Paul Makonda amfagilia Tido Mhando,asema haiwezekani Serikali ikawa inamuangalia tu akiifaidisha Azam TV, lazima Serikali imchukue

Kwani waliomfukuza kama mbwa na mwishowe kumshtaki ni kina nani? Na baada yakushinda kesi bado wanataka kukata rufaa?


Kile kipindi chake cha MCHAKATO MAJIMBONI kiliumbua sana wagombea wa CCM dhidi ya wa upinzani na ndio pia kilichomuangusha mama Ng'huni pale Ubungo, wakamwambia akifute ila kwa kuwa alikuwa ametoka Ulaya akasema ameahakiandaa na budget yake ilishatoka..........wakashindwa kuvumilia, baadaye wakampiga chini na kumfungulia mashitaka ambayo mahakama ilimsafisha.

Now wanataka kumchukua tena.....

Sidhani kama atarudi tena TBCCM.

Vilevile sina uhakika kama S.S.B. .atamuachia.


Only time will tell.
 
Ifike mahali mzee aseme NO! Siasa za kijinga na kutokujaliwa utu kungemfanya atiwe ndani. Atulie Azam afanye take actually azam nikama CNN ya kibongo
 
Back
Top Bottom