Paul Kagame umeongea ukweli hataki unafiki!

Binafsi ningekua mnyarwanda ningependelea P Kagame aongoze milele na cwezi linganisha utendaji wenye ubora wa PK na huyu mfalme juha wakwe2,
 
Kagame aliona mbali kuwa si rahisi zamu ya kikwete sasa.
 
Mkuu punguza jazba hebu Tusaidie tafsiri ya Neno UZALENDO inaposemekana MTU ni Mzalendo au sio Mzalendo ielewekeje

Mkuu hawa ni vilaza wale ambao wanafikiria uzalendo ni kukandia kila kitu cha kigeni na kusifia kila kitu cha nyumbani! Ni ukosefu wa elimu na exposure
 
kwa hiyo Kagame anatakaje sasa,yani ikishinda ccm sio democracy ila ukishinda upinzani ndio democracy?anachokitaka hakiwezi kuwa yeye asubiri siku zake zinahesabika

Nimekubali watanzania ni wagu kuelewa!
 
Wakati yeye na timu yake wanabadilisha katiba ili aendelee msimu wa tatu, JK anaondoka baada ya misimu yake miwili kwisha kwahiyo he's no match JK!
umeelewa maana pana ya demokrasia?unadhani demokrasia inaishia kwenye kuachia madaraka tu?
 
Pole sana kwa maumivu ya kura yako. Kitu kinachoniconsole mimi angalau kidogo ni kwamba sikuwaki kumpa kura msanii Kikwete.

 
Kwa Watanzania, anachoongea Kagame si demokrasia bali hasira za kuondolewa DRC kwa kichapo


Ni mmoja wa watu wanaosubiri machafuko Tanzania na huenda hata kuchochea kwa aina fulani

Tuwe waangalifu
JokaKuu
 
Last edited by a moderator:
Umetumia vigezo gani kuthibitisha kwamba ni ya kweli? Nimeangalia kwenye official a/c zake za Twitter, Facebook na Instagram sijaiona... original source ya hiyo post ni nini? Unaweza kuweka link tuone ambako ime-originate hiyo msg?
 
najua imekugusa ila ujumbe umefika

Mkuu labda lugha iliyotumika hukuilewa pengine siyo lugha rafiki sana, hajagusia ni nani anashinda au kushindwa. Alichokisema ni kuwa uchaguzi huu utakuwa ni kipimo cha demokrasia.
 
Kagame huna cha kutuambia wewe,kwanza umepindisha katiba,JK SIYO KAMA WEWE,MAANA YEYE MUDA WAKE UMEISHA NA ANAONDOKA,SASA KAGAME WEWE UMEKATAA KUWAACHIA WENGINE NA UTAGOMBEA TENA,HUNA TOFAUTI NA HYABIRAMA
kwi kwi 💉💉💉 zimewaingia heeee .
 

kagame ni mbweha au mbwa mwitu....
 
Tena nasema watanzania tumeamua kubadilisha kila kitu hasa chama.We have a DESIRE within our hearts.TUMEAMUA HIVYO KABIS
 
Mkuu labda lugha iliyotumika hukuilewa pengine siyo lugha rafiki sana, hajagusia ni nani anashinda au kushindwa. Alichokisema ni kuwa uchaguzi huu utakuwa ni kipimo cha demokrasia.

mkuu lugha iliyotumika hapo ni ya kawaida sn kila mtu anaielewa ndo mana kuna comments za watu tofauti tofauti,

mi nafikiri wewe umemtafsiri kagame kama alivoandika ila mimi nimemtafsiri nini alichomaanisha,so chamsingi kila mtu abaki na uelewa wake sawa kaka.
 
Kung'ang'nia madarakani inaweza Kuwa mtu au chama.Hapa kwetu watu wanataka madarakani Ila Chama chao kinabebwa na tume na vyombo vya usalama hata Kama hakitakiwi tena.Hapo hamna tofauti na kulazimisha kukaa madarakani na inakera Kila anayetoka anahakikisha anaweka mtu wa kusimamia maslahi yake.
 
Hizi ndio tunaita akili za jongoo! Tangu lini ukasikia mama yangu anakimbilia kuibia raia kwa jina la ''urais''. Typically Tanzanian IQ level of arguing! Stupid!
Stupid ni wewe tena mpumbavu tena usiye na akili. Hapa tulikuwa tunajadili mada iliyopo jamvini. Nini kilikufanya umuingize mama yangu kwa mambo ambayo yeye hausiki? Discussion za kwenye mitandao unaingiza wazazi waliopo kama sio upumbavu tuite nini? Halafu eti unazungumzia IQ!! Unaijua IQ wewe?What a nonsense.
 
Ila Kama Rais Kikwete anataka kuendelea na heshima katika jumuia ya kimataifa ni hapa huu ndiyo mtihani kwake na wakifa watu naninavyoona ICC deligation ya watu 20 na ushee hata pona!

Mnajidanganya.ICC inachukua mijitu kama mbowe inayohamasisha kukaa mita 200.kamuulize Ruto au arap Sang
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…