Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,472
Kumbe tunaoangalia tbc tupo wengi nchi hii
Huwez amini hii dress code imesababisha nibadili chanel na kurudisha National Geographic
๐๐๐๐yaan nimecheka sana jaman...dah.
Kumbe tunaoangalia tbc tupo wengi nchi hii
Huwez amini hii dress code imesababisha nibadili chanel na kurudisha National Geographic
Hili nalo nenoooo... Very likely aisee... Ila akikubali kwisha habari yake....
Sent using Jamii Forums mobile app
๐๐๐ukajua whts in!aiseeeEti blouse, haki wewe! ๐๐๐
Afadhali umesema cos nilifikiri ni new trend..
Hiyo kauli "atamchukua" Tido inabidi awe makini sana - anaweza kutekwa saa yoyote maana huyo ndo Bashite Mtekaji
Nashangaa alikua akitabasamu aisee nilikasirika sana, mzee wa watu atulie huko huko
Kuna siku nilimuona Verde Hotel Zanzibar ni mtaratibu mno
Sent using Jamii Forums mobile app
๐๐๐ukajua whts in!aiseee
Huyu mzee kwa waliyo mfanyia atakua amejishusha hathi kurudi tbccm!
๐๐๐ova lisukumaMwenzangu!, nguo ya kwenye Mnuso katuvalia akiwa studio..
yaan nimecheka sana jaman...dah.
haaahaaa katishaIla hata boss wao huwa ni mvaa vitenge kila siku, so yeye alitaka ang'ae zaidi