisha.
 
Back
Top Bottom