Big up Makonda Lowasa nani kwan siku zote ukweli humuweka mtu sehemu huru, na Watz hatutaki kuusikia ukweli
Lowasa akiwa Rais wilaya kinondoni ataweka mkuu wa wilaya mpya. siku njema
Baada ya kuona picha hii nachukia kuwa mtanzania. Hii ni nchi ya aibu Sana, its more than nepotism...
Mkuu MK254 naweza kupata uraia wenu bila kuoa binti toka Nyeri?
Pichani Chini, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Akipiga usingizi wakati wenzie wanapiga kitabu enzi hizo MUccobs
View attachment 228221
Anatafuta "kick" msemo wa vijana hii ni baada ya Nape kukomaa na mzee wa mvi enzi zile za jengo la umoja wa vijana na nyota yake ya uongozi ikang'aa kwa kuanza na Ukuu wa Wilaya mara cheo alichonacho sasa hivi kwenye chama. Labda na yeye anahisi atapita humu humuAhaa hapo ni kichuguu na mlima.....jipime kabla ya kutamka yaliyomo moyoni mwako!
Lusinde kakosa?hana hat veti bandi a?
huyu kibaraka kumbe ndo hizi kazi zake za utumwa ama mama wa nyumbani kweli ukuu wa wilaya kautumikia na kuu tolea jasho la kwa style zote. Pole kuwadi wa Riz one
Nimeamini watu wana nondo za uhakika.
Tanzania ya leo inataka watu kama akina MAKONDA, MWIGULLU na MUHONGO. haogopwi mtu na pesa zake anaogopwa Mungu tu, safi sana Makonda
Mkuu mpya wa wilaya ya Kinondoni Paul Makonda amefunguka na kutoa ya moyoni kuhusiana na shutuma kadhaa anazorushiwa kufuatia uteuzi wake.
Akizungumza na gazeti la Tanzania Daima Msemaji huyo wa Chipukizi wa UVCCM anesema ni kweli yasemwayo kwamba anatumika kumzima Waziri Mkuu Mstaafu Edward Ngoyai Lowassa anayetarajiwa kuomba uteuzi wa kugombea urais kupitia CCM.
""Hivi kati ya anayetumika kukibomoa chama na yule anayetumika kukiimarisha ni yupi ana Faida?....vijana ndiyo walinzi wa chama na sitakubali kiharibiwe na watu wachache wenye masilahi ya madaraka""" Alinukuliwa Makonda akisema
Source : Tanzania daima.