Paul Kagame umeongea ukweli hataki unafiki!

CCM huwa hawaonekani kwenye post zinazogusa maslahi yao

sajili #T2015CDM
 
Kilaza mama alokuzaa pumbavu sana, unamita Raisi wako na wa watanzania mil 50 kilaza! ficha umbumbu wako kishoka mkubwa wewe, sijui kwanini midudu mingine haina uzalendo! , hamia basi Rwanda ukaolewe huko
Uzalendo ni pamoja na kuita uchafu wa jalalani ni dhahabu! Really!
 

Kwanza hayo maneno ni ya kweli Kagame kayasema!kwa kukusaidia tu mkuu unapoachia madaraka ndani ya vyama vingi huwezi ukaanza kuhangaika kuwaforce watu kwa kutumia vitisho kibao ili tumchague mteule wake no!!? Ndo maana ya Kagame kuja na maneno hayo!ni afadhali an'gan'ganie kama Kagame kuliko kutuchagulia mtu anayemtaka yeye ili amwendeshe kwa remote control!
 
Jamaa anamaanisha nini lugha ya malkia wajameni!
 
Kagame huna cha kutuambia wewe,kwanza umepindisha katiba,JK SIYO KAMA WEWE,MAANA YEYE MUDA WAKE UMEISHA NA ANAONDOKA,SASA KAGAME WEWE UMEKATAA KUWAACHIA WENGINE NA UTAGOMBEA TENA,HUNA TOFAUTI NA HYABIRAMA

Kwani JK hajapindisha katiba? Mtu ukiwa mjinga bana ni shida mno.
 
Angeondoka na kuruhusu uchaguzi huru na wa haki! Kwanini anajivika jukumu la tume! Na tuna info jinsi watakavyochakachua kura.... tena kwa kutumia nguvu
Jukumu lipi la Tume ambalo amejitishwa yeye? Au kwa ufahamu wako unadhani kuanza kwa kampeni tu ndo tayari kunamuondolea nafasi yake kama Rais na Amiri Jeshi Mkuu?
 
.. huyu atakuwa aliangalia zile hotuba za Joseph Msukuma na Nape akawa pissed off.
 

Kwanini nyie watu wa CCM mnapenda kuririshwa kila kitu kutoka hapo LUMUMBA....!!! kwaakili yako na wapuuzi wt wa kijani mnaamini kwamba CCM ndio imetoa UHURU wa kuongea daaah....
 
kwa hiyo Kagame anatakaje sasa,yani ikishinda ccm sio democracy ila ukishinda upinzani ndio democracy?anachokitaka hakiwezi kuwa yeye asubiri siku zake zinahesabika
 
Hiyo sio account ya PAUL KAGAME!ni account ya mtu anayejiita hivyo
 

Rwanda ni kijimkoa kwa TZ
 
Ila Kama Rais Kikwete anataka kuendelea na heshima katika jumuia ya kimataifa ni hapa huu ndiyo mtihani kwake na wakifa watu naninavyoona ICC deligation ya watu 20 na ushee hata pona!

Hivi hawa watu wa ICC huwa wanadeal na viongozi wa siasa wa serikali pekee au hata wapinzani?.
 
Ukisoma statement hii katikati ya mistari utaona hata wao wameshaanza kuona ugumu wa CCM kurudi madarakani, ndiyo maana wanasubiri kuona kama Kikwete atakubali kukabidhi ofisi kwa upinzani.
 
Kilaza mama alokuzaa pumbavu sana, unamita Raisi wako na wa watanzania mil 50 kilaza! ficha umbumbu wako kishoka mkubwa wewe, sijui kwanini midudu mingine haina uzalendo! , hamia basi Rwanda ukaolewe huko

Mkuu punguza jazba hebu Tusaidie tafsiri ya Neno UZALENDO inaposemekana MTU ni Mzalendo au sio Mzalendo ielewekeje
 
Tarehe 19 mwezi uliopita Lowassa akiwa Bukoba alikutana kwa siri na team maalum iloyotumwa na Kagame!

Kwasababu Bukoba ni karibu na Rwanda mkafikiri mtaweza kuwadnganya watu! Hivi kungekuwa na mkutano sensitive kama huo ungefanyikia sehemu za uwazi kama hizo? Hili jambo utawadnganya watu wasiojua ABC za mikakati ya kijasusi
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…