Paul Makonda, Kamanda Sirro, Mwakyembe na Mrisho Gambo, kesho mtakuwa wageni wa nani?

Mnashinda kwenye mtandao kuwaombea wenzenu mabaya halafu mnajiliwaza wenyewe kwa wenyewe kutwa nzima majungu hamna mambo ya kuelimisha jamii?
 
Hawa Jamaa watatu wamejitoa fahamu na sasa wanapambana na wananchi. Wamejiona wao ndio wao katika nafasi zao. Wanafanya kila kitu kinyume na maadili ya ubinadamu na taaluma zao.

Wanalaumiwa kwa kila baya. Hawa viongozi wanajisahau kwamba kabla ya kupata hizo nafasi, zilishikiliwa na watu wengine ambao leo tuneo uraiani. Mrisho Gambo na Makonda bado vijana, lakini kwa macho ya wengi, wamejipaka vinyesi kutokana na matendo yao ya uonevu mbele ya Umma

Mwakyembe anatamka vitu vya ajabu ambavyo vinadhalilisha usomi wake. Kamanda Siro naye badala ya kusimamia haki, anasimamia ushabiki, siasa na ukereketwa wa Chama tawala. Kamanda Siro, kabla yako alikuwepo Suleiman Kova, leo yuku mtaani. Kitendo cha kutetea polisi aliyefanya ujinga mbele ya umma dhidi ya Adam malim ni mbegu za chuki ambazo utakuja kuzivuna. Nachojiuliza je mtavuna nini kwenye hizi mbegu mnazozipanda?
WASAKA TONGE!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Sema Watanzania hatuna roho za visasi, nasikia wale wote walioshiriki katika kitendo kilichopelekea kifo cha mwandishi wa habari Mwangosi bado wapo hai
 
Hawa nao iko siku watakipata kama alichokipata Malima..ni suala la mda tu!!
 
Sema Watanzania hatuna roho za visasi, nasikia wale wote walioshiriki katika kitendo kilichopelekea kifo cha mwandishi wa habari Mwangosi bado wapo hai
Hizo roho za visasi ndo mbegu zinapandikizwa na hao jamaa zenu() lakini naamini hawawezi kufanikiwa.
 
Hawa Jamaa watatu wamejitoa fahamu na sasa wanapambana na wananchi. Wamejiona wao ndio wao katika nafasi zao. Wanafanya kila kitu kinyume na maadili ya ubinadamu na taaluma zao.

Wanalaumiwa kwa kila baya. Hawa viongozi wanajisahau kwamba kabla ya kupata hizo nafasi, zilishikiliwa na watu wengine ambao leo tuneo uraiani. Mrisho Gambo na Makonda bado vijana, lakini kwa macho ya wengi, wamejipaka vinyesi kutokana na matendo yao ya uonevu mbele ya Umma

Mwakyembe anatamka vitu vya ajabu ambavyo vinadhalilisha usomi wake. Kamanda Siro naye badala ya kusimamia haki, anasimamia ushabiki, siasa na ukereketwa wa Chama tawala. Kamanda Siro, kabla yako alikuwepo Suleiman Kova, leo yuku mtaani. Kitendo cha kutetea polisi aliyefanya ujinga mbele ya umma dhidi ya Adam malim ni mbegu za chuki ambazo utakuja kuzivuna. Nachojiuliza je mtavuna nini kwenye hizi mbegu mnazozipanda?

Watakuwa wageni wa chadema kama ambavyo Lowassa, Masha, Makongoro Mahanga, Hamis Mgeja & Co. wamekuwa
 
Ametoweka hayupo tena.
Eti anasubiri kupangiwa kazi nyingine.
Hawa jamaa nafikiri ndio walengwa wa JICHO LA KUPOFUKA HALISIKII DAWA!naamini yaliomkuta Nape wameyaona na wala si kusikia tena!Ingetosha kuwafundisha soma la kuondoa ujinga!!!!!!!!!!!!Nape,Eti leo hii ndio akili zinamrudia kuwashauri watanzania waombe bunge libadili sheria tuweze kuona bunge live!Na bado ni mbunge!je kama asingekuwa na cheo chochote?
 
Hawa Jamaa watatu wamejitoa fahamu na sasa wanapambana na wananchi. Wamejiona wao ndio wao katika nafasi zao. Wanafanya kila kitu kinyume na maadili ya ubinadamu na taaluma zao.

Wanalaumiwa kwa kila baya. Hawa viongozi wanajisahau kwamba kabla ya kupata hizo nafasi, zilishikiliwa na watu wengine ambao leo tuneo uraiani. Mrisho Gambo na Makonda bado vijana, lakini kwa macho ya wengi, wamejipaka vinyesi kutokana na matendo yao ya uonevu mbele ya Umma

Mwakyembe anatamka vitu vya ajabu ambavyo vinadhalilisha usomi wake. Kamanda Siro naye badala ya kusimamia haki, anasimamia ushabiki, siasa na ukereketwa wa Chama tawala. Kamanda Siro, kabla yako alikuwepo Suleiman Kova, leo yuku mtaani. Kitendo cha kutetea polisi aliyefanya ujinga mbele ya umma dhidi ya Adam malim ni mbegu za chuki ambazo utakuja kuzivuna. Nachojiuliza je mtavuna nini kwenye hizi mbegu mnazozipanda?
Mengine yote nagonga like ila swala la Malima kubomoa sheria za nchi kwa kutaka aabudiwe hapo naona uliyoyaongea ni ugoro.
 
Uzuri kila alifanyalo binadamu huacha rekodi,kizazi kijacho kitafanya marejeo dhidi ya matendo yetu!
 
Hawa Jamaa watatu wamejitoa fahamu na sasa wanapambana na wananchi. Wamejiona wao ndio wao katika nafasi zao. Wanafanya kila kitu kinyume na maadili ya ubinadamu na taaluma zao.

Wanalaumiwa kwa kila baya. Hawa viongozi wanajisahau kwamba kabla ya kupata hizo nafasi, zilishikiliwa na watu wengine ambao leo tuneo uraiani. Mrisho Gambo na Makonda bado vijana, lakini kwa macho ya wengi, wamejipaka vinyesi kutokana na matendo yao ya uonevu mbele ya Umma

Mwakyembe anatamka vitu vya ajabu ambavyo vinadhalilisha usomi wake. Kamanda Siro naye badala ya kusimamia haki, anasimamia ushabiki, siasa na ukereketwa wa Chama tawala. Kamanda Siro, kabla yako alikuwepo Suleiman Kova, leo yuku mtaani. Kitendo cha kutetea polisi aliyefanya ujinga mbele ya umma dhidi ya Adam malim ni mbegu za chuki ambazo utakuja kuzivuna. Nachojiuliza je mtavuna nini kwenye hizi mbegu mnazozipanda?
Adam Malima ndo mtu gani Tzania?
 
Back
Top Bottom