Paul Makonda amfagilia Tido Mhando,asema haiwezekani Serikali ikawa inamuangalia tu akiifaidisha Azam TV, lazima Serikali imchukue

Interest

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2015
Messages
3,005
Points
2,000

Interest

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2015
3,005 2,000
Umeona mbali Bae, kama kawaida yako..
Kumbe ni kiki tu, halafu kaenda kuitafuta kwenye Show yao wenyewe Azam..

Aiseh Ruby alitisha, sio kwa performance Ile!
Akijitahidi na ile keynote akafanya tizi la kutosha, anaweza kuwa Mariah Carey wetu..

Ila kile kivazi chake B., nimekipenda lakini only Ruby can pull that off, and stand Out! :D
Yes babe.. Wanasiasa kila wanapoalikwa sehemu kuongea, basi watafanya mbinu zote waibe tukio.

Tatizo RC huyu sio mjanja kivile, amezoea cheap popularity ambazo sio muda wote zinafanikiwa. Ndio kilichotokea..

You said it right.. Ruby akikaza atakuwa nembo yetu na atafika levels za akina MC, Whitney and the like.

Hahaha.. Nilidhani kigauni umekipenda love. Au unaogopa ukivaa utaonekana kama Mbuni (the common ostrich)? Lol.

Halafu nimeshakumiss ujue!

'We catch up?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nalendwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2016
Messages
7,505
Points
2,000

Nalendwa

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2016
7,505 2,000
Yes babe.. Wanasiasa kila wanapoalikwa sehemu kuongea, basi watafanya mbinu zote waibe tukio.

Tatizo RC huyu sio mjanja kivile, amezoea cheap popularity ambazo sio muda wote zinafanikiwa. Ndio kilichotokea..

You said it right.. Ruby akikaza atakuwa nembo yetu na atafika levels za akina MC, Whitney and the like.

Hahaha.. Nilidhani kigauni umekipenda love. Au unaogopa ukivaa utaonekana kama Mbuni (the common ostrich)? Lol.

Halafu nimeshakumiss ujue!

'We catch up?

Sent using Jamii Forums mobile app

Kazi anayo RC kwa kweli. He's trying too hard I think.

Eti Ostrich! :D
Hahah!, yani kuwa celebrity kunahitaji extra courage kwa kweli.
Umenikumbusha Oscars za juzi pia. Kuna mtu ali introduce Taxedo gown and he almost shut down the red carpet...lol!

Ruby Ile outfit am sure alijua watu watasema kitu. But that's how they stay in their game!

Mith you too bae...Sure!
 
Interest

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2015
Messages
3,005
Points
2,000

Interest

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2015
3,005 2,000
Kazi anayo RC kwa kweli. He's trying too hard I think.

Eti Ostrich! :D
Hahah!, yani kuwa celebrity kunahitaji extra courage kwa kweli.
Umenikumbusha Oscars za juzi pia. Kuna mtu ali introduce Taxedo gown and he almost shut down the red carpet...lol!

Ruby Ile outfit am sure alijua watu watasema kitu. But that's how they stay in their game!

Mith you too bae...Sure!
Hahaha.. Nimecheka huyo mbunifu wa Tuxedo gown. Haki sijui kwanini sikuangalia Oscars za mwaka huu. Nasikia akina Kamwene na huko walikuwepo!

You in town?
 
Forum statistics

Threads 1,392,485
Members 528,635
Posts 34,110,442
Top