Paul Makonda amfagilia Tido Mhando,asema haiwezekani Serikali ikawa inamuangalia tu akiifaidisha Azam TV, lazima Serikali imchukue

Tido naye akienda huko aisee tutamshangaa san! figisu zilianzja 2015 kwenye kampeni
TIDO MHANDO,UKIENDA HUKO UTALAANIKA. HUZUNI,SALA,NA MAOMBI YA WATU WALIZOFANYA MBELE ZA MUNGU WAKATI SERIKALI YA CCM INAKUNYANYASA NA KUTAKA KUKUFUNGA VITAGEUKA LAANA. Heri ya dhiki pamoja na amani kuliko raha isiyo na amani ya nafsi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
20190224_200533.jpg
20190224_200533.jpg

TBC kwa dress code mmetisha jaman!huyu ni mtangazaji wa TBC ametupia!unaweza hisi kavaa blouse ya kike😁😁...shati lina urembo kama ametoka Isimani
 
Alianzisha mchakato majimboni,kipindi kichokuwa kinajumuisha wagombea wa vyama tofauti..
Wagombea wa CCM wakawa wameambiwa washiriki...
Tido akaendelea na kipindi hata kama wagombea wa CCM hawapo...
Tido akidhani TBC ni kama BBC...fair ground kumbe ni TBccm...
Yaliyofuata ndiyo hayo yaliyomkuta...



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom